Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

$1.44 trillion ndio biashara nyinyi hu export to EA na ni 64.3 percent ya biashara yote nyie hufanya Afrika at large 😂😂😂, data za sasa zinaonyesha sisi ndio wababe wa EA, kule SADC sisi tunafanya nao biashara (tuna export) of almost $1 trillion. Ndio mtatuweza sasa 😂😂😂 uko duniani wala usitaje mana hakuna kitu cha gharama chenye mta export, chai.? Matunda.? 😂😂😂
Akili yako iko sawa kweli? Umesema SADC pekee mnafanya nao biashara almost $1 trillion?😂😂😂 Do you know what $1trilion is? Ama unaongea tu hili ujifurahishe?
 
Tulishakubaliana Dar ishindane na Mombasa kwa when it comes to roads.

This is Mombasa.

1641634193327.png
 
Umeongea kwa maumivu sana,.., skiza mziki hapa uwache kuota ni jumamosi.., Dar ni hafifu sana inabidi u support your manicured pictures kwa maneno yaani upake Nairobi matope na kuitaja pamoja na Juba ili angalau Dar ionekane lakini wapi, napenda unavyohangaika kutetea visivyo, hehehe

wanatumia nguvu nyingi sana na gdp ya 50 billion.....nkt
 
Kati ya Nigeria na South Africa ni nchi gani imeendelea?, Ukiambiwa uchague kuishi Kati ya Nigeria au South Africa utapenda wapi?, hiyo ndio maana ya GDP ya kwenye makarati, kwamba ukianga vitabu vya IMF na WB vyote vinasema Nigeria Ina GDP kubwa kuzidi South Africa, lakini ukifika Nigeria huoni huo uchumi mkubwa "physically"
South Africa wana maisha mazuri kwa sababu ni wachache na wana Gdp kubwa manaake wana high Gni per capita. Nigeria wana maisha magumu kwa sababu wako wengi kwa hivyo wengi wao hawapati kukula matunda ya nchi lakini sio kwamba Nigeria haina miundo mbinu. Ungetazama hio video ungeona miundombinu wanazo na wanaendelea kujenga zaidi ila haifaidi kila Mnigeria, wengi wao bado hawapati faida ya miundo msingi hizi.
 
$1.44 billion ndio biashara nyinyi hu export to EA na ni 64.3 percent ya biashara yote nyie hufanya Afrika at large 😂😂😂, data za sasa zinaonyesha sisi ndio wababe wa EA, kule SADC sisi tunafanya nao biashara (tuna export) of almost $1 billion. Ndio mtatuweza sasa 😂😂😂 uko duniani wala usitaje mana hakuna kitu cha gharama chenye mta export, chai.? Matunda.? 😂😂😂
Ona sasa, I once told you sometimes you should keep silent hausikii! 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom