Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

That is a bridge in a a village it's of good quality actually best keeping in mind no much activities take place there. Tanzania village bridges are made of timber kataa nilete evidence nkt!
Kwamba unataka kushindana na Tanzania kwenye ishu ya madaraja?
 
Same still but you can see the quality of the roads in the villages Wacha Kua bongo lala the bigger picture was the quality of the road Kwa village ipite juuvya another road au just vya Maji same thing
Hiyo ni barabara au bridge, idiot you don't even know sections of Bridge Anchorage kwenye riverbanks

Elimu yenu is the shittiest 🚮

Kwahiyo saivi sio flyover tena? 😅😅😅

images - 2022-01-14T083809.011.jpeg
 
BRT iko jikoni same way pia nyinyi mnaimba Na sgr Na hatujawai on electric train hata moja Tanzania so Tulia
Wanasimama watu wangapi hapa, wawili au? Wakenya msijitutumue kushindana na Tz ktk kila kitu mtaumia, ona BRT station jinsi ilivyo, na vile mpo wengi cjui mtasimamaje hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji117][emoji2781]
Screenshot_20220114-084224.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani ndio hivyo hawa mbwa walivyo, wapo kama nyumbu mwenzao akiweka ushubwada wanasapoti wote hata kama ni fix tofauti na sisi, uweke kitu sio wabongo lazima wakunange ila wao full uzumbukuku

Hawawezi kuhoji ndio maana kunyata kakopa $106B lakini hakuna wa kuhoji, kawadanganya kajenga kilometers 10k za lami lakini nusu ya counties zao hazifikiki kwa lami [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji1787]
Kenge mwengine anaitwa Nicxie eti anaita hii ni flyover [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums601365992.jpg
 
Wanasimama watu wangapi hapa, wawili au? Wakenya msijitutumue kushindana na Tz ktk kila kitu mtaumia, ona BRT station jinsi ilivyo, na vile mpo wengi cjui mtasimamaje hapa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji117][emoji2781]View attachment 2080226
Kwani watu wangapi hungoja Kwa stage nkt? On the roads you find to a maximum of five people or so main stage ndo watu Ni wengi but along the road it's 3 to five people mulitaka wajenge warehouse ama?
 
Wakunya lini mnampa Mwasiti uraia wa Tanzania maana ashatofautiana na nyie waimba taarabu wa "Uhuru is overworking" [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaswast huwa anawachana cz alishaujua ukweli kitambo ndio maana akaacha kuchangia humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwamba unataka kushindana na Tanzania kwenye ishu ya madaraja?
Musijenge daraja me is mkadhani mumefika nkt najua daraja hazi zidi Tano Tanzania Na muwache Huo mdomo daraja za Miti kama hizo Ni kibao Na ukipinga tutaleta evidence kadhaa daraja mumejenga nzuri Ni chache Sana so Wacha porojo sababu ya eti tanzanite. Tanzanite nzuri ndio but kijijini daraja zenyu mbovu kuruka
 
Back
Top Bottom