Tz_one
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 3,039
- 8,170
Lakini Mwanza to Isaka Mchina ataweka European Standards..reli yote si mojalakini ni hakika zaidi kazi za mturuki manake yuko under european standards
Lakini Mwanza to Isaka Mchina ataweka European Standards..reli yote si mojalakini ni hakika zaidi kazi za mturuki manake yuko under european standards
Let's wait for his answers 😃What makes a city Green? Where do most of the energy come from (GEOTHERMAL?) , energy uses in the city, Matatu yanatumia kitu gani green? Githeri? 🤣 How many green buildings in Nairobi? The terracotta tower? plant life and water features in the city? ukiachilia kile ki pavement walichoweka mwaka huu,i s it a walkable city? au huwa wanamanisha ukijani mimea mjini?
Na sukuma wiki🤣🤣🤣🤣🤣Green ni Mokimoo kiongozi![]()
Ni kweli imeshamiri Ila investors Wana enjoy 😃what about the commuters? Is it safe and reliable to them?Huaga mnaumia mnapoona matatu culture kenya imeshamiri
Eti led karne hii watu tayari wameanza kunengua wakati hku kwetu ni kawaida mpka hata hazishughulikiwi
Mkiambiwa yukweli mnasema tunaumizwa. Kwani nani nani hakuona mkiashangilia LED lights mounted on your vehicles?😂😂😂Mnaumizwa sn na maendeleo ya Tanzania![]()
Yeah nimekubali kuwa Mwanza shipyard ni matope, vumbio na msitu😂😂😂Kakubali![]()
You wuill never see a passenger standing on matatu na kufinyana kama gunia like in the case of your dalala and BRT. The only thing BRT inashindia matatu is that they are not affected by traffic jam.Ni kweli imeshamiri Ila investors Wana enjoy 😃what about the commuters? Is it safe and reliable to them?
Mmeamua kuunda meli baada ya kuona sisi tunafanya hivyo pale Mwanza?
Mtaacha lini ujinga? Kenya imeanza kuunda meli hata before uzaliwe, nenda ukaulize watu wa TPA watakupea jibu.Mmeamua kuunda meli baada ya kuona sisi tunafanya hivyo pale Mwanza?
Umeelewa nilicho kiuliza au umekurupuka kujibu?You wuill never see a passenger standing on matatu na kufinyana kama gunia like in the case of your dalala and BRT. The only thing BRT inashindia matatu is that they are not affected by traffic jam.
BRT is not affected by traffic jam. That`s the only reason.Umeelewa nilicho kiuliza au umekurupuka kujibu?
Watu kusimama kwenye public transport system IPO Kwa cities nyingi worldwide!
Nakama matatu ni Bora kuliko brt why are you dreaming about having one?
Uongo . Wewe na ichoboy01 wacheni uongo. Kenya sasa hivi inaproduce 3,000 MW. Uganda inaproduce 1,500 MW. Total Uganda na Kenya tunaproduce 4,500 MW. Tanzania baada ya kuzindua JNHPP itakuwa inaproduce 3,700 MW.
Mara ya mwisho kuunda meli za ziwa Victoria ni lini?Mtaacha lini ujinga? Kenya imeanza kuunda meli hata before uzaliwe, nenda ukaulize watu wa TPA watakupea jibu.
Tunaunda hata saa hii. Next question?Mara ya mwisho kuunda meli za ziwa Victoria ni lini?
Khaaa we Jamaa sometimes Una nishangaza!🙄🙄🙄BRT is not affected by traffic jam. That`s the only reason.
Matatu is much safer than your BRT, how many times have you had that Nairobi matatu has got an accident as compared to your BRT? How many times have you seen a Nairobi matatu bust into flames the way your BRT does on a regular basis?Khaaa we Jamaa sometimes Una nishangaza!🙄🙄🙄
Is matatu safe? Is it build with passengers safety in mind? Is it reliable? and why is Nairobi investing in brt as the future mode of transportation?