Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

was.hira-post-2021_12_05_20_24.jpeg
 
The Don masta mzee wa Good life,hebu nisaidie kidogo ,hivi hizi fuso zinafanya nini city center? yaani zinapakia hadi sofa set,madumu mpaka magodoro,why hii kitu msii cancel?
maana nairobi kiafrica africa siyo city mbaya sana ila huu utaratibu wa transportation system kwenu is too bad unaharibu jijiView attachment 2080734
Magari haya Dar hayana nafasi tumeyapeleka shamba
 
Watakwambia tunafanana nao...lakini mm sioni wakifanana na hawa jamaa...
Barabara kama za thika ziko kila mahali Joburgy wanazonyingi sanaView attachment 2082032View attachment 2082033
Jo'burg is better than Nairobi. Wakenya sio mataga kama wadanganyika so hakuna mkenya anapinga hilo.
What we are saying ni kuna alot of similarities kama hii interchange
images-21.jpg
 
Back
Top Bottom