Haya majitu ni majinga sn, zamani wkt huu uzi unaanza walikuwa wanaongopa kupita maelezo, walikuwa wakipost picha kumi basi ujue saba kati ya hizo co Kenya, walikuwa hawajatujua kamba Watz ndio the most intelligent people in East and Central Africa, walidhani cc ni wazembe kama ndugu zao wanaijeria.
Baadaye wakagundua kwamba hawawezi kutuongopea, so now wamebaki kupost mradi mmoja tu Mana kuiba hawawezi wakiiba au kuongopa ndio tunawaumbua kama hivi, tena huyo Simba ni muongo kupita maelezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]