Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa jamaa wana laana sana wallahi, yn wanatupeleka mchaka mchaka kweli kweli, usije kuta cc tunapata nao tabu kupambana kumbe wenzetu walishaungana na [emoji89][emoji89][emoji451][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata sisi watz kipindi cha magufuli mambo yalikuwa yanaji active kila kona ya nchi yetu hadi wazungu walianza kumtukuza magufuli japo kwa kujificha ila walikubali jamaa alikuwa ni genius wa maendeleo
 
Happy New year..., 2022 we change gear ya battle, ikue just comparison analysis na discussion ya everything development, agree and disagree, look at the advantages and disadvantages ya various development projects, tunajua mazuri na mapungufu ya kila nchi. This is gonna be my stance onwards.
 
Hiyo ni mazuzu wafanyakazi wa serikali awajui kuwa mfumuko wa bei ndiyo kitu muhimu kukidhibiti kuliko kuongeza mishahara ,magu alifanya elimu bure maana yake nikama kupandisha mishahara kwa watz wote mil60
 
Dah Africa bado sn wallahi, yani nmetoka kuoneshwa madude ya Chengdu alafu wewe unakuja kunionesha huu ushuzi wallahi ni sawa na umenipa nanasi nile alafu ukanipa maji ya kunywa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Very true.., but I will still be proud of Kenya and Africa, tumetoka mbali, we are going somewhere.., ni mda tu dunia itatutambua.., imeandikwa kwa kitabu takatifu; "wakwanza watakua wa mwisho, na wa mwisho watakua wakwanza.." ofcourse I have eisegetically quoted the scriptures, but naamini Africa will rise to the top one day, ata kama sio kwa hii generation yetu.,, โœŠโœŠ๐Ÿ’ช
 
Si ndiyo hata mm nmeshangaa sn, kumbe huwa tunapigwa sana na vitu vizito plus picha za upande upande [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Marekani hakuna kitu,... wamezubaa kama waingereza wa kizazi hiki uingereza ilikuwa nchi kubwa sana duniani yenyeushawishi zamani sasa hivi ni gofu,kinacho ifanya marekani kuwa juu ya china kiuchumi ni kukubalika kwa US dola kuwa ndiyo pesa kuu ya kibiashara duniani pote hivyo marekani hata hakichapa pesa nyingi kiasi gani inamnufaisha yeye badara ya kuporombosha uchumi wake
 
Hivi wewe kichwa chako ni timamu kweli ? Ukweli ni kwamba amjawai kuongezewa mishahara ila uzuzu wenu ndiyo unao wafanya mjidanganye mmeongezewa mishahara
 
in the US, they have what is referred to as 'Projects',. in SouthAfrica, they have 'Townships',. in Jomieca they have 'Ghettos',. in Kenya we have what we refer to as 'Slums',.. this is normal in any major urban setting. a major city is never complete without this..

mean while the other side of things, ie. nbi city street level.. ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
hebu rusheni za Dar pia pliz..
 
Don't talk until it happens. As it stands, trade favors us.
 
Ahsante Sana mkuu, Tuendelee kuipenda Tanzania siku zote ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Waafrika tunakosea sana kujifunza maendeleo kutoka Ulaya na Marekani. Afrika inatakiwa Ijufunze kutoka China na Asia ya Mbali...

China Wana Bwawa Kubwa sana Linaitwa Three Gorges Dam, China walipolikamilisha tu lile bwawa China wakaanza Kukuwa kiuchumi kwa Speed Kubwa sana.

Ila Sisi!! Imagine Tanzania tulipoanza kujenga Bwawa letu hadi Watanzania wenyewe wakawa wameweka Figisu lisifanyike..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