South African Airlines haitaki kuingiza nuksi kwenye biashara yake ya airlines, haiwezekani shirika lina zaidi ya miaka 35 lakini linamiliki ndege 2 chakavu 🤣🤣🤣🤣
South African Airlines haitaki kuingiza nuksi kwenye biashara yake ya airlines, haiwezekani shirika lina zaidi ya miaka 35 lakini linamiliki ndege 2 chakavu 🤣🤣🤣🤣
SA wameona mbali
Huyu mkunya kachanganyikiwa na jiji la Dar ila anaona jau kuadmit
Real discussion is here..Quote''Kuifikia level ya Nairobi Kwa Bongo,Dar Es Salaam,tunahitaji miaka 25"
Yes,This Dar Fur is better than your called city..Uzuri Kelele zenu mnapiga tu hapa hazina effect..World bank Ndio dawa yenu..Takwimu zikitolewa...Munatapatapa...I like the way world bank huwapiga spanner hadi mnatii...