Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania imejenga irrigation schemes zenye ukubwa mara tatu zaidi ya Kenya, wakati eneo linafanya kilimo cha umwagulia Kenya ni hekta 200K, Tanzania ni 800K, wakati Kenya ndiyo nchi kame zaidi ya TZ
Umekimbia kwenye dam manake umeona hapagusiki, ukulima ni umaskini tu ukilinganisha na sekta zingine...

Km gunia moja la mahindi linauzwa kw mfano ksh 2k ina maana wewe km mkulima hata ukiuza magunia 42 hununui hata iphone 12pro max..
Sasa hapo ukulima una faida gani kw dunia sasa

JamiiForums mobile app
 
Umekimbia kwenye dam manake umeona hapagusiki, ukulima ni umaskini tu ukilinganisha na sekta zingine...

Km gunia moja la mahindi linauzwa kw mfano ksh 2k ina maana wewe km mkulima hata ukiuza magunia 42 hununui hata iphone 12pro max..
Sasa hapo ukulima una faida gani kw dunia sasa

JamiiForums mobile app
They are still in the Agrarian revolution.
 
They are still in the Agrarian revolution.
Ukulima ni kuumizana tu walai, yani km unafanya ukulima basi unatakiwa ujichanganye sana manake haswa..
Utatoa magunia kibao alafu ukija ukiangalia faida ni hata laki haifiki imagine..

Ukicheki ule mda umetumia na faida yenyewe hata haviendani...
Yani kw mtu mwnye akili ukulima ataufanya km side hustle au basi aendeleze ukulima wenye bidhaa za hela ndefu nao sio rahisi

JamiiForums mobile app
 
Yani a whole country only has 2.7M customers connected to electricity.


Energy Minister Dr Medard Kalemani has announced that Tanzania has recorded its highest percentage in access to electricity so far with 84.6% in 2020.

Dr Kalemani said the number of villages with access to electricity rose to 9,112 in April 2020 from 2,018 in 2015, reports Tanzania Daily News.

Read more about:
Tanzania
Energy access
Energy mix



The number of customers connected to the main source of power also reached over 2.766 million, up from 1.473 million, or an increase of 1.293 million new connections.

According to the minister, power generation in the country had also increased to 1,601.84 megawatts as of last April from only 1,308MW in 2015.

The increase in power capacity is attributed to the completion of Kinyerezi I and II natural gas-powered station generating a combined capacity of 398.22MW.


Natural gas in the country’s largest source of power mix accounting to 892.72MW of the national grid.

Hydropower contributes 573.70MW, while heavy oil and biomass make up of 88.80MW and 10.50MW, respectively.

Dr Kalemani also revealed that works on the construction of the Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP), which will pump an additional 2,115MW into the national grid, has reached 85% and will be completed in 2022.

“We are planning to continue implementing other electricity-generating projects during the forthcoming financial year,” he said.
 
Uwingi wa Mito Tanzania ni double edged sword..Upande mmoja ni advantage kwani..Kilimo, Uzalishaji wa umeme yote hutumia maziwa na mito....

Upande mwingine sasa ni disadavantage ..maana madaraja ni very costful kujenga...Daraja kama la Kigogo Busisi litacost 700billion tsh hela inatosha kujenga Kilometer 350 plus za lami ...kama Bei ni billion 2 tsh per kilometer .including Taa na drainage system

Kilometer 350 ni sawa na kwenda hadi Dar hadi karibia na Tanga ...

Building of bridges ..slows down Tanzania economy somehow(if money could be spent on hospitals ,education , developing Human capital)...but also bridges are needed as connection and to save time
Madaraja ni muhimu sana mzee wangu yawe ni costful or not nilazima tujenge, kwasababu Madaraja huunganisha sehemu moja kwenda semehemu nyingine na hataimae kufungua shughuli za kiuchumi, kwa mfano daraja la Wami, daraja lililokuepo zamani lilikua jembamba lisoloruhus kupishana magari mawili wakati mmoja na lilikua likisababisha ajali zilizopelekea vifo na upotevu wa mali za watu, hata hivyo ni daraja linaloiunganisha mikoa ya kaskazini na Dar es Salaam, hivyo ni daraja muhimu kiuchumi ukizingatia usafiri mkubwa unaotumika Tz ni magari.. daraja la zamani 👇
maxresdefault(61).jpg
Screenshot_20201019-170304-702x380.png
james-660x400.jpg
ujenzi wa daraja jipya👇
dodoma_zone__1641594629343910.jpg
dodoma_zone__1641594629343904.jpg
dodoma_zone__1641594629342408.jpg
halkadhalika kwa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi, lile eneo kama umewahi kufika lakini, ni 3km+ na ni eneo muhimu sana kwa uchumi wa Kanda ya ziwa kwa maana linaunganisha wilaya ya sengerema ambayo ndio njia ya kwenda Mkoa wa Geita na Kagera, maelfu ya watu pamoja na vyombo vyao vya usafiri hupita pale kila siku kwa kutumia vivuko/mitumbwi ambavyo ni westage of time, and it's very risk (zipo record za watu kuzama na vivuko pale), pia kutokuwepo kwa daraja pale kunazorotesha ukuaji wa uchumi wa mikoa hii ya kanda ya ziwa kwasababu, watu pamoja na mizigo husafirishwa kila siku kutoka bukoba kuelekea Mwanza kwa meli kwa zaidi ya masaa 11, ila ujenzi wa daraja hili ukikamilika utarahisisha safari hiyo kutoka masaa 11 hadi masaa 5, lakini kwa wanaotumia kile kivuko pia mabasi yakifika pale husimama na kusubur vivuko. there for ujenzi wa madaja ni cost full nakubaliana na wewe ✅ lakini pia Madaraja ni muhimu tujenge ili tuweze ku Link maeneo yetu ya uzalishaji na maeneo ya biashara ili tufungue uchumi wetu..
 
Back
Top Bottom