Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ChoiceVariable huwa ni msenge sn wewe.

ni opportunity cost huyo mpotezee!..
mim niko TANESCO..naelewa kila kitu kwenye hizo ishu... sasa ishu sio uhalisia wa gharama ya kuunganisha umeme.. ishu ni serikali inakwepa jukumu lake la kumsaidia mwananchi kuunganishwa umeme.. yan iko hiv.. kama gharama ni laki moja.. serikali iseme mwananchi lipa 27k then serikali italipa 73k ili uunganishwe umeme.. lkn serikali hii inakimbia hili jukumu.. mzigo wote anataka abebeshwe mwananchi ili unganishwe umeme nyumban kwako..
kwa hali hii tusahau kupata idadi kubwa ya consumers
 
too bad anajikuta/anajiona anafaa bado kuwa rais 2025
🔨🔨🔨 Unafaaa wewe

200 (13).gif
 
kumbe kuna new CBD nairobi 😃😃😃 ni vichekesho vya mwaka 2021
 
kulingana na maelezo yako ulifaa kusema westaland + upperhill + CBD + kilimani

nisamehe kama nimekukasirisha 🤣🤣🤣
94A84F22-8172-4F1B-953F-CFB3F93FDC7C.jpeg
 
ni opportunity cost huyo mpotezee!..
mim niko TANESCO..naelewa kila kitu kwenye hizo ishu... sasa ishu sio uhalisia wa gharama ya kuunganisha umeme.. ishu ni serikali inakwepa jukumu lake la kumsaidia mwananchi kuunganishwa umeme.. yan iko hiv.. kama gharama ni laki moja.. serikali iseme mwananchi lipa 27k then serikali italipa 73k ili uunganishwe umeme.. lkn serikali hii inakimbia hili jukumu.. mzigo wote anataka abebeshwe mwananchi ili unganishwe umeme nyumban kwako..
kwa hali hii tusahau kupata idadi kubwa ya consumers
Serikali inataka ulipie nguzo nyaya, gari la nguzo si ajabu ukatakiwa kujaza mafuta, ni sawa na kusema elimu ijiendeshe kwa ada si tutafunga vyuo na mashule?

Nchi za wenzetu Unaweza safiri kwenye bus peke may be dar moro
Haimaanishi unalipa pesa ya dreva na mafuta, la,
Ila serikali zinasubsdize, ukitaka kila kitu kijiendeshe never, haipo hiyo
 
Tanzania imekosa raha siku hizi, nchi ipo kama mortuary

Nchi haina vibe kabisa, watu wanakula bata lakini bado hakuna happy
Unaongea Kwa niaba ya kila mtanzania? Au unasemea maisha yako binafsi Ndio yako kama mortuary?

#mentalhealth
 
I always expect such a response from you because you always take things personally. Nimesema asilimia ya kutisha ya watanzania hawana awareness ya mambo ya dunia. Sijasema watanzania wote hawana hiyo awareness. Na ni ukweli kuwa watanzania wengi mambo ya dunia hawayajui. Kawaida ni hadithi za kwenye kahawa na superficial information zinazotolewa na viongozi wa serikali/ dini Ndio mambo wanayofahamu na kuyashikilia. Pia elimu inayotolewa kwenye hii nchi bado ina changamoto nyingi. Mwenzako anafikiri kuwa na maghorofa mengi Ndio umasikini hakuna. Hivi huoni kasoro hapo?

Unaona kuwa mimi ni arrogant? I’m simply stating what I’ve observed. Unavyojibizana na watu humu Kwa kiburi, arrogance yako huwa huioni? I bet Wewe ni mmoja wa hao watanzania wasio na awareness ya mambo ya dunia Ndio Maana post yangu imekugusa.
Hahaa!!ukweli mtupu aisee, wazee wa maneno ya majukwaani wako wapi akina The best 007
 
Hapo kuna bridges mbili ya kwanza ni Kigamboni bridge (Nyerere bridge) ambayo ndiyo ilikuwa the longest in sub saharan na ya pili ndio Tanzanite ambayo ndiyo imeipindua Kigamboni na kuwa the longest in the region. Hiyo Kigamboni bridge imejengwa kwa pesa za ndani 100% so ni kweli kabisa tunajenga kwa pesa za ndani.
Hku mkililipia toll fee ee
 
Mimi nimefanya kazi wizara ya mambo ya ndani kipingi cha kikwete ninajua vizuri hii nchi sema huwa sipendi kujionyesha
We itakua umetumbuliwa aisee, manake kw akili hzo sio bure ungelikuja hata kulipua nchi mr.genius
 
Back
Top Bottom