fantasticfive
Senior Member
- Jan 7, 2022
- 160
- 286
I just can't 😂😂. Tanzanian police ni walalahoi tu in tattered uniforms
Wuen to have told you Wacha just listen to me there are no worth estates hapoAchana na Dom wewe, tatizo la Tanzania ni hatuna photographers wa maeneo
Hii ni michese Dom
Angalia
Quality of housings
Neighborhood
Streets
Lights
Marks
Nairobi huikuti hii kabisa, Dom na yenyewe ni kubwa mara kibao kwa Nairobi so Nairobi kupigwa na Dodoma ni kitu cha kawaida, Dom hakuna slums kabisa
View attachment 2079122
Hivi advert za coca cola za Christmas's ndizo watanzania walikuavwanaringa nazo ambazo coca cola ilifanya all over huku Hadi ndanibya estates Na hakuna aliye babaika nayo hehe ushamba upon Tanzania Ni mkubwa
Hakuna developers wah estates lazima waweke Lami hawapari wateja was kununua nyumba Wala kukodi Kuna areas yes hakuna Lami lakini chache and unapata either ilikua ikangoka au Ni sehemu Haikua planned watu walIjenga tuhao wakenya ni wajinga sana wanategemea street rami za estate zinazomilikiwa na single person au group la watu flani,ambazo kwa estate ni kawaida kuwa kwenye mazingirs hayo ,
ukiwasikia hapa kams hujawahi kutembea kenya utadhani street zao zote zina rami na taa,kumbe indeep kwa ground ni 0.2% tu ya jiji zima la nairobi
seems you are new to jamii forum......there is a Thika vs Dodoma thread........your village capital townUsiongee tu kama umekatwa kichwa, mna estate gani ya average people yenye ukubwa huu Kenya nzima?
Usilete vile vya upande upande
View attachment 2079077
Thika vs DODOMA 😂😂 wacha kichaa weweseems you are new to jamii forum......there is a Thika vs Dodoma thread........your village capital town
Mmh, Mimi ninachojua pale lamu kuna tembo anakosa majani ya kula.Huko Lamu si ndio wanasema kuna bandari ?
Do you think thika inaweza karibia dom hata kwa 1/4 tu.?
Estate roads zimejaa eastlandsI bet Nairobi yote huwezi kuta Street kama hii ya Dodoma, Chidachi is not even among posh areas of Dom
Mtu akusaidie na maziwa hii bangi ni mingiDodoma ikikamilisha miradi yake yote inayoendelea Nairobi ijipange
Mpaka saivi Nairobi haioni ndani kwa estates za Dodoma
View attachment 2079076
Kuliko unyamaze lazima utafute kitu cha kusema....huku kwetu tunawaita miyeyushoKwani mnatumia rangi ya maji kufanya marking? Mbona marking inakaa low quality?