Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

From Mauritius to JnIA or Mauritius to JKIA which one is the nearest? Alafu sometimes ndege inafanya emergency landing ata kwa highway, so highway ni more modern than surrounding airports ama ni the nearest possible facility available with capacity? Vilaza kwa ubora wao😂😂😂😂😂
 
Kutana na infrastructure zilizopo DSM tu na hakuna ndani ya NAIROBI. International Bus terminus 👇
E0XgUijXMAE7tDg.jpg
E0XgUWrWEAEsM4V.jpg
Eu7oU2IXcAMvLA9.jpg
stand-pic-data.jpg
880px-New_Magufuli_Bus_Terminal_Mbezi_Luis_Dar_es_Salaam.jpg
BRT system 👇
basi.jpg
BRT-Bus-Station.jpg
DART-Pictures-e1470342768874.jpg
3036578_IMG_3348.jpg
over water bridges 👇
3002875_563734BD-ACD3-455F-9EAC-9BCFAB15220E.jpeg
maxresdefault(18).jpg
3018697_01184B53-9082-4EE6-A195-563F9F919717.jpeg
high speed rail roads 👇.. hizo hapo juu ni infrastructures ambazo zipo DSM tu na hakuna kabisa Nairobi..NB: kwa mkenya yeyote mbishi ataruhusiwa kujibu hii post yangu akiwa na uthibitisho wa picha au video tu.
 
Bado tu umechanganyikiwa dogo😂😂😂😂😂, so Kasarani inabeba watu wanhapi?., Na uweke source ya data yako nisome sio kukurupuka hadithi za vijiweni jujitekenya na kucheka.., haya weka data dogo.., na pia ujue Kasarani ni sports complex sio tu kiwanja moja, wapi aquatic stadium? Indoor sports arena?.., mnatia huruma., Kenya sio size yenu😂😂
Ila wewe ni janga la taifa, sidhani kama uko na akili timamu😂😂😂 unataka nikupe source data kwani huoni kama uwanja hauko na viti, sasa hiyo capacity ya watu 60k mumeipataje.? 😂😂, Unalalamika sujui sijaweka indoor sports Arena, kwani comparison niliyoweka hapo ni ya sports Arena au football stadium .? 😂😂 yani hivi 👇 tz football stadium
Screenshot_20211226-020640_1.jpg
483e26a5ef9d7d22e939a56407041c5f.JPG
vs kenya football stadium 👇
kasarani-1024x675.jpg
An-Aerial-view-of-Kasarani-Stadium.jpg
.. mbona hii battle ipo clear kabisa 😂😂😂, vipi unaumia sanaa.?
 
Ila wewe ni janga la taifa, sidhani kama uko na akili timamu😂😂😂 unataka nikupe source data kwani huoni kama uwanja hauko na viti, sasa hiyo capacity ya watu 60k mumeipataje.? 😂😂, Unalalamika sujui sijaweka indoor sports Arena, kwani comparison niliyoweka hapo ni ya sports Arena au football stadium .? 😂😂 yani hivi 👇 tz football stadiumView attachment 2057623View attachment 2057624vs kenya football stadium 👇View attachment 2057625View attachment 2057626.. mbona hii battle ipo clear kabisa 😂😂😂, vipi unaumia sanaa.?
Kiswahili ndio utaandika, jibu hauna ama unajitia tu hamnazo, sio battle, ni ukweli inakuuma😂😂😂😂, Kasarani ni capacity ngapi? Weka na source, alafu iko wapi indoor sports Arena, na aquatic stadium?.zote ni Kasarani sports complex.., weka hapa.,😂😂😂😂😂😂., Kojoa ulale usije ukakojoa kwa malazi dogo😂😂😂.,
 
Kiswahili ndio utaandika, jibu hauna ama unajitia tu hamnazo, sio battle, ni ukweli inakuuma😂😂😂😂, Kasarani ni capacity ngapi? Weka na source, alafu iko wapi indoor sports Arena, na aquatic stadium?.zote ni Kasarani sports complex.., weka hapa.,😂😂😂😂😂😂., Kojoa ulale usije ukakojoa kwa makazi dogo😂😂😂.,
Nataka wewe ndio ulete source kuhusu sitting capacity ya kasarani stadium, hizo maneno za 60k pp nynyi ndio mlileta humu, now mtuletee sasa source halaf mtuambie mlitumia vigezo gani kujua hiyo capacity mana eneo kubwa la uwanja halina viti 😂😂😂😂
 
