Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ukiwa na gari lako na halina shida yoyote inamaanisha hauitumii... a breakdown ni jambo la kawaida, na linakubalika, shida ni kutorekebisha hilo kosa...
Ati hamna haraka...you are just proving the "Tanzania lazy" stereotype.
The capitalist mindset teaches you that time is money
Capitalistic mind is the one which exposed you to land grabbers, corrupt and greedy politicians, tribalism and slums
 
20211229_180520.jpg
Screenshot_2021-12-29-18-04-04-72_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Apart from being stuck in traffic, matatus are better than your failed BRT. It`s you have accepted that your BRT has failed miserably.

Mwenye macho haambiwi tazama

JPM alikua ndio mkali wa hizi kazi, kutoka Makutupora kwenda Tabora ni plain ground hakuna geographical obstacles kama za kutoka Morogoro kwenda Makutupora lakini angalia kiasi cha pesa kilichotumika kujenga na hiki cha sasa

NB Yarpi ni mkandarasi mwenye vifaa site tayari

Ufisadi??? 🤔😔

View attachment 2060513
Before ya kusema ni ufisadi jiridhishe kwanza kwenye mchanganuo wa cost.Ni lazima tujue pia kwa Sasa kutokana Covid materials duniani ni very expensive kwa Sababu ya low production na pia huenda Kuna design changes.Sitaki kuishi kwa hisia labda wachumi watusaidie.Tujiulize pia kipande cha Dar-Moro kilicho kwenye Tambalale tu kilicost how much?
 
Umeona Pavement hiyo kulia na kushoto kwa ajili ya Pedestrians , Ni all the way inaenda kuishia Pale Bibi Titi Mohd opposite na maktaba Kuu.
Aisee ckuwahi kufikiria hili mkuu

Ni kweli kabisa hii pavement ni ndefu nadhani inaweza ikawa ndefu zaidi East and Central Africa kama co Africa kabisa, yani inatoka JNIA terminal one mpaka posta wakuu
 
kila leo mnalia eti kenya kuna vipanya. hapa ni Jo'burg. hebu toeni hizo zenu critics kwa nchi ilio na uwezo zaidi africa nzimaView attachment 2061637View attachment 2061638
kumbe wakunya mnavijua vipanya da hizo taka taka zimenikumbusha dar es salaam ya 1993 to 1996,kabla ya hapo pia kulikuwa na gari tunaziita "chai maharage" sijui kenya zipo hizo
 
Back
Top Bottom