Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama rafiki zako wanakuletea unga wa mahindi Kama zawadi basi unapaswa kujitathimini upya na uanze juhudi za kujitoshekeza kwa chakula, lazima utakua na shida ya njaa.
.
Huku kwetu hakuna hata nafasi ya kuhifadhi gunia Moja la mahindi, tunatafuta soko ili tupunguze mahindi, wewe ukituletea mahindi Kama zawadi lazima tukushangae.
Uhuru aliulizwa anataka nn kama zawadi akasema unga wa mahindi watu wake wana njaa!
 
Can I list for you all the upcoming 30+ floors towers coming up Nairobi? Here they are.

1. GTC office -43f
2. Marriot Hotel -35f
3. GTC residential 1 -33f
4. GTC residential 2 -33f
5. GTC residential 3 -31f
6. 88 Nairobi - 44f
7. River EState 1 - 34f
8. River Estate 2 -34f
9. River Estate 3 -34f
10. River Estate 4 - 34f
11. River Estate 5 - 34f
12. River Estate 6 -34f
13. River Estate 7 - 34f
14. River Estate 8 -34f
15. River Estate 9- 34f
16. River Estate 10 - 3f
17. River Estate 11 34f
18. River Estate 12 - 34f
19. Rhama Tower - 30f
20. 1870 west tower - 30f
21. 1870 west tower B - 30f
22. Altura Tower - 30f
asante kwa kujaza vitu renders asante sana 😂😂😂😂😂😂😂
 
Endeleeni kusubiria,aliyetucheleweshana ni yule zalimu mwendazake,miaka yake yote uchumi ulianguka but now si unaona tumeanza kurudi kwenye viwango vyetu na mumeanza kulia Lia.

So far tumeshaondoa trade deficit,tumepagika kwenye utalii ,tumewapiga kwenye FDI na tunakuja kwa speed kubwa kwenye sekta zingine.
Hahaha tumesubiri mpaka tumechoka. Sio mara ya kwanza nyinyi kutuambia tusubiri kwamba mtatupita.
 
Watanzania wakati mwingine mna akili ndogo sana...hivi mtasaidika aje nyinyi???? kipato chenu kama nchi ni kidogo sana na hakiwezi kukidhi mahitaji ya nchi yenu ...kumbukeni...mna majeshi, madakitari, mawizara na walimu wa SHULE za umma nakadhalika...your GDP is only 69 billion dolars. ..hii haiwezi kuwasaidia hata kulipa mishahara zenu vizuri....nchi yetu ya kenya GDP yetu ni 109 billion dollARS NA BADO TUNA KOPA...NA HAPA mkumbuke idadi yetu ya watu ni ndogo kuliko yenu na watu karibia milioni kumi hivi..halafu pia nchi yenu ni kubwa, area wise....Rais suluhu anajaribu kuwasaidia lakini hamuoni....hivi mtaerevuka lini nyinyi...na ni masomo gani hii mnafunzwa shuleni? upumbavu umewajaa sana. jameni jaribuni for once and try to listen to this great leader you have...kwa kweli anasuluhu. ikiwa nchi kama marekani na japan wana madeni na GDP zao ni kubwa mno...itakuwa aje nyinyi mnajaribu kupinga issue ya deni? stupid
Huu upumbavu wenu ndio sababu kubwa ya nchi yenu kuwa haina uwezo wa kulipa mishahara ya watumishi wake, kushindwa kumalizia reli iliyoachwa porini na Mchina, kuendelea kufa kwa njaa baada ya kushindwa kumalizia ujenzi wa Galana kulalu project.

Hivi kweli wewe unaweza kushindana na Chris Kirubi katika kukopa, hivi kwanini IMF imeweka kikomo kwa nchi masikini kuchukua mikopo isizidi 55% ya GDP Yao lakini nchi tajiri wakaziacha bila kuweka kikomo au kikomo Chao kipo juu sana?.

Sasa wewe kwa upuuzi wako nenda KCB ukaombe mkopo na utumie kigezo cha kwamba kwanini Chris Kirubi anaendelea kukopesheka wakati bado deni lake la nyuma hajalipa.
 
Nyinyi hata render hamna. Nci ni maskini to the point that hata pesa ya kutengeneza nazo renders ni shida.
renders za nn wakat tunataka vitu halisi 😂😂😂😂😂 sisi hatutaki ubabaishaji tunataka vitu real
 
Hizi ngoma style ya kikuyu kabisa. hizi ni moja ya propaganda inayofanya waTZ wawachukie
Teargas hebu njoo hapa uskie hii, eti kilaza flani hapa anadai eti hawa ni wakikuyu ama wakenya.. hehe.. nimecheka yangu yote😆..


si uwaga mnatuchukiaga, ni ninyi ndo mlileta hii rivalry mwanzo, eti sababu tumewazidi kwa kila jambo. nairobi or kenya in general is more international, more popular, more famous, more prominent than you pipo. alot of pple out there, don't even know of a city known as Dar-Es-Saalam or anythng bout tanzania..
 
renders za nn wakat tunataka vitu halisi 😂😂😂😂😂 sisi hatutaki ubabaishaji tunataka vitu real
Kwa list nimeweka ebu taja renders ni gani. All the projects in that list are under construction.
 
Kwa list nimeweka ebu taja renders ni gani. All the projects in that list all under construction.
renders za nn sisi tunataka real buildings sio renders kwa sasa 🤣🤣🤣 hazisaidii kua na magorofa kwenye makaratasi
 
ikiwa vijiji tanzani zaidi ya 86% vina umeme na tanzania ni kubwa kuliko kenya mara mbili just imahine 🤣🤣🤣🤣

Pole sana, the world bado wanatambua kuwa Tanzania only has 37% connectivity rate🤣🤣🤣

 
Back
Top Bottom