Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kileleshwa

1642241404539.png
 
Raila au Ruto kua rais wa Kenya hainishtui ata kidogo. Tuna katiba murwa. Ukweli ni kwamba magufuli alikufia Nairobi Hospital. Kenya ndo kuna hospitali nzuri.
Njooni mje kutibiwa katika "the best hospitals in Central, East and Central Africa, wacha kupiga kelele wakati wakenya wanajaza Hospitali za Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulimuona uko Nairobii.
Bila kutaja Tanzania Kenya hawawezi kuuza nchi Yao Internationally, watu Kama Diamond, Zuchu, Ally Kiba, Harmonize, Rayvan, Magufuli, Mlima Kilimanjaro, Simba na Yanga, ndio karata zao za biashara Kenya. Raila ameshaanza kutumia jina la Magufuli katika kutafuta kupigiwa kura[emoji23][emoji23][emoji23]
 
They had to come all the way to Kenya and drive it on Kenyan roads. Says everything you need to know about the pathetic roads in that shithole Tanzania 😂😂😂😂😂😂
uhehehe kama alikuja kwenye harusi ya rafiki yake mahakama utaieleza nn wewe🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom