Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi nimetaja hapo ni kenya, mimi sio zuka nimekujibu kulingana na caption yako na imagine mimi sio engineer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona umeniuliza ni kenya sehemu gani ? Wakati mimi sikusemq ni kenya bali nimesema ni flytoilets
 
Kisumu ilishapigwa na Arusha, kwenye hotels, residential na kila kitu, kama unabisha tuanze battle ya Kisