Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We unajua Nairobi ama unaskia tu? Kuna very many undocumented areas of Nairobi kama hivo ungekua in shock Nairobi si kama Dar Kuna njia tatu tu Na hizo ndo mnapiga picha kurudilia picha everyday every time I step out I meet up with new things hata Mimi mwenyewe sijawai Ona... Na miaka yote nimekaa nairobi
Kua na heshima kidogo,nbo prime areas zinajulikana na ndio mnashinda mkizipost hapa daily...izo undocumented areas ni afadhali msizipost kwani zipo hata Burundi
 
Look at your dead president who was admitted in Nairobi Hospital and we eliminated him for being a hypocrite who was hating Kenyans and still coming to use our hospitals. View attachment 2081865
Habari za ndani zinasema JPM hakuwahi kwenda kenya ama hata SA kwa matibabu kwani aliugua ghafla na kufariki sasa izo mboyoyo zenu sijui zinawasaidia nn....
 
Wao umeona tuflyover wameweka halafu The best 007 anashangilia nilikimya tu nikapita niliona Haina haha ya kuwaambia ukweli sababu watabishaaaa tu Na ukweli upo wazi hawana flyovers not like Nairobi Kwanza estalands uje industrial area uende Westlands, Athi river area everywhere flyovers tupu Sasa wao wanaweka vijilima vya Reli
Si hii hapa flyover ya Mbita uliweka au co wewe, au hii co flyover
JamiiForums601365992.jpg
 
Habari za ndani zinasema JPM hakuwahi kwenda kenya ama hata SA kwa matibabu kwani aliugua ghafla na kufariki sasa izo mboyoyo zenu sijui zinawasaidia nn....
Eti habari za ndani? Wacha uongo susan. Sasa kama wakenya walijua magufuli amekufa 2 weeks kabla ya serikali ya Tanzania kutangaza wamepoteza rais mutajuaje alikua South Africa au Kenya. Uhuru wa habari na kujieleza ni kitu cha maana sana kwa nchi.
Prime minister wenu alisema magufuli yuko buheri wa afya wakati huohuo media za Kenya zilikua zishatangaza magufuli alikua terminally dead.
 
Kenya?mnauhuru wa nn eti?so nikae apa niamini uongo?na wala hazikupita wiki mbili kila unachosema kinakataa
 
Magufuli alikufia Nairobi Hospital. He was pronounced dead and with no possibility of restitution. Hii ingine ni utaga unakusumbua hutaki kukubali ukweli.
Tanzania best president died in a Kenyan hospital, chew that and swallow.
View attachment 2081905
 
Kumbe unajua kwamba he was the Best na ndiyo maana unamchukia baada ya kuona kaipoteza Kenya kwenye ramani.
 
He was the best according to Tanzanian standards. Si mlikua mnamsifu kama mungu mtu hapa wakati alikua uhai?
Angekua Mkenya, magufuli hangekiona kiti cha urais au kiti chochote cha maana. He was too naive to lead a country like Kenya.
 
alikuwa mentor wa mzee wenu raila ngoja tuone kama mnayo jeuri ya kumzuia kuwa raisi wa kenya
 
Raila au Ruto kua rais wa Kenya hainishtui ata kidogo. Tuna katiba murwa. Ukweli ni kwamba magufuli alikufia Nairobi Hospital. Kenya ndo kuna hospitali nzuri.
 
hujui unachoongea wewe, raila anajinadi kwa sera za magufuli ili kunyaland mumchague, Tanzania is ahead to kenya on this. hahahahhah. Njoo Tanzania uone wakenya walivyojazana hospitali za mipakani na Dar es salaam kusaka huduma bora
 
Back
Top Bottom