Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I wonder who is the fool who decided to put a golf club in the middle of Nairobi Cbd. They are taking up space for nothing.
Probably in 1900 it was ideal ,the city was small,It was easy to galavant from one end to another with all the social amenities at an arms length, but now,its no longer feasible
 
Another Blue thing coming out nicely
IMG_8638.jpg

IMG_8613.jpg

IMG_8607.jpg
 
Probably in 1900 it was ideal ,the city was small,It was easy to galavant from one end to another with all the social amenities at an arms length, but now,its no longer feasible
Yes, I think it was established by the colonialists for their entertainment and enjoyment. Man, it is time we move on and demolish such things. That golf club adds zero value to Nairobi. It should either be converted to a park like Uhuru park for those who are environmentally conscious or sold to the private sector, imagine the number of skyscrapers that can pop up from that location.
 
Hehehe a village of three blue towers. Watu wanaendelea kujenga magorofa nyinyi mmekwama na same buildings year in year out
Maghorofa hayana maana kama hayapangishiwi...
Lazima kila kitu kijengewe kwa demand ..umeona issue ya Evergrande China...?

Lazima vijengewe kama vinahitajika..hamna haja ya kujenga tu kama havipangishiwi..

By the way your demand has been falling over past 1 year

Its a good thing tho.you are builidng..and city looks developed ..but watch out for the bubble
Screenshot_20220108-092439_Chrome.jpg
 
Maghorofa hayana maana kama hayapangishiwi...
Lazima kila kitu kijengewe kwa demand ..umeona issue ya Evergrande China...?

Lazima vijengewe kama vinahitajika..hamna haja ya kujenga tu kama havipangishiwi..

By the way your demand has been falling over past 1 year

Its a good thing tho.you are builidng..and city looks developed ..but watch out for the bubbleView attachment 2073069
Unaongea hapa na mmeshinwa kujaza TPA tower.

Ahahaha. Wololo yaye. Ikiwa kwamba wingi wa madini na rasilimali na ukubwa wa population ndio mambo yanayofanya nchi kuwa na Gdp kubwa basi DR Congo ingekuwa na Gdp kubwa kushinda Belgium. Ikizingatiwa kwamba Gdp ya Belgium ni zaidi ya mara kumi kwa ukubwa kushinda DR Congo ilhali DR Congo ina madini aina zote duniani, na pia ina watu 80 million wakati Belgium hata hawajafika watu 10 million. Belgium kwa ukubwa wa ardhi inaweza kuingia ndani ya DR Congo zaidi ya mara 50 na bado nafasi ibaki. Ukubwa wa ardhi, wingi wa madini, wingi wa watu haijalishi sana kwenye swala la Gdp. Tofauti kubwa ni kwamba Wabelgiji wamesoma sana na wana skills za hali ya juu na wanaweza kutumia skills hizo kutengeneza utajiri.
 
Hass Tower inaendeleaje ..the so called tallest in Africa
Can I list for you all the upcoming 30+ floors towers coming up Nairobi? Here they are.

1. GTC office -43f
2. Marriot Hotel -35f
3. GTC residential 1 -33f
4. GTC residential 2 -33f
5. GTC residential 3 -31f
6. 88 Nairobi - 44f
7. River EState 1 - 34f
8. River Estate 2 -34f
9. River Estate 3 -34f
10. River Estate 4 - 34f
11. River Estate 5 - 34f
12. River Estate 6 -34f
13. River Estate 7 - 34f
14. River Estate 8 -34f
15. River Estate 9- 34f
16. River Estate 10 - 3f
17. River Estate 11 34f
18. River Estate 12 - 34f
19. Rhama Tower - 30f
20. 1870 west tower - 30f
21. 1870 west tower B - 30f
22. Altura Tower - 30f
 
Ahahaha. Wololo yaye. Ikiwa kwamba wingi wa madini na rasilimali na ukubwa wa population ndio mambo yanayofanya nchi kuwa na Gdp kubwa basi DR Congo ingekuwa na Gdp kubwa kushinda Belgium. Ikizingatiwa kwamba Gdp ya Belgium ni zaidi ya mara kumi kwa ukubwa kushinda DR Congo ilhali DR Congo ina madini aina zote duniani, na pia ina watu 80 million wakati Belgium hata hawajafika watu 10 million. Belgium kwa ukubwa wa ardhi inaweza kuingia ndani ya DR Congo zaidi ya mara 50 na bado nafasi ibaki. Ukubwa wa ardhi, wingi wa madini, wingi wa watu haijalishi sana kwenye swala la Gdp. Tofauti kubwa ni kwamba Wabelgiji wamesoma sana na wana skills za hali ya juu na wanaweza kutumia skills hizo kutengeneza utajiri.
Haina Amani ,subirieni kuhesabu maumivu
 
Back
Top Bottom