Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nimefanya utalii wa ndan leo kutoka Dar hadi Dodoma (safarini)

leo nimetumia bus.. nimepiga picha za kutosha za maeneo mbalimbali .. nadhan watu walikuwa wananishangaa lkn sikujali

hapa ni morogoro SGR station, tutaendelea kesho ngoja nilale
View attachment 2072676
View attachment 2072677
View attachment 2072678
View attachment 2072679
View attachment 2072680
View attachment 2072681
View attachment 2072682
View attachment 2072683
View attachment 2072684
Umetoka kw mjomba, acha maneno mengi hapa

JamiiForums mobile app
 
Kama kawaida yetu taifa la ujenzi wa madaraja ..New WAMI BRIDGE 👇 500+ metres
dodoma_zone__1641594629343910.jpg
dodoma_zone__1641594629343904.jpg
dodoma_zone__1641594629342408.jpg
 
Hamna nchi inayoielewa Kenya vizuri kama China, wao ndio wanaowapa mkopo mkubwa kuliko nchi yoyote duniani kwahiyo anavyoamua atoe nini haamui holela bali analenga tatizo moja kwa zote 😂😂😂😂😂

Mchina kaona tatizo ni njaa sio mikopo sababu kama ni mikopo amewapa pomoni lakini njaa bado imedinda 🤣🤣🤣🤣
Sure mkuu, mchina now ndio mlezi wa kenya
 
focus ni covid19.., those affected economically.., mbona mnatamani sana fikra zenu potovu ziwe ukweli ikija ni Kenya? wivu na chuki havitawasaidia., jikubali mlipo., despite challenges zetu, we are above you, hii ndio maumivu kwa wengi wenu.., mnajaribu kulazimisha any negative news ionekane jambo kubwa ili Tz ionekane lakini wapi.., relax, your opinions wo't change the truth 🤞 🤞 😂 😂 😂 😂 💪
😀 Acha makasiriko jirani, kula ubwabwa wa mchina kwanza halafu ndio tudiscus haya mambo
 
ni bora mupewe pesa kuliko kupewa chakula yani ukiona mtu anakupa chakula unafaa ujitafakari mara mbili mbili 😂😂😂

hakuna mtu anaedharaulika ulimwengu huu kama mtu anaepewa chakula alaf anajitamba kwa watu yeye ni tajiri ni aibu alaf inauma sana 🤣🤣🤣🤣
Sure mkuu maana wameona hawa jamaa tukiwapa pesa bado watakufa njaa kwa sababu hawajui waitumieje
 
Hahaha. Hii ya Kenya kuwa na Gdp kubwa kuwashinda huwa inawauma kabisa. Huwa mnatokwa na povu vilivyo ila ndio ukweli mchungu huo, muumeze muuteme chaguo ni lenu.
Be honest jirani, nyie sio gdp kubwa pekee bali gdp yenu per capital haiendani na watu wanaoteseka kwa njaa. Haimake sense mtu wa $1500 aka $125 kwa mwezi anateseka kwa njaa na huku mTZ wa $1115 aka 92 anakula na kusaza. Ndio maana mchina akaona pesa haiwasaidii
 
Hahahaha, unajisikiaje Kama mtu anakutembelea nyumbani kwako na kukupa zawadi ya unga wa mahindi, unahisi amehisi wewe shida yako kubwa ni nini Kama sio njaa?
ka ni ivo, mbona basi ombaomba waTz kwenye miji zetu?.. ushaai skia mkenya wowote ombaomba streets za dar ama arusha ama mwanza?!.. aah?.. hebu oneni hii picha nilichukua juzi 1st Jan, wenzenu kwenye streets za nairobi. huruma ilioje, ilinibidi nitoe mchango wangu. olewangu maskini tanzania 😥
20220101_193326.jpg

na sio hawa tu, utawaona wengi sana kila leo, hasa River road na Tom mboya street
 
ka ni ivo, mbona basi ombaomba waTz kwenye miji zetu?.. ushaai skia mkenya wowote ombaomba streets za dar ama arusha ama mwanza?!.. aah?.. hebu oneni hii picha nilichukua juzi 1st Jan, wenzenu kwenye streets za nairobi. huruma ilioje, ilinibidi nitoe mchango wangu. olewangu maskini tanzania View attachment 2072831View attachment 2072830
na sio hawa tu, wako wengi sana kila leo, hasa River road na Tom mboya street
Tunazungumzia nchi sio mtu mmoja mmoja, Tanzania Kuna watu ombaomba Kama ilivyo nchi yoyote duniani, Kama umezunguka dunia, hata nchi za kibepari Kama USA, utakuta watu kibao wanalala mitaani na chini ya madaraja wanaomba, hapa East Africa Kenya ndio inaongoza kwa kuwa na watu wengi ombaomba mitaani.

Tukija katika ngazi ya nchi, Kenya Kama taifa ndiyo inayoongoza kwa kuwa Taifa ombaomba na tegemezi hapa Africa, ni taifa pekee linalopewa misaada ya chakula.
 
ka ni ivo, mbona basi ombaomba waTz kwenye miji zetu?.. ushaai skia mkenya wowote ombaomba streets za dar ama arusha ama mwanza?!.. aah?.. hebu oneni hii picha nilichukua juzi 1st Jan, wenzenu kwenye streets za nairobi. huruma ilioje, ilinibidi nitoe mchango wangu. olewangu maskini tanzania View attachment 2072831View attachment 2072830
na sio hawa tu, wako wengi sana kila leo, hasa River road na Tom mboya street
wakenya wanaanzia wapi kwa mfano kuja Tz kuombaomba ,wakati huku hatutaki ombaomba huwa tunafukuza laiti tungesema turuhusu hiyo hali mngdjazana huku mpaka basi,
ombaomba waliopo tz ni walemavu tena kuwapata wamezagaa zagaa ni tabh utaona mmoja mmoja tu
 
Kama kawaida yetu taifa la ujenzi wa madaraja ..New WAMI BRIDGE 500+ metresView attachment 2072776View attachment 2072777View attachment 2072778
Uwingi wa Mito Tanzania ni double edged sword..Upande mmoja ni advantage kwani..Kilimo, Uzalishaji wa umeme yote hutumia maziwa na mito....

Upande mwingine sasa ni disadavantage ..maana madaraja ni very costful kujenga...Daraja kama la Kigogo Busisi litacost 700billion tsh hela inatosha kujenga Kilometer 350 plus za lami ...kama Bei ni billion 2 tsh per kilometer .including Taa na drainage system

Kilometer 350 ni sawa na kwenda hadi Dar hadi karibia na Tanga ...

Building of bridges ..slows down Tanzania economy somehow(if money could be spent on hospitals ,education , developing Human capital)...but also bridges are needed as connection and to save time
 
ka ni ivo, mbona basi ombaomba waTz kwenye miji zetu?.. ushaai skia mkenya wowote ombaomba streets za dar ama arusha ama mwanza?!.. aah?.. hebu oneni hii picha nilichukua juzi 1st Jan, wenzenu kwenye streets za nairobi. huruma ilioje, ilinibidi nitoe mchango wangu. olewangu maskini tanzania View attachment 2072831View attachment 2072830
na sio hawa tu, wako wengi sana kila leo, hasa River road na Tom mboya street
vimejaza Kenya kuomba omba nkt
 
Hahahaha, unajisikiaje Kama mtu anakutembelea nyumbani kwako na kukupa zawadi ya unga wa mahindi, unahisi amehisi wewe shida yako kubwa ni nini Kama sio njaa?
So whenever we visit our parents ama a friend with shopping having food stuff ina maana tumeoana wako na njaa? hizi fikra zenu ni dwarf sana, yaani mko ovyo kuruka 😂 😂 😂 😂., ndio maana matokeo yake mnabakia kukua masikini fukara wa kutupwa licha ya nchi kua na rasilmali kibao, tatizo sio nchi, ni software ya raiya wake, haswa sampuli kama wewe, jiangalie ulivyo boya kimawazo, hadi raha 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Maendeleo ya China hayakubadilika kwa generation mmoja, misingi yake ilianza toka wakati wa Mao ('50's). Kwanza aliiunganisha nchi kuwa moja, alidhibiti wala rushwa, na wahujumu uchumi. Aliwawezesha wakulima wadogowadogo kupata ardhi na nchi kuweza kujitosheleza kwa chakula (watu 700mil at the time). Baada ya hapo wakaanzisha viwanda vidogo vidogo na hivyo vikawa viwanda vikubwa na kufika walipo sasa. Hiyo ni natural exponential growth.
I guess 50's onwards to 80s ilikua msingi, kisha baada ya hapo kuna mabadiliko ya kukata na shoka that took less than 30 years, some changes happened within one generation, ofcourse being built on the established foundation.,
 
Back
Top Bottom