Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi kuhusu umeme wa mgao dar, yenu yanewashinda ndio mtayaweza ya wajir

JamiiForums mobile app
huyo ako na uwelewa kidogo sana ikija mambo economics, hajui wao hawana GDP ya maana wanaishi kubahatisha tu, tazama vile serikali inahangaika kumaliza miradi kwa sasa imebidi wakope peupe 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
The funny thing, sijawai skia dam yoyote kutoka tanzania wakati nilipokua shule katika somo la GHC

JamiiForums mobile app
Ndio ujue kwamba walimu wako hawajui kitu kuhusu Tz, wacha nikurudishe shule leo, haya mtera dam 👇
Bwawa la Kidatu.jpg
maxresdefault(62).jpg
mnafundishwa na waalimu ambao hata EA hawaijui 😂😂😂 ndio watajua nini sasa kuhusu dunia.?
 
Dar es Salaam, the East Africa’s Largest, Developed, Modern, Clean, bold, neat, authentic, organized and safe,
other towns like Nairobi and Juba are enriched with slums, hunger, poverty, thieves, terrorism, chaos and garbage.
View attachment 2073056
View attachment 2073057
View attachment 2073058
Umeongea kwa maumivu sana,.., skiza mziki hapa 👇 uwache kuota ni jumamosi.., Dar ni hafifu sana inabidi u support your manicured pictures kwa maneno yaani upake Nairobi matope na kuitaja pamoja na Juba ili angalau Dar ionekane lakini wapi, napenda unavyohangaika kutetea visivyo, hehehe 😂 😂 😂 😂

 
Huu upumbavu wenu ndio sababu kubwa ya nchi yenu kuwa haina uwezo wa kulipa mishahara ya watumishi wake, kushindwa kumalizia reli iliyoachwa porini na Mchina, kuendelea kufa kwa njaa baada ya kushindwa kumalizia ujenzi wa Galana kulalu project.

Hivi kweli wewe unaweza kushindana na Chris Kirubi katika kukopa, hivi kwanini IMF imeweka kikomo kwa nchi masikini kuchukua mikopo isizidi 55% ya GDP Yao lakini nchi tajiri wakaziacha bila kuweka kikomo au kikomo Chao kipo juu sana?.

Sasa wewe kwa upuuzi wako nenda KCB ukaombe mkopo na utumie kigezo cha kwamba kwanini Chris Kirubi anaendelea kukopesheka wakati bado deni lake la nyuma hajalipa.
Nikuulize kaka...na hiyo GDP yenu kidogo...mkishalipa mishahara ya wafanyikazi wa umma mnabaki bure....mtatoa wapi pesa za kumalizia miradi zenu nyiiiingi mnazozifanya eti kushindana na kenya...hata kwa umaskini ..kuna masikini aliye tajiri...huko huko uswahilini kuna wanao heshimika kwa utajiri wao...vivyo hivyo ndio kenya inaheshimika kwa utajiri wake hapa east and central africa....hapana machezo bro...
kisha usikosee ukaiweka kenya kwa category moja na tz...sisi kwa kusema kweli sio wenzenu bana...a difference of 35 billion dollars is not your peer brother. tuko level tofauti sana na ni kwa sababu ya akili yetu...sio mafuta...wala nini ,,,ni ujanja wetu...na hili ndio Rais suluhu anajaribu kuwaletea lakini aiseee upumbavu wenu umekita mizizi...ndio maana corona..mliichukulia juu juu sahiii mnatahadhari...very late ....ilibidi imle kichwa mmoja wenu ndio mkaagutuka...yaani akili ndogo kweli...
Issue hapa sio kukopa kiwango cha chris kirubi ila ni kukopa ..but kwa kiwango changu...Tanzania is a very pooor country na laZIMA MKOPE NDIO RELI YENU SGR ANGAA IANZE KAZI....by the way itaanza lini tuko 2022 bro siku zaenda chungeni isishike kutu...shida ya kuiga kenya blindly...ni nini yenu inafanya kazo? blue prints ndio nyingi lakini hakuna hatua wala completed projects.
aCHENI RAis akope ili nchi yenu ipanuke kiasi
 
Tanzania tumewapita katika
1)Utalii
2)Biashara
3)Kilimo
4)Usafiri na usafirishajj
5)Amani
6)Umoja
7)
Ni amani umoja na utalii tu pengine.., fikra zako ni ndogo sana, ama unamaanisha biashara kwa ajili ya recent data, a momentary change not sustainable, Uganda wamefanya same sio mara moja., hizo products za kilimo can't be relied upon, leo mna soko kesho soko haipo., uliza waganda 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., alafu on average. total income ya biashara on global scale(Africa na nje) ata robo hamfikii., nyie ni watoto sana.., mbona wewe boya hivi 😂 😂 😂 😂
 
Ni amani umoja na utalii tu pengine.., fikra zako ni ndogo sana, ama unamaanisha biashara kwa ajili ya recent data, a momentary change not sustainable, Uganda wamefanya same sio mara moja., hizo products za kilimo can't be relied upon, leo mna soko kesho soko haipo., uliza waganda 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ., alafu on average. total income ya biashara on global scale(Africa na nje) ata robo hamfikii., nyie ni watoto sana.., mbona wewe boya hivi 😂 😂 😂 😂
$1.44 billion ndio biashara nyinyi hu export to EA na ni 64.3 percent ya biashara yote nyie hufanya Afrika at large 😂😂😂, data za sasa zinaonyesha sisi ndio wababe wa EA, kule SADC sisi tunafanya nao biashara (tuna export) of almost $1 billion. Ndio mtatuweza sasa 😂😂😂 uko duniani wala usitaje mana hakuna kitu cha gharama chenye mta export, chai.? Matunda.? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom