Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi vs Johannesburg hii ndo ligi. Dar-is-a-slum hufai kucompare na Nairobi.

At least Johannesburg kuna real slums e.g soweto kama Nairobi kibera sio Dar-is-a-slum ambayo inajidai hakuna slum lakini inakaa slum kote
Acha ku compare Joberg na vitu vichafu uwe na heshima. What can you compare between joberg na Nairobi hebu anza compare kwenye roads, brt , bus ststions, electricity, rail ya umene, stadiums, slums, etc
 
Hakuna Rais alijenga barabarani na kufungua Nchi ya Tzn kama JK.

Hoja yangu iko pale pale ,hizo km 3500 labda.ni za Dar ila mikoa alivyoikuta ndivyo kaiacha ,,.Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu nk nk yaani list ni endless.
Imebidi nicheke tu anyway mm in wakigoma
 
Wao umeona tuflyover wameweka 🤣🤣🤣 halafu The best 007 anashangilia 🤣🤣🤣🤣 nilikimya tu nikapita niliona Haina haha ya kuwaambia ukweli sababu watabishaaaa tu Na ukweli upo wazi hawana flyovers not like Nairobi Kwanza estalands uje industrial area uende Westlands, Athi river area everywhere flyovers tupu Sasa wao wanaweka vijilima vya Reli
 
Acha ku compare Joberg na vitu vichafu uwe na heshima. What can you compare between joberg na Nairobi hebu anza compare kwenye roads, brt , bus ststions, electricity, rail ya umene, stadiums, slums, etc
Kila SAA brt brt nkt hamna jipya Na brt system Tunajenga moja Safi Sana small but sofisticated
 
The life of their opposition leader was also saved at Nairobi hospital. AMREF is airlifting rich Tanzanians daily to Nairobi for treatment.
Nairobi Hospital admitted Tanzanias president and opposition leader; magufuli and tundulissu.
Nairobi Hospital has saved Tanzania from being a failed govermentless state
 
Hatimae Tanzania inazidi kujiandikia historia yake yenyewe kama baba wa mtandao mkubwa wa umeme Africa

Ikikamilika hii 400kv transmission line Tanzania itaweza kuiuzia umeme Burundi, DRC hata Rwanda



View attachment 2081713
Kuna watu humu walikuwa wanajisifu na ki line chao kifupi cha umeme wa DC sipati picha wakiiona hii.
 
Hahahaha, listen to your people who are flocking to Tanzanians Hospitals daily looking for better health services
Look at your dead president who was admitted in Nairobi Hospital and we eliminated him for being a hypocrite who was hating Kenyans and still coming to use our hospitals.
Screenshot_20220115-091732.jpg
 
Acha ku compare Joberg na vitu vichafu uwe na heshima. What can you compare between joberg na Nairobi hebu anza compare kwenye roads, brt , bus ststions, electricity, rail ya umene, stadiums, slums, etc
Dar-is-a-slum huezi compare ata na Soweto which is a slum in Johannesburg
 
Nbo ndogo kwa Joburgy,n underdeveloped
We unajua Nairobi ama unaskia tu? Kuna very many undocumented areas of Nairobi kama hivo ungekua in shock Nairobi si kama Dar Kuna njia tatu tu Na hizo ndo mnapiga picha kurudilia picha everyday every time I step out I meet up with new things hata Mimi mwenyewe sijawai Ona... Na miaka yote nimekaa nairobi
 
Back
Top Bottom