Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaiyo ndio umeandika nini hapaaa
Nikuulize kaka...na hiyo GDP yenu kidogo...mkishalipa mishahara ya wafanyikazi wa umma mnabaki bure....mtatoa wapi pesa za kumalizia miradi zenu nyiiiingi mnazozifanya eti kushindana na kenya...hata kwa umaskini ..kuna masikini aliye tajiri...huko huko uswahilini kuna wanao heshimika kwa utajiri wao...vivyo hivyo ndio kenya inaheshimika kwa utajiri wake hapa east and central africa....hapana machezo bro...
kisha usikosee ukaiweka kenya kwa category moja na tz...sisi kwa kusema kweli sio wenzenu bana...a difference of 35 billion dollars is not your peer brother. tuko level tofauti sana na ni kwa sababu ya akili yetu...sio mafuta...wala nini ,,,ni ujanja wetu...na hili ndio Rais suluhu anajaribu kuwaletea lakini aiseee upumbavu wenu umekita mizizi...ndio maana corona..mliichukulia juu juu sahiii mnatahadhari...very late ....ilibidi imle kichwa mmoja wenu ndio mkaagutuka...yaani akili ndogo kweli...
Issue hapa sio kukopa kiwango cha chris kirubi ila ni kukopa ..but kwa kiwango changu...Tanzania is a very pooor country na laZIMA MKOPE NDIO RELI YENU SGR ANGAA IANZE KAZI....by the way itaanza lini tuko 2022 bro siku zaenda chungeni isishike kutu...shida ya kuiga kenya blindly...ni nini yenu inafanya kazo? blue prints ndio nyingi lakini hakuna hatua wala completed projects.
aCHENI RAis akope ili nchi yenu ipanuke kiasi
Kindly i advice you to use English....
 
So are we equal now?fool as alwaysHappy new year....mipesa fukara....
Hile uongo wenu wa sijui sisi hatukopi imekuwa exposed🤣🤣🤣, yani mwaka moja mmekopa $5B? Na hiyo bado hatujaongelea zile grants and donations😂😂
 
na hii ndio upper hiill🤣🤣👇👇View attachment 2073697
reminds me so much of atlanta
screen_shot_2017-05-02_at_43221_pm.png__1600x900_q85_crop_subsampling-2.png
6a38d5f72c171106562f7bdf50a59690.jpeg
 
Nikuulize kaka...na hiyo GDP yenu kidogo...mkishalipa mishahara ya wafanyikazi wa umma mnabaki bure....mtatoa wapi pesa za kumalizia miradi zenu nyiiiingi mnazozifanya eti kushindana na kenya...hata kwa umaskini ..kuna masikini aliye tajiri...huko huko uswahilini kuna wanao heshimika kwa utajiri wao...vivyo hivyo ndio kenya inaheshimika kwa utajiri wake hapa east and central africa....hapana machezo bro...
kisha usikosee ukaiweka kenya kwa category moja na tz...sisi kwa kusema kweli sio wenzenu bana...a difference of 35 billion dollars is not your peer brother. tuko level tofauti sana na ni kwa sababu ya akili yetu...sio mafuta...wala nini ,,,ni ujanja wetu...na hili ndio Rais suluhu anajaribu kuwaletea lakini aiseee upumbavu wenu umekita mizizi...ndio maana corona..mliichukulia juu juu sahiii mnatahadhari...very late ....ilibidi imle kichwa mmoja wenu ndio mkaagutuka...yaani akili ndogo kweli...
Issue hapa sio kukopa kiwango cha chris kirubi ila ni kukopa ..but kwa kiwango changu...Tanzania is a very pooor country na laZIMA MKOPE NDIO RELI YENU SGR ANGAA IANZE KAZI....by the way itaanza lini tuko 2022 bro siku zaenda chungeni isishike kutu...shida ya kuiga kenya blindly...ni nini yenu inafanya kazo? blue prints ndio nyingi lakini hakuna hatua wala completed projects.
aCHENI RAis akope ili nchi yenu ipanuke kiasi
ni ndefu.. sikusoma.
causes_of_ear_itching_s1.jpg
lengthy narrative in swahili realy sucks🤮
 
Wewe ongelea kilimo cha kunyaland huko, usiongee hivi kwa Watanzania sababu unaweza kuuwawa, kuna rafiki yangu aliwekeza million 2 kwenye kilimo cha maharage akapata million 15 halafu umwambie huu upuuzi anaweza kukupiga bastola ufe!
Acha kutetea ukulima mzee, hata sisi tuna mashamba walioko huko ni wafanyikazi na tu...
Hela ya inayotakana na mazao kwetu sio primary sana, inafanyiwa mambo mengine madogo madogo wala sio tegemezi mzee...

Ukulima wa faida basi ni ujitolee sana, yani unatakiwa mambo mengine uyaache kabisa...
Yani kwenye mahindi unawekeza kitu ksh 20-30k alafu ukivuna unapata kitu ksh150k imagine na hapo uliji commit sana ndani ya hicho kipindi chote

JamiiForums mobile app
 
Kumbe mnaendaga tibiwa hawwasa hospital huko Addis Ababa halafu. Sasa GDP ila faida gani maana basic needs zinapiga chenga no food , shelter mnaonesha viapartment vichache , hospitali ndio hivyo maji na umeme utata. Kunyaland kweli kugumu

Kazi ni kupika data.
 
The part to be dualled is from Uyole to Mbalizi which is about 9KM. So please usidhani watu ni wajinga huku.
Wewe ni mshenzi,kwa hiyo unabishana na Naibu Spika ambae anatoke Mbeya au? Biashia hiyo taarifa ya gazeti rasmi.

Kwanza wewe ni mjinga,Uyole-Mbalizi ni zaidi ya 20km,with bypass ni 40 km sijui unaongea utumbo gani.

Dualing itaanzia Igawa hadi Tunduma border hutaki jinyonge.
 
Acha kutetea ukulima mzee, hata sisi tuna mashamba walioko huko ni wafanyikazi na tu...
Hela ya inayotakana na mazao kwetu sio primary sana, inafanyiwa mambo mengine madogo madogo wala sio tegemezi mzee...

Ukulima wa faida basi ni ujitolee sana, yani unatakiwa mambo mengine uyaache kabisa...
Yani kwenye mahindi unawekeza kitu ksh 20-30k alafu ukivuna unapata kitu ksh150k imagine na hapo uliji commit sana ndani ya hicho kipindi chote

JamiiForums mobile app
Funga bakuli lako wewe taahira sababu hakuna sense yoyote unayoongea, kilimo ndio sector inayoajiri watu wengi duniani na ndio inayoshikilia uchumi wa dunia, kama kilimo sio fani yako usiongelee kilimo na mentality kama hii yako ndio inatafanya mfe na njaa zaidi
 
Back
Top Bottom