Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ So sad.. we zunguka rudisha, ila unatakiwa ujue kwamba hakuna comparison kwa ukubwa wa cbd, NAIROBI is just a tiny town kwa DSM mzee, hususan likija suala la ukubwa wa financial districts.. shikilieni uko uko kwenye real Estates, uko ndio comfort zone yenu.. ila uku financial district KK pekee inaitoa makamasi NAIROBI..
Nilikuambia upange CBD zenu zote humu unatapatapa tu, eti kariokoo, muonekano wa kabul., viapartments kwa wingi.., panga moja baada ya nyingine., nikuhesabie vya maana.., hamna chochote., utazunguka palepale tu na kiswahili mingi.., mbona ukweli hampendi, ukubwa sio maendeleo, na ukubwa wa Dar ni udongo na idadi ya watu not business district πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
LOCAL&POOR transportatioj system
utatuambia nini bro cha maana kuhusu Nairobi,kipi special yani?,

mna utaratibu mbovu kwa nyanja ya usafiri kuanzia usafiri wa mikoa mpaka wa daladala zinazozunguka kwenye jiji la Nairobi,
images%20(6).jpg
images%20(7).jpg
images%20(8).jpg
images%20(9).jpg
images%20(10).jpg
Most-Common-Bus-Stations-in-Nairobi-Matatu-stages-terminus.jpg
 
Sasa hii KK with small buildings zinaonekana clearly utalinganisha na Nairobi old CBD, na photography sio same distance., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚.,
View attachment 2080614

Very far in the sky..,
View attachment 2080618
Ata hii πŸ‘‡ iko kwa karibu sana ukilinganisha, ila inaonyesha Dar CBD ni moja tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2080621
Vipi umekosa picha in comparison .? πŸ˜‚πŸ˜‚ Jaribu kuwa fea hata kama unaona unaelemewa.. imeona hiyo KK na posta zote zipo jiji (ilala district) Ambayo Iko na ukubwa huu πŸ‘‡
Screenshot_20220114-123621_1.jpg
while Nairobi yote iko na ukubwa huu πŸ‘‡
Screenshot_20220114-123650_1.jpg
ambapo humo humo ndani kuna mbuga za wanyama slums nyingi mno n.k . Alafu uko hapa uko hapa kubeza DSM πŸ˜‚πŸ˜‚ we ni famba nini.?
 
LOCAL&POOR transportatioj system
utatuambia nini bro cha maana kuhusu Nairobi,kipi special yani?,

mna utaratibu mbovu kwa nyanja ya usafiri kuanzia usafiri wa mikoa mpaka wa daladala zinazozunguka kwenye jiji la Nairobi,View attachment 2080640View attachment 2080641View attachment 2080642View attachment 2080643View attachment 2080645View attachment 2080647
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ni 2022 hii desperation haitokusaidia, unatangatanga google tu, hujui ni mwaka gani, pale hujui pako vipi kwa sasa., hiin haibadilishi ukweli., Dar bado sana kwa Nairobi., tena kwa mbali.., 25 years mtasubiri tu.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚..,
 
Nilikuambia upange CBD zenu zote humu unatapatapa tu, eti kariokoo, muonekano wa kabul., viapartments kwa wingi.., panga moja baada ya nyingine., nikuhesabie vya maana.., hamna chochote., utazunguka palepale tu na kiswahili mingi.., mbona ukweli hampendi, ukubwa sio maendeleo, na ukubwa wa Dar ni udongo na idadi ya watu not business district πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚ Baba kariakoo pekeake inawatoa ushizi, eti ukweli hatupendi .. vitu vinaonekana mzee
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ni 2022 hii desperation haitokusaidia, unatangatanga google tu, hujui ni mwaka gani, pale hujui pako vipi kwa sasa., hiin haibadilishi ukweli., Dar bado sana kwa Nairobi., tena kwa mbali.., 25 years mtasubiri tu.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚..,
For instance this is Kariakoo πŸ‘‡
Screenshot_20220114-031442_1.jpg
Screenshot_20220114-031435_1.jpg
Screenshot_20220114-031831_1.jpg
can you show me anything similar to this kutoka uko Nairobi.?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ni 2022 hii desperation haitokusaidia, unatangatanga google tu, hujui ni mwaka gani, pale hujui pako vipi kwa sasa., hiin haibadilishi ukweli., Dar bado sana kwa Nairobi., tena kwa mbali.., 25 years mtasubiri tu.., [emoji23] [emoji23] [emoji23]..,
ngoja nipige lunch mzee Ojwani ,narejea
 
Vipi umekosa picha in comparison .? πŸ˜‚πŸ˜‚ Jaribu kuwa fea hata kama unaona unaelemewa.. imeona hiyo KK na posta zote zipo jiji (ilala district) Ambayo Iko na ukubwa huu πŸ‘‡View attachment 2080653while Nairobi yote iko na ukubwa huu πŸ‘‡View attachment 2080654ambapo humo humo ndani kuna mbuga za wanyama slums nyingi mno n.k . Alafu uko hapa uko hapa kubeza DSM πŸ˜‚πŸ˜‚ we ni famba nini.?
Leta hiyo sehemu iliyo jengwa ndani ya Ilala District, yaani "town" yake ili nikuonyeshe ukubwa wa Dar ni idadi ya watu na makazi tu..., hadi unaingia wikipedia kujikomboa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
1642154122811.png

1642154207431.png
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Baba kariakoo pekeake inawatoa ushizi, eti ukweli hatupendi .. vitu vinaonekana mzee
Eastlands pekee imefunika hiyo Kariokoo na ni mix ya makazi na biashara kadha unaniambia nini wewe.., point yangu CBD yenu ni moja tu, sehemu moja., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Leta hiyo sehemu iliyo jengwa ndani ya Ilala District, yaani "town" yake ili nikuonyeshe ukubwa wa Dar ni idadi ya watu na makazi tu..., hadi unaingia wikipedia kujikomboa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
View attachment 2080668
View attachment 2080675
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dar huijui utapata tabu sana mzee.. posta, Kariakoo, ilala (mtaa) zote zipo ilala district.. ile industrial area kubwa zote zipo ilala district.. Dar yenyewe kumbe unaiona kwenye picha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Eastlands pekee imefunika hiyo Kariokoo na ni mix ya makazi na biashara kadha unaniambia nini wewe.., point yangu CBD yenu ni moja tu, sehemu moja., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
WANAOGOPA GOOGLE EARTH BECAUSE IT CAPTURES THE SITUATION IN REAL TIME.....
 
Eastlands pekee imefunika hiyo Kariokoo na ni mix ya makazi na biashara kadha unaniambia nini wewe.., point yangu CBD yenu ni moja tu, sehemu moja., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Unaanza Kuchanganyikiwa eeh, unaanza kufananisha financial district na nyumba za makazi ya watu .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ omba poo ndio ntakusameh
 
achana na habari za ukubwa,hebu narudia tena nakuambia hivi ,nothing special kwa hapo Nairobi.
tafuta shughuli ya kufanyaView attachment 2080655View attachment 2080656
Yaani ata ndani ya google earth natafuta angalau nione CBD zingine kila sehemu ni watu tu wanaishi., nyote mmekimbia ufukara wa mashambani na kuleta ufukara Dar.., ona tu...,
1642154612204.png

1642154630993.png

1642154647075.png

1642154661572.png

1642154674729.png

Angalau hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ pako nafuu na sio sehemu kubwa na pana kama vile kwingine πŸ‘† πŸ‘† kulivyo.., Dar bure kabisa..,
1642154690534.png
 
Unaanza Kuchanganyikiwa eeh, unaanza kufananisha financial district na nyumba za makazi ya watu .. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ omba poo ndio ntakusameh
Haukwepi dogo, wapi town ya Ilala district? panga hizo CBD zenu hapa nione maendeleo yao, na ni kipi cha maana., wacha kulia lia.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Yaani ata ndani ya google earth natafuta angalau nione CBD zingine kila sehemu ni watu tu wanaishi., nyote mmekimbia ufukara wa mashambani na kuleta ufukara Dar.., ona tu...,
View attachment 2080682
View attachment 2080683
View attachment 2080684
View attachment 2080685
View attachment 2080686
Angalau hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡ pako nafuu na sio sehemu kubwa na pana kama vile kwingine πŸ‘† πŸ‘† kulivyo.., Dar bure kabisa..,
View attachment 2080687
Naona umeenda kutafuta hadi Mbagala aah kmmk πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, hapo NAIROBI umbali huo unakua upo katikati ya msitu
 
Haukwepi dogo, wapi town ya Ilala district? panga hizo CBD zenu hapa nione maendeleo yao, na ni kipi cha maana., wacha kulia lia.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣 spenso vigunguti
 
Yaani ata ndani ya google earth natafuta angalau nione CBD zingine kila sehemu ni watu tu wanaishi., nyote mmekimbia ufukara wa mashambani na kuleta ufukara Dar.., ona tu...,
View attachment 2080682
View attachment 2080683
View attachment 2080684
View attachment 2080685
View attachment 2080686
Angalau hapa [emoji116] [emoji116] pako nafuu na sio sehemu kubwa na pana kama vile kwingine [emoji115] [emoji115] kulivyo.., Dar bure kabisa..,
View attachment 2080687
ha haaaa,ulitaka waishi punda,
hizo sehemu zote zina huduma zote muhimu,

si lazima uende city center kuchukua kitu
 
Utaandika Kiswahili tu hapa.., weka hizo cbd moja baada ya nyingine, nami nizilinganishe na za Nairobi.., usijali ukubwa wala udogo.., tunaangalia maendeleo yao.., business district buildings, roads, suroundings yako vipi.., unaogopa nini? sina haraka mie..., nataka nikufunze Dar ni makazi na idadi ya watu ndio ukubwa wake.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Niweke mara ngapi baba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unaongea kinoma ila hutoki
 
Back
Top Bottom