chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
Hujielewi nini bwana kwani huoni kwamba Dodoma haina slums kama zilizotapakaa Nairobi yote?Wewe hujielewi lakini
Hujielewi nini bwana kwani huoni kwamba Dodoma haina slums kama zilizotapakaa Nairobi yote?Wewe hujielewi lakini
Punguza jazba, tanzania ya mikopo viwanda viko pembeni kwanza..Jiongelee shithole yenu iliochukua mkopo wa dollars billions 83 lakini kwa round hakuna mradi wowote wa maana zaidi ya MGR km 300 ilioishia kichakani
Kwani mna muundombinu Mwingine mkubwa zaidi ya ile MGR ya kichakani? Nikumbushe![]()
Ila mwisho wa siku katika hilo deni lenu la dollars billions 83 hakuna mradi wowote unaoreflect ukubwa wa deni kabisa, bado mnahitaji mkopo mpya wa dollars billions 100 kufika angalau kuwa na bullet train kama yetu ya kilometers 1500 😂😂😂😂Punguza jazba, tanzania ya mikopo viwanda viko pembeni kwanza..
Maskini nchi yenye asali na maziwa
Mama kasema kukopa sio mbaya mbona ukasirika wewe sasa na wakati kasema tu ukwel
JamiiForums mobile app
Uzuri mama sio mbabaishajiIla mwisho wa siku katika hilo deni lenu la dollars billions 83 hakuna mradi wowote unaoreflect ukubwa wa deni kabisa, bado mnahitaji mkopo mpya wa dollars billions 100 kufika angalau kuwa na bullet train kama yetu ya kilometers 1500
Mlikopa kulipa mishahara na kununua chakula,


Walai?
Jamaa wamekuja kw kasi sai, yani kumbe miradi imekwama kisa hela hadi mama akaamua kuweka wazi..Walai?
Jamaa wamekuja kw kasi sai, yani kumbe miradi imekwama kisa hela hadi mama akaamua kuweka wazi..
Ndio anakopa amalizie miradi hivi km hujui
JamiiForums mobile app

sasa 55% ya deni na kaGDP ni $60b si Tanzania ambayo ni ldc iuzwe tu.Giant inayokopa kununua mahindi? 😂😂😂😂Uzuri mama sio mbabaishaji
Anasafisha kila kitu...
Maneno ya majukwaani pia kwishnehi, unenguaji umepungua katika kiasi kikubwa alafu ukopaji umeanza kuwekwa wazi..
Bado akope amalize esijiare na miradi mingine iliyokwama, mwaka ukiisha mtacheza 90% si nyinyi mnataka kushindana na sie..
Twendeni tu lkn mwisho mtafanywa km alivyosema ndugai, uwezo wa kulipa hamna alafu mnajitia kushindana na giant
JamiiForums mobile app
Do you even have a brain let alone eyes.....lol.stop running to dodoma village without an airstrip. This hovels covering 90% of dar and Tanzania huoni.......weh!Then I am sorry for you people.....Hujielewi nini bwana kwani huoni kwamba Dodoma haina slums kama zilizotapakaa Nairobi yote?
Nawashauri mfanye audit ya deni lenu la dollars billions 105 from last year lakini hamna chochote mlichonacho mkononi, zaidi ndio mnazidi kufa njaa na kuomba msaada wa chakula 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️sasa 55% ya deni na kaGDP ni $60b si Tanzania ambayo ni ldc iuzwe tu.
Zaidi ya 60% mnaishi kwenye slums, sio maneno yangu 🤣🤣🤣🤣Do you even have a brain let alone eyes.....lol.stop running to dodoma village without an airstrip. This hovels covering 90% of dar and Tanzania huoni.......weh!Then I am sorry for you people.....View attachment 2079418View attachment 2079419
Any Tanzanian will never see any problem with this pics but they too fast to lament our informal settlements.Do you even have a brain let alone eyes.....lol.stop running to dodoma village without an airstrip. This hovels covering 90% of dar and Tanzania huoni.......weh!Then I am sorry for you people.....View attachment 2079418View attachment 2079419
Kwahyo dar nzima iko na 3 pedestrian bridges 😂😂😂 acha kuwa muongo mzee, upo radhi uongee uongo mzee baba 😂😂😂 .. morogoro road alone (from CBD to Kimara mwisho) has 3 pedestrian bridges ambayo yapo maeneo ya Manzese, Ubungo na kimara mwisho.. .. nakuongeza hii hapa kawe bondeni bagamoyo road 👇.Siongelei pedestrian bridges tatu kwa jiji nzima. Naongelea pedestrian bridges zisizohesabika maanake mji mkubwa kama Dar unafaa kuwa nazo kila Mahali. Hiyo Kibaha highway haifai kuwa na Zebra crossing hata moja. Inafaa kuwa na pedestrian bridges more than 20. Thika road pekee inazo 30.
Zaidi ya 60% mnaishi kwenye slums, sio maneno yangu
Hii ni Nairobi tu, note, hakuna mji wowote Kenya usio na utitiri wa slums
View attachment 2079440


😂😂😂😂😂 Tena hizo wamepunjwa, Nairobi tu ina Slums zaidi ya 30 Yaani hata vile viestate vyao vidogovidogo havifiki 15, literally zaidi ya 90% ya population ya Nairobi ipo kwenye SlumYaani kumbe 60% ya Wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye Slums? Hawa watu tunaongea nao nini? Maajabu……![]()
Zoom in ushangae na roho yakoAny Tanzanian will never see any problem with this pics but they too fast to lament our informal settlements.
Chungchang your dar is just a slum villageDo you even have a brain let alone eyes.....lol.stop running to dodoma village without an airstrip. This hovels covering 90% of dar and Tanzania huoni.......weh!Then I am sorry for you people.....View attachment 2079418View attachment 2079419
si useme tu 100% ndio ujiliwaze.....download google earth and see the world for yourself then compare with those poor villages of yours in tanzania you call cities😂😂😂😂😂 Tena hizo wamepunjwa, Nairobi tu ina Slums zaidi ya 30 Yaani hata vile viestate vyao vidogovidogo havifiki 15, literally zaidi ya 90% ya population ya Nairobi ipo kwenye Slum