Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mfano hii ni Kariakoo 👇
Screenshot_20220114-031442_1.jpg
Screenshot_20220114-031435_1.jpg
maxresdefault(68).jpg
kwahiyo bwana Don YF unafkiri haka ka CBD kenu kana ukubwa sawa na Kariakoo 👇
PicsArt_12-12-11.45.24 (1).jpg
em ifike mahala mkubaliane na ukweli bhana
 
Shoddy job as usual but bigger money, hivi ndivyo kunyata amefanikiwa kuwatapeli $106B with nothing on ground

Kadaraja gani sasa haka? Usiku watu wanapitaje hakuna taa? Tanzania kwa BOQ za TANROADS hujengi daraja bila taa kabisa, warnings and reflectives? haya traffic/crash barriers zipo wapi mwishoni mwa lanes kumkinga pedestrian? Shoddy Shoddy Shoddy [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Shoddy bigger picture [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

View attachment 2080098


Haya mambo ya madaraja achieni Tanzania tu, Magufuli Bridge Morogoro hiyo, daraja lina kila aina ya kigezo yet very cheap

View attachment 2080107



View attachment 2080109
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] na nasikia kuwa alitaka kywajengea daraja la mbao ila kidogo nafsi ikamsuta ikabidi awahurumie kiasi,

ila hiko kituko ,siyo poa kwa kweli
 
hapa basi itapita kila baada ya dakika tano in peak hours......tuliza kende tuwafunze jinsi ya kurun a successful brt. Huko kwenu brt ilishafeli
uliifelisha wewe au upo ndotoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si huwa mnataja mko na CBD tatu 😂😂 haya twende kazi. Kwamfano hii ndio posta
IMG_4220 (1).jpg
IMG_4219 (1).jpg
IMG_3898.jpg
daressalaamcity_1640530334915220.jpg
daressalaamcity_1640533799090526.jpg
utalinganisha na nini chenye ukubwa sawa na posta.? Eti bwana Don YF .? Ifike mahala ulete heshima mzee.. usihangaike kuongea uongo, hivi ni vitu vinavyoonekana habidilishwi kwa maneno..
 
Ziko bumper to bumper., sako kwa bako., difference ni kidogo sana., size ya CBD or town developed area is like the same.., google earth shows clearly..,
usipoteze mda mda ni mali ukitaka reality tembea,

google earth is nothing,ingekuwa real 100% ingeonyesha hata vivuli vya watu
images%20(4).jpg
images%20(3).jpg
 
Kwa mfano hii ni Kariakoo 👇View attachment 2080563View attachment 2080564View attachment 2080570kwahiyo bwana Don YF unafkiri haka ka CBD kenu kana ukubwa sawa na Kariakoo 👇View attachment 2080574em ifike mahala mkubaliane na ukweli bhana
Sasa hii KK with small buildings zinaonekana clearly utalinganisha na Nairobi old CBD, na photography sio same distance., 😂 😂 😂.,
1642151983134.png


Very far in the sky..,
1642152070552.png

Ata hii 👇 iko kwa karibu sana ukilinganisha, ila inaonyesha Dar CBD ni moja tu 😂 😂 😂 😂
1642152164660.png
 
Ana ndoto za Dar kupitwa na mombasa [emoji23][emoji23][emoji23] Chizi kweli ilo
huyo hajawahi kutembea huwa anaishia kwenye picha,wenzake tunaijua Nairobi in reality physicall,
anadhani hapa tunaongea kwa kutegemea mapicha picha
 
Sasa hii KK with small buildings zinaonekana clearly utalinganisha na Nairobi old CBD, na photography sio same distance., [emoji23] [emoji23] [emoji23].,
View attachment 2080614

Very far in the sky..,
View attachment 2080618
Ata hii [emoji116] iko kwa karibu sana ukilinganisha, ila inaonyesha Dar CBD ni moja tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2080621
na hii ni eastleigh,kipi cha maana utatuambia kuhusu Nairobi,
nothing special in Nairobi ground ndiyo kuna reality
images%20(5).jpg
 
usipoteze mda mda ni mali ukitaka reality tembea,

google earth is nothing,ingekuwa real ingeonyesha hata vivuli vya watuView attachment 2080615View attachment 2080616
😂 😂 😂 😂 which year was this? 👆 no upperHill tall towers or buildings next to KICC.., Whereas hapa 👇 sio zamani sana.., gorofa tatu ndani..,
1642152668816.png

1642152776772.png

1642152797815.png


Ukubwa sio maendeleo.., one single CBD..,
 
Back
Top Bottom