Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanasimama watu wangapi hapa, wawili au? Wakenya msijitutumue kushindana na Tz ktk kila kitu mtaumia, ona BRT station jinsi ilivyo, na vile mpo wengi cjui mtasimamaje hapa View attachment 2080226
hapa basi itapita kila baada ya dakika tano in peak hours......tuliza kende tuwafunze jinsi ya kurun a successful brt. Huko kwenu brt ilishafeli
 
Kwani watu wangapi hungoja Kwa stage nkt? On the roads you find to a maximum of five people or so main stage ndo watu Ni wengi but along the road it's 3 to five people mulitaka wajenge warehouse ama?
anadhani itakua kama ile yao unangoja masaa kadhaa bila basi kufika
 
Aafu kuna wenye wanataka kulinganisha Kenyatta University na takataka za UDOM.

1642141166496.png


1642141342310.png
 
Back
Top Bottom