Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania watakuwa wanakuja Kisumu kupata courses za marine.

1641641189496.png

1641641258128.png

1641641295649.png

1641641343966.png

1641641456606.png
 
As Kenya is growing at a rate of 10%, Tanzania is still stuck at 4%

 
Kuna Wabongo fulani huku ambao wamezoea tabia ya kusema kwamba Gdp ni ya kwenye makaratasi. Maanake ni kwamba IMF na World Bank ni Wajinga wakisema Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda South Africa. Kwamba wengi wenu hamuamini kwamba Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda South Africa. Kwanza uchumi wa Lagos city pekee inatoshana na uchumi wa Kenya. Hebu tazama projects 20 za Nigeria ambazo zitakamilika mwaka huu. Hawa wanaija msiwadharau sana, huwa mnasema kwamba uchumi wao ni wa mafuta pekee lakini sivyo.


Siwasemi wanaigeria ila lagos hapavutii hata...Kiukweli kabisa labda izo projects zikamilike ndio panaweza eleweka...
Kuhusu uchumi iko hivi....ili tusema Nigeria imeendelea kuliko S.A ilibidi kwa pop yao ya watu 200m wawe na GDP ya $1.4trillions maana S.A wana pop kama tanzania 55-60m na wana GDP ya $329B yani hawa literally wameendelea zaidi wanamaisha mazuri zaidi kuwazidi wanaigeria by far
 
How can a middle income country be poorest country, do you understand the meaning of "Middle Income country?", Are you still in slums?
eti middle income country 😂 😂 😂 😂 😂 hivyo ndio propaganda machine ya CCM ilikua inatangaza, hawawezi kusema Lower Middle income 😂 😂 😂 😂 😂 pia Zimbabwe ni LMIC and they look like it.., wafikie kwanza..,Harare has far better looks than Dar and Bulawayo is far better than Mwanza.., fikeni hizi levels, BRT isi wadanganye..,

I like the looks of Harare and vibe ya Zimbabweans..., wako sawa despite the political challenges(exposure muhimu) Dar na Tz tulieni, nyie bado mko na kaushamba flani hivi 😂 😂 😂
1641643831181.png

1641643950274.png

1641643964207.png

1641643977055.png

1641643987819.png

1641644001260.png

1641644010393.png

1641644023078.png

1641644065422.png

1641644133430.png
 
Harare.., Lower middle income indeed.., just a matter of time they will rise again.,
1641644455842.png

1641644301919.png

1641644322834.png

1641644332949.png

1641644341991.png

1641644351119.png

1641644361933.png

1641644370406.png

1641644380273.png

1641644390476.png

1641644404380.png

1641644418310.png

1641644427982.png

1641644437743.png
 
Watanzania wakati mwingine mna akili ndogo sana...hivi mtasaidika aje nyinyi???? kipato chenu kama nchi ni kidogo sana na hakiwezi kukidhi mahitaji ya nchi yenu ...kumbukeni...mna majeshi, madakitari, mawizara na walimu wa SHULE za umma nakadhalika...your GDP is only 69 billion dolars. ..hii haiwezi kuwasaidia hata kulipa mishahara zenu vizuri....nchi yetu ya kenya GDP yetu ni 109 billion dollARS NA BADO TUNA KOPA...NA HAPA mkumbuke idadi yetu ya watu ni ndogo kuliko yenu na watu karibia milioni kumi hivi..halafu pia nchi yenu ni kubwa, area wise....Rais suluhu anajaribu kuwasaidia lakini hamuoni....hivi mtaerevuka lini nyinyi...na ni masomo gani hii mnafunzwa shuleni? upumbavu umewajaa sana. jameni jaribuni for once and try to listen to this great leader you have...kwa kweli anasuluhu. ikiwa nchi kama marekani na japan wana madeni na GDP zao ni kubwa mno...itakuwa aje nyinyi mnajaribu kupinga issue ya deni? stupid
Yaani mwenye njaa anamuona aliyeshiba hana akili? Subiri msosi wa msaada toka China acheni longolongo
 
Kumbe mnaendaga tibiwa hawwasa hospital huko Addis Ababa halafu. Sasa GDP ila faida gani maana basic needs zinapiga chenga no food , shelter mnaonesha viapartment vichache , hospitali ndio hivyo maji na umeme utata. Kunyaland kweli kugumu
 
i can say, zimbabwe, just like kenya or ghana or even zambia, etc. were built on very strong colonial foundation, that can clearly be read on their architecture, infrastructure, urban planning, education systems, english as official language, and the whole systems of country in general..
i'd say colonization was more of a blessing to us than it would if it was a curse. even wishing the white men could have left our country in the 90's like the case with south africa.
just remaining virgin and uncolonized is a big demerit to a country, like the case with TANZANIA and ethiopia or liberia. as much as they seem to have enjoyed freedom, but by that, it left them the most ignorant, isolated and impoverished countries in the world. as much as they seem to be growing now, tht growth was just realised the other day. visa vie, they started everything from scratch. otherwise prior to tht, they were at the bottom list as among the poorest countries. NB: liberia still is.!
i still wonder how tanzania qualified to join commonwealth, yet it was briefly colonized by germans who never left any tangible impact at all. tanzania had to start everything from 'zero', they started as late as from the 2000's.. 🤔. which is why kenya or zimbabwe (was it only not for mugabe) have always been ahead of tz ever since the dawn of the colonial regime
 
Madaraja ni muhimu sana mzee wangu yawe ni costful or not nilazima tujenge, kwasababu Madaraja huunganisha sehemu moja kwenda semehemu nyingine na hataimae kufungua shughuli za kiuchumi, kwa mfano daraja la Wami, daraja lililokuepo zamani lilikua jembamba lisoloruhus kupishana magari mawili wakati mmoja na lilikua likisababisha ajali zilizopelekea vifo na upotevu wa mali za watu, hata hivyo ni daraja linaloiunganisha mikoa ya kaskazini na Dar es Salaam, hivyo ni daraja muhimu kiuchumi ukizingatia usafiri mkubwa unaotumika Tz ni magari.. daraja la zamani View attachment 2073159View attachment 2073161View attachment 2073162ujenzi wa daraja jipyaView attachment 2073163View attachment 2073164View attachment 2073165halkadhalika kwa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi, lile eneo kama umewahi kufika lakini, ni 3km+ na ni eneo muhimu sana kwa uchumi wa Kanda ya ziwa kwa maana linaunganisha wilaya ya sengerema ambayo ndio njia ya kwenda Mkoa wa Geita na Kagera, maelfu ya watu pamoja na vyombo vyao vya usafiri hupita pale kila siku kwa kutumia vivuko/mitumbwi ambavyo ni westage of time, and it's very risk (zipo record za watu kuzama na vivuko pale), pia kutokuwepo kwa daraja pale kunazorotesha ukuaji wa uchumi wa mikoa hii ya kanda ya ziwa kwasababu, watu pamoja na mizigo husafirishwa kila siku kutoka bukoba kuelekea Mwanza kwa meli kwa zaidi ya masaa 11, ila ujenzi wa daraja hili ukikamilika utarahisisha safari hiyo kutoka masaa 11 hadi masaa 5, lakini kwa wanaotumia kile kivuko pia mabasi yakifika pale husimama na kusubur vivuko. there for ujenzi wa madaja ni cost full nakubaliana na wewe lakini pia Madaraja ni muhimu tujenge ili tuweze ku Link maeneo yetu ya uzalishaji na maeneo ya biashara ili tufungue uchumi wetu..
Nahisi haujanielewa vizuri bro..Nilichosema..sio kwamba madaraja sio muhimu au hayahitajiki..ni kwamba ..yenyewe ndo yanatufanya tuonekane hatu progress cause yana consume alot of money ..at once ambayo kama ingekuwa hatuna mito mingi ..progress yetu ingekuwa ya haraka..ushaimagine tungekuwa hatujengi wami bridge na kigogo busisi hyo hela ingewekwa SGR si ingekuwa inakarbia kuisha.....

But i dont blame kwamba tunayajenga cause yanahitajika...ku connect miji...na vijiji...

Ni kama mtu anayejenga Ghorofa..Msingi unakula hela nying unaweza karbia na nyumba ya kawaida isiyo ya ghorofa..ila msingi ndo muhimili wa nyumba ..

Its like a double edged sword

Madaraja kama yataisha ..mengi miaka mi tano ijayo..yatatufanya tu focus kuweka mtandao mkubwa wa lami na hata kuendelea kutandaza network ya SGR ..na project nyingne za umeme , maji , elimu..

Ujenzi wa madaraja ni kama tunajenga msingi vile..ndio maana GDP yetu inaonekana haitembei ..tuko kwenye kuweka msingi wa maana ..kwa ajili ya uchumi wetu ..na sio madaraja tu ..bali hata SGR , nayo hizo zote ni building blocks

Uchumi wetu utapaa sana hizi Big Transport projects hasa Bridges zikisha, ATC ikifika stage ya kujiendesha bila haja ya serikali ku iject hela nying kununua ndege ..Hela itabaki ku focus ku develop Human Capital and social services amabyo hyo ni crucial for development ..
 
Hivi uchumi wa Kenya sio Agriculture based Economy?
Kenya is a market based economy bro, wakenya sio wazembe


A market economy is an economic system where two forces, known as supply and demand, direct the production of goods and services. Market economies are not controlled by a central authority (like a government) and are instead based on voluntary exchange.

JamiiForums mobile app
 
infact agriculture based economy is a true characteristic of a least developed, poor and impoverished country. agriculture in US for instance, contributes only 1% of the national economy, yet again its the biggest producer of maize globaly.
service and industrial based economy is the way to go in this 21st century
Hyo ni mpumbavu sana, hajui chochote kuhusu uchumi

JamiiForums mobile app
 
GTC city alone, looks more worldclass, more western, classic, just outstanding!. furthermore it dwarfs your only 3 'national' structures to nothing
GTC won't look western because it's Chinese, at least we got 'national' structures, you got Chinese structures all over, China owns Nairobi and Kenya
 
Umekimbia kwenye dam manake umeona hapagusiki, ukulima ni umaskini tu ukilinganisha na sekta zingine...

Km gunia moja la mahindi linauzwa kw mfano ksh 2k ina maana wewe km mkulima hata ukiuza magunia 42 hununui hata iphone 12pro max..
Sasa hapo ukulima una faida gani kw dunia sasa

JamiiForums mobile app
Dah aisee!
 
Ukulima ni kuumizana tu walai, yani km unafanya ukulima basi unatakiwa ujichanganye sana manake haswa..
Utatoa magunia kibao alafu ukija ukiangalia faida ni hata laki haifiki imagine..

Ukicheki ule mda umetumia na faida yenyewe hata haviendani...
Yani kw mtu mwnye akili ukulima ataufanya km side hustle au basi aendeleze ukulima wenye bidhaa za hela ndefu nao sio rahisi

JamiiForums mobile app
Wewe ongelea kilimo cha kunyaland huko, usiongee hivi kwa Watanzania sababu unaweza kuuwawa, kuna rafiki yangu aliwekeza million 2 kwenye kilimo cha maharage akapata million 15 halafu umwambie huu upuuzi anaweza kukupiga bastola ufe!
 
Back
Top Bottom