Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Similar
images-28.jpg
 
Nairobi Hospital admitted Tanzanias president and opposition leader; magufuli and tundulissu.
Nairobi Hospital has saved Tanzania from being a failed govermentless state [emoji23][emoji23]
Kichaa pekee ndio anaweza kuamuni,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Look at your dead president who was admitted in Nairobi Hospital [emoji23][emoji23][emoji706] and we eliminated him for being a hypocrite who was hating Kenyans and still coming to use our hospitals. View attachment 2081865
Stupid people only can reason this way, we are the father of better heath care system in this region and beyond
 
[emoji23][emoji23]Eti habari za ndani? Wacha uongo susan. Sasa kama wakenya walijua magufuli amekufa 2 weeks kabla ya serikali ya Tanzania kutangaza wamepoteza rais mutajuaje alikua South Africa au Kenya. Uhuru wa habari na kujieleza ni kitu cha maana sana kwa nchi.
Prime minister wenu alisema magufuli yuko buheri wa afya wakati huohuo media za Kenya zilikua zishatangaza magufuli alikua terminally dead.
Usisahau kwamba Tanzania inashika namba 93 katika demokrasia wakati Kenya mnashika namba 95, vipi nchi iliyozidiwa kwa demokrasia iwe na uhuru wa kujieleza?[emoji23][emoji23][emoji23].

Ina maana waziri mkuu anazidiwa na vyombo vya habari vya Kenya?, Ninyi vyombo vyenu vya habari kazi yake ni kupiga kelele za kubahatisha tu, juzi vyombo vyenu vilibahatisha kwa kusema kwamba familia ya Abiy Ahmedi wa Ethiopia imekimbilia Nairobi, kumbe ni Uongo mtupu.
 
Back
Top Bottom