Kiswahili ndio utaandika, jibu hauna ama unajitia tu hamnazo, sio battle, ni ukweli inakuuma😂😂😂😂, Kasarani ni capacity ngapi? Weka na source, alafu iko wapi indoor sports Arena, na aquatic stadium?.zote ni Kasarani sports complex.., weka hapa.,😂😂😂😂😂😂., Kojoa ulale usije ukakojoa kwa malazi dogo😂😂😂.,
Kwahyo indoor Arena, na Aquatic stadium ni sehemu ya football stadium.? 😂😂😂, Kuchanganyikiwa huku
 
Ila wewe ni janga la taifa, sidhani kama uko na akili timamu😂😂😂 unataka nikupe source data kwani huoni kama uwanja hauko na viti, sasa hiyo capacity ya watu 60k mumeipataje.? 😂😂, Unalalamika sujui sijaweka indoor sports Arena, kwani comparison niliyoweka hapo ni ya sports Arena au football stadium .? 😂😂 yani hivi 👇 tz football stadiumView attachment 2057623View attachment 2057624vs kenya football stadium 👇View attachment 2057625View attachment 2057626.. mbona hii battle ipo clear kabisa 😂😂😂, vipi unaumia sanaa.?
Alafu nikisema nyoote humu ni vilaza mnanuna, how can u compare kwa mfano Mercedes limo ya 1986 na Mercedes ya 2015 hivi? Hiyo si inaitwa ujinga😂😂😂😂, ungesema Nairobi hakuna football stadium., Pili, baada ya kuona Nairobi inawanyorosha sasa unabana kwa football stadium, yaani mtazamo tu na sio the infrastructure or facility, jinga type 😂😂😂😂😂😂😂, lishamba linapingana tu ilimradi., Kilaza
 
Nataka wewe ndio ulete source kuhusu sitting capacity ya kasarani stadium, hizo maneno za 60k pp nynyi ndio mlileta humu, now mtuletee sasa source halaf mtuambie mlitumia vigezo gani kujua hiyo capacity mana eneo kubwa la uwanja halina viti 😂😂😂😂
Angalia ujinga unaoanika, ingekua ni uongo mngekua mmeanika hapa source inayosema tofauti na yale tumeandika😂😂, nyinyi ni watu wa google, so najua umeona ukweli tayari Kiswahili na uzembe usiniletee, unajaribu tu kunizungusha ili ukwepe, nyambaff😂😂😂, google ujionee, nawajua hadi sehemu nyeti za akili zenu😂😂😂😂😂😂
 
Alafu nikisema nyoote humu ni vilaza mnanuna, how can u compare kwa mfano Mercedes limo ya 1986 na Mercedes ya 2015 hivi? Hiyo si inaitwa ujinga😂😂😂😂, ungesema Nairobi hakuna football stadium., Pili, baada ya kuona Nairobi inawanyorosha sasa unabana kwa football stadium, yaani mtazamo tu na sio the infrastructure or facility, jinga type 😂😂😂😂😂😂😂, lishamba linapingana tu ilimradi., Kolaza
Acha excuse za kipumbavu wewe Wembley stadium ulijengwa 1923 yet ni uwanja mzuri na uko na capacity kubwa kuliko Mkapa stadium 👇
wembley-estadio-vista-aerea.jpg
infractures za hivi zinajengwa na watu weupe .. nyinyi ni kawaida kujengewa mavitu ya hovyo 😂😂😂😂👇heb ona uwanja wa 1986
kasarani-1024x675.jpg
An-Aerial-view-of-Kasarani-Stadium.jpg
 
Angalia ujinga unaoanika, ingekua ni uongo mngekua mmeanika hapa source inayosema tofauti na yale tumeandika😂😂, nyinyi ji watu wa google, so najua umeona ukweli tayari Kiswahili na uzembe usiniletee, unajaribu tu kunizungusha ili ukwepe, nyambaff😂😂😂, google ujionee, nawajua hadi sehemu nyeti za akili zenu😂😂😂😂😂😂
Ngoja nikuulize swali la kawaida, Uwanja wa kasarani uko na viti vingapi.? 😂😂😂
 
Acha excuse za kipumbavu wewe Wembley stadium ulijengwa 1923 yet ni uwanja mzuri na uko na capacity kubwa kuliko Mkapa stadium 👇View attachment 2057627infractures za hivi zinajengwa na watu weupe .. nyinyi ni kawaida kujengewa mavitu ya hovyo 😂😂😂😂👇heb ona uwanja wa 1986View attachment 2057628View attachment 2057629
Ujinga tena umeanika humu😂😂😂😂😂😂., Wembley ya 1923 sio ya sasa, the stadium imekua renovated and upgraded na sio mara moja.., ona sasa unavyojilipua😂😂😂😂😂😂
 
Ujinga tena umeandika humu😂😂😂😂😂😂., Wembley ya 1923 sio ya sasa, the stadium imekua renovated and upgraded na sio mara moja.., ona sasa unavyojilipua😂😂😂😂😂😂
Acha excuse za kifala.. 😂😂😂 last time uwanja wa kasarani umekua upgraded ni juzi tu . And it's still has the same look, hakuna viti,mibati ile ile .. we bhana huna jipya
 
Acha excuse za kifala.. 😂😂😂 last time uwanja wa kasarani umekua upgraded ni juzi tu . And has the same look, hakuna viti,mibati ile ile .. we bhana huna jipya

Infact wacha niweke sawa, Wembley ya 1923 ni tofauti na hii Wembley ya sasa iliyo funguliwa 2007 kilaza, inaitwa overhaul na sio renovation, Kasarani haijafanyiwa overhaul, so uwezi itaja sentensi moja na Wembley ya 2007 kwa ujinga wako unayodhania ni ya 1923., So renovation ni kama kufanyia gari service na sio kugeuza ama kununua nyingine, model mpya., Uko hovyo kifikra dogo😂😂😂😂😂😂, yaani ni wengi bongolala mko hivi?.
 
Ujue wewe ni mjinga na unasahau kama unabishana na watu smart, excuses za kifala kibao unaleta 😂😂😂 sasa kama issue ni kufanya overhaul kwanini na nyie msifanye.? .. na hicho ndio kinachofanya Mkapa stadium kuwa bora kuliko kasarani stadium.. ulisoma kweli wewe.? Akili kama za mdogo angu wa mwisho 😂😂
 
Jibu swali mzee kasarani stadium iko na viti vingapi .?
Najua fikra zako dogo, ukielewa maana ya neno "seating capacity" uje tujadiliane, sasa unaendelea kuanika ujinga unataka nikusidiaje dogo? Nikulipie karo urude shuleni? Yaani nikama upumbavu is your middle name😂😂😂😂😂😂., Wacha Kujitia hamnazo😂😂😂., eti Kasarani iko na viti vingapi? Wewe unaona ni vingapi?., Nenda kajifunze maana ya neno "seating capacity" na kisha tofautisha maana ya kiti na kuketi, ujinga niondolee😂😂😂😂.,
 
Ujue wewe ni mjinga na unasahau kama unabishana na watu smart, excuses za kifala kibao unaleta 😂😂😂 sasa kama issue ni kufanya overhaul kwanini na nyie msifanye.? .. na hicho ndio kinachofanya Mkapa stadium kuwa bora kuliko kasarani stadium.. ulisoma kweli wewe.? Akili kama za mdogo angu wa mwisho 😂😂
Hizi fikra ndio "mtu smart" eti?😂😂😂😂😂😂😂😂, Ni kweli wewe ni mtu "smart"., Wembley ni ya 1923., ya 2007 ni ili Ile ya 1923.., very smart.., 😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏.,
Alafu mbona tujenge na ipo tu sawa, ina host even world athletics event na mpira sawa sawa., tofauti na mkapa ni seats tu.., na muonekano kidogo tu.., kweli wewe ni smart😂😂😂😂😂😂😂😂., jinga type😂😂😂😂
 
Maana ya neno "bora" in the context of this debate ni nini?., Muonekano, functionality ama just the infrastructure itself?.., "smart guy".., 😂😂😂😂😂
 
Hizi fikra ndio "mtu smart" eti?😂😂😂😂😂😂😂😂, Ni kweli wewe ni mtu "smart"., Wembley ni ya 1923., ya 2007 ni ili Ile ya 1923.., very smart.., 😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏.,
Alafu mbona tujenge na ipo tu sawa, ina host even world athletics event na mpira sawa sawa., tofauti na mkapa ni seats tu.., na muonekano kidogo tu.., kweli wewe ni smart😂😂😂😂😂😂😂😂., jinga type😂😂😂😂
Umeona unavyojilengesha .? 😂😂😂 The best 007 jamaa kakubali uku 😂😂😂😂.
 
Back
Top Bottom