Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nimefanya kazi wizara ya mambo ya ndani kipingi cha kikwete ninajua vizuri hii nchi sema huwa sipendi kujionyesha

giphy.gif
 
Hahahaha, hivi kuna sehemu nimebisha kuhusu hilo shamba?
Tatizo lako unajipa hatimiliki ya eti ni wewe peke yako ndo unamkubali JPM.

Aina yako na uchangiaji humu ni sifuri kabisa, ubadilike ndugu Lwiva Kitete.
Usikimbie kitete unacho wewe, wewe ulisema hoja ya miti baada ya ushahidi unadai kitete akili kubwa aziwezi kupata kitete ,wewe njoo na wapi nimechangia upuuzi ili nikufafanulie kwanini
 
Vp [emoji1787][emoji1787]mbona uleti hizo comment nilizo changia aibu ukaona wewe ,mimi nataka nikujulishe sababu na nilikuwa nimelenga nini ,ziko komenti tunatuma shabaa inakuwa ni vigumu mtu mwingine kuelewa isipokua mlengwa tu mimi nataka ulete hizo koment kama 3 nikufafanulie,
 
Most are finished products compared to wao ambao wanatuuzia raw materials kama mbao, kuni, mahindi, matunda, mboga etc.
It makes sense why they import 74% from us while we only import 28% from them.
Wacha kujiliwaza, mngekua mnatuuzia" finished" products balance of trade ingekuwa upande wenu, kumbuka Uganda, Rwanda, Burundi na DRC zote zinanunua finished products from Tanzania sio Kenya[emoji23][emoji23].

Kubali usikubali Tanzania ndio baba wa ukanda huu, tunawauzia finished and unfinished products at equal measures.

Finished products are: Electric transformers, Ceramics, Wines, leather products, Juices, tooth paste(White dent), iron sheet, vegetable oils, cooking gas, glass, Konyagi and K-Vant and many others
 
Balance of trade imekua pande yetu for years, 2021 tuliongeza imports za mahindi due to rising local demand na zingine za South Sudan. Mbao na paper products pia tumeongeza kwa idadi kubwa ju tumerevive pan paper mills so tunahitaji raw materials kwa wingi.

Hizo finished products unataja mbona sio top earners kwenu. Hizo ni a drop in the ocean.
 
Usikimbie kitete unacho wewe, wewe ulisema hoja ya miti baada ya ushahidi unadai kitete akili kubwa aziwezi kupata kitete ,wewe njoo na wapi nimechangia upuuzi ili nikufafanulie kwanini
Ukubwa wa shamba la miti na kuzalisha miche ni sawa na jiji la nairobi alafu wewe bobasi unaseme mpango wa kupanda miti mil 20 kwa serikali ni impossible your very stupid tena jpm alitaka mashamba kama hayo 12 nchi nzima 600km za eneo x 12 = 7200km za eneo cheki hiyo vision ilivyo kubwa NairobiWalker
Sasa hivi tuna mashamba zaidi ya 26 nchi nzima + na 12 ya kimkatati yangekuwa 38
 
Hahahaha, hivi kuna sehemu nimebisha kuhusu hilo shamba?
Tatizo lako unajipa hatimiliki ya eti ni wewe peke yako ndo unamkubali JPM.

Aina yako na uchangiaji humu ni sifuri kabisa, ubadilike ndugu Lwiva Kitete.
Tena kwa taharifa yako hayo mashamba yapo zaidi ya 26 nchi nzima + 12 ya kimkakati ambayo magufuli alikuwa ayaanzishe tungefika 38 hivi
 
Back
Top Bottom