Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks.. najaribu kuona vile nitapost info ya hizo terminals za Mombasa but bado Nina challenge... how do you upload pics, links or edits.
Kuna icon inakaa box na imechorwa kitu ndani na iko to the left of the smiley icon. Click on that box icon it will allow you to upload picutres. Otherwise you can just click every icon until you find the one I am talking about.
 
Yes, I think it was established by the colonialists for their entertainment and enjoyment. Man, it is time we move on and demolish such things. That golf club adds zero value to Nairobi. It should either be converted to a park like Uhuru park for those who are environmentally conscious or sold to the private sector, imagine the number of skyscrapers that can pop up from that location.
I agree 💯
 
Nn
IMG_8614.jpg

More of
IMG_8615.jpg

The blue towers
IMG_8628.jpg
 
I guess 50's onwards to 80s ilikua msingi, kisha baada ya hapo kuna mabadiliko ya kukata na shoka that took less than 30 years, some changes happened within one generation, ofcourse being built on the established foundation.,
Growth ya vitu vingi chini ya jua (mfano population, viral infection rate, mitosis rate, chemical reaction, economic n.k) huwa vina fuata a natural curve.

Mwanzoni mabadiliko hayaonekani ila itafika wakati mabadiliko yanakuwa ya haraka sana na kudhani kama ndipo yalipoanzia, mfano mzuri ni acid base titration.

Maendelo ya China yameonekana kukimbia miaka 20 iliyopita lakini siyo kuwa ndipo yalipoanzia (au walifanya mabadiliko makubwa). Hayo ni matokeo tuu ya investment waliyofanya kweye elimu, umoja, viwanda, ujenzi wa vijiji vya ujamaa (ambavyo leo ndiyo majiji ), miaka mingi iliyopita.
 
Zingatia purchasing power parity. Ikiwa bei ya vyakula ni nafuu huko kwenu basi mnaweza kukula na kusaza. Ikiwa bei ya vyakula ni ghali huku basi chakula kinapatikana ila kwa bei ya juu kushinda kwenu lakini bado tunakula na kushiba, sio kweli kwamba tunakufa njaa, hio ni propaganda yenu tu.
Kwanza sijasema mnakufa njaa, wewe ndio unatuambia sasa. Nimesema mnateseka, swala la kufa njaa ilikua mwaka jana au juzi kama sikosei hususani kule turkana
Pili, hiyo mifmuko ya bei mnaisababisha wenyewe kwa kujikweza kijingajinga. Mnapopata hela badala muwekeze kwenye chakula mnaitumia kwa vitu visivyo na msingi
 
CCM ni chama cha udictator. Speaker alikashfu kukopa kiholelaholela Suluhu anafanya sasa CCM wamemtoa kwa kiti na kumwambia a resign.
View attachment 2071620
Watanzania wakati mwingine mna akili ndogo sana...hivi mtasaidika aje nyinyi???? kipato chenu kama nchi ni kidogo sana na hakiwezi kukidhi mahitaji ya nchi yenu ...kumbukeni...mna majeshi, madakitari, mawizara na walimu wa SHULE za umma nakadhalika...your GDP is only 69 billion dolars. ..hii haiwezi kuwasaidia hata kulipa mishahara zenu vizuri....nchi yetu ya kenya GDP yetu ni 109 billion dollARS NA BADO TUNA KOPA...NA HAPA mkumbuke idadi yetu ya watu ni ndogo kuliko yenu na watu karibia milioni kumi hivi..halafu pia nchi yenu ni kubwa, area wise....Rais suluhu anajaribu kuwasaidia lakini hamuoni....hivi mtaerevuka lini nyinyi...na ni masomo gani hii mnafunzwa shuleni? upumbavu umewajaa sana. jameni jaribuni for once and try to listen to this great leader you have...kwa kweli anasuluhu. ikiwa nchi kama marekani na japan wana madeni na GDP zao ni kubwa mno...itakuwa aje nyinyi mnajaribu kupinga issue ya deni? stupid
 
ka ni ivo, mbona basi ombaomba waTz kwenye miji zetu?.. ushaai skia mkenya wowote ombaomba streets za dar ama arusha ama mwanza?!.. aah?.. hebu oneni hii picha nilichukua juzi 1st Jan, wenzenu kwenye streets za nairobi. huruma ilioje, ilinibidi nitoe mchango wangu. olewangu maskini tanzania 😥 View attachment 2072831View attachment 2072830
na sio hawa tu, utawaona wengi sana kila leo, hasa River road na Tom mboya street
Hizi ngoma style ya kikuyu kabisa. hizi ni moja ya propaganda inayofanya waTZ wawachukie
 
So whenever we visit our parents ama a friend with shopping having food stuff ina maana tumeoana wako na njaa? hizi fikra zenu ni dwarf sana, yaani mko ovyo kuruka ., ndio maana matokeo yake mnabakia kukua masikini fukara wa kutupwa licha ya nchi kua na rasilmali kibao, tatizo sio nchi, ni software ya raiya wake, haswa sampuli kama wewe, jiangalie ulivyo boya kimawazo, hadi raha
Kama rafiki zako wanakuletea unga wa mahindi Kama zawadi basi unapaswa kujitathimini upya na uanze juhudi za kujitoshekeza kwa chakula, lazima utakua na shida ya njaa.
.
Huku kwetu hakuna hata nafasi ya kuhifadhi gunia Moja la mahindi, tunatafuta soko ili tupunguze mahindi, wewe ukituletea mahindi Kama zawadi lazima tukushangae.
 
I guess 50's onwards to 80s ilikua msingi, kisha baada ya hapo kuna mabadiliko ya kukata na shoka that took less than 30 years, some changes happened within one generation, ofcourse being built on the established foundation.,
Your last sentence carries the point of this point, unfortunately Kenya lacks "established foundation" shall never get anywhere
 
Kuna Wabongo fulani huku ambao wamezoea tabia ya kusema kwamba Gdp ni ya kwenye makaratasi. Maanake ni kwamba IMF na World Bank ni Wajinga wakisema Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda South Africa. Kwamba wengi wenu hamuamini kwamba Nigeria ina uchumi mkubwa kushinda South Africa. Kwanza uchumi wa Lagos city pekee inatoshana na uchumi wa Kenya. Hebu tazama projects 20 za Nigeria ambazo zitakamilika mwaka huu. Hawa wanaija msiwadharau sana, huwa mnasema kwamba uchumi wao ni wa mafuta pekee lakini sivyo.


Kati ya Nigeria na South Africa ni nchi gani imeendelea?, Ukiambiwa uchague kuishi Kati ya Nigeria au South Africa utapenda wapi?, hiyo ndio maana ya GDP ya kwenye makarati, kwamba ukianga vitabu vya IMF na WB vyote vinasema Nigeria Ina GDP kubwa kuzidi South Africa, lakini ukifika Nigeria huoni huo uchumi mkubwa "physically"
 
Probably in 1900 it was ideal ,the city was small,It was easy to galavant from one end to another with all the social amenities at an arms length, but now,its no longer feasible
infact these golf clubs in general, i disregard them. its a waste of huge junks of prime lands just for the sake of a game of a few. those huge prime lands could be used for somethng thts more meaningful and productive. i don't find it viable in this 21st century. my take
 
In Tanzania, only 2.7M customers are connected to electricity while huku Kenya we have already passed 8M. Hiyo ni kazi ya GDP 😂😂


kwakua 86% vijiji vyote tanzania vimeunganishiwa umeme hakuna makazi kuna wanyama 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom