Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Madaraja ni muhimu sana mzee wangu yawe ni costful or not nilazima tujenge, kwasababu Madaraja huunganisha sehemu moja kwenda semehemu nyingine na hataimae kufungua shughuli za kiuchumi, kwa mfano daraja la Wami, daraja lililokuepo zamani lilikua jembamba lisoloruhus kupishana magari mawili wakati mmoja na lilikua likisababisha ajali zilizopelekea vifo na upotevu wa mali za watu, hata hivyo ni daraja linaloiunganisha mikoa ya kaskazini na Dar es Salaam, hivyo ni daraja muhimu kiuchumi ukizingatia usafiri mkubwa unaotumika Tz ni magari.. daraja la zamani View attachment 2073159View attachment 2073161View attachment 2073162ujenzi wa daraja jipyaView attachment 2073163View attachment 2073164View attachment 2073165halkadhalika kwa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi, lile eneo kama umewahi kufika lakini, ni 3km+ na ni eneo muhimu sana kwa uchumi wa Kanda ya ziwa kwa maana linaunganisha wilaya ya sengerema ambayo ndio njia ya kwenda Mkoa wa Geita na Kagera, maelfu ya watu pamoja na vyombo vyao vya usafiri hupita pale kila siku kwa kutumia vivuko/mitumbwi ambavyo ni westage of time, and it's very risk (zipo record za watu kuzama na vivuko pale), pia kutokuwepo kwa daraja pale kunazorotesha ukuaji wa uchumi wa mikoa hii ya kanda ya ziwa kwasababu, watu pamoja na mizigo husafirishwa kila siku kutoka bukoba kuelekea Mwanza kwa meli kwa zaidi ya masaa 11, ila ujenzi wa daraja hili ukikamilika utarahisisha safari hiyo kutoka masaa 11 hadi masaa 5, lakini kwa wanaotumia kile kivuko pia mabasi yakifika pale husimama na kusubur vivuko. there for ujenzi wa madaja ni cost full nakubaliana na wewe lakini pia Madaraja ni muhimu tujenge ili tuweze ku Link maeneo yetu ya uzalishaji na maeneo ya biashara ili tufungue uchumi wetu..
Mitumbwi 21st century kisha eti mnatupigia kelele ya kwamba eti nyie nchi yenu imeunganishwa kila sehemu

JamiiForums mobile app
 
😂😂😂 Tz kuna dams kibao mdogo angu, tangu 70s .. kama unajua tumeanza leo pole sana,.
1. bwawa la Mtera
2. Kidatu
3. Hale
4. Nyumba ya Mungu n.k watu wa umeme mnisaidia kutaja mabwawa ambayo hayapo kwenye list hapo juu..
Nne tu na tayari unaitisha usaidizi?
 
Tz kuna dams kibao mdogo angu, tangu 70s .. kama unajua tumeanza leo pole sana,.
1. bwawa la Mtera
2. Kidatu
3. Hale
4. Nyumba ya Mungu n.k watu wa umeme mnisaidia kutaja mabwawa ambayo hayapo kwenye list hapo juu..
Fungua uzi mzee
Teargas alisema mkaogopa na mie nawaambieni tena, fungua uzi uone maajabu

JamiiForums mobile app
 
Growth ya vitu vingi chini ya jua (mfano population, viral infection rate, mitosis rate, chemical reaction, economic growth n.k) huwa vina fuata a natural curve.

Mwanzoni mabadiliko hayaonekani ila itafika wakati mabadiliko yanakuwa ya haraka sana na kudhani kama ndipo yalipoanzia, mfano mzuri ni acid base titration.

Maendelo ya China yameonekana kukimbia miaka 20 iliyopita lakini siyo kuwa ndipo yalipoanzia (au walifanya mabadiliko makubwa). Hayo ni matokeo tuu ya investment waliyofanya kweye elimu, umoja, viwanda, ujenzi wa vijiji vya ujamaa (ambavyo leo ndiyo majiji ), miaka mingi iliyopita.
Got your perspective.
 
Tz kuna dams kibao mdogo angu, tangu 70s .. kama unajua tumeanza leo pole sana,.
1. bwawa la Mtera
2. Kidatu
3. Hale
4. Nyumba ya Mungu n.k watu wa umeme mnisaidia kutaja mabwawa ambayo hayapo kwenye list hapo juu..
The funny thing, sijawai skia dam yyte kutoka tanzania wakati nilipokua shule katika somo la GHC

JamiiForums mobile app
 
Mitumbwi 21st century kisha eti mnatupigia kelele ya kwamba eti nyie nchi yenu imeunganishwa kila sehemu

JamiiForums mobile app
Mitumbwi ilitumika zamani kidogo, kwasasa mambo yapo hivi 👇 Mwanza kwasasa iko na vivuko 5-6 hatutumii mitumbwi Ila hivi vivuko navyo ni westage of time
4+%281%29.JPG
maxresdefault(63).jpg
1587319919-KIVUKO (13).png
6e168ef2-9327-4737-9b3c-a469d377e0ba.jpg
02(1).JPG
vivuko.jpg
 
Your last sentence carries the point of this point, unfortunately Kenya lacks "established foundation" shall never get anywhere
unaota.., can't you see the accelerated growth in Kenya ama unajitia hamnazo, kwani inajengwa kwa msingi upi?.., we have a solid vision 2030 blue print., and everything is built on that, even the elevated expressway iko kwa render ya vision 2030 since 2004.., sio jambo la kushtukia kama nyie; "Kenya wamefanya pia na sisi tujenge tuwapiku" mentality, mnatuangalia sana 😂 😂 😂 mnakurupuka na viprojects ambazo zinawachukua mda kukamilisha kisha unaumiza uchunmi wenu hafifu, sasa meanza kutafuta mikopo kuongeza zaidi, no plan, jiangalie mlivyo ovyo 😂 😂 😂 😂 😂 ., we are following a blue print, establishing a solid foundation.., Uhuru Kenyatta amejenga juu ya msingi ya Kibaki regime.., yeye kile ameleta jipya ni Huduma centres bringing government services under one roof kila sehemu mashinani faster and affordable..,
 
Back
Top Bottom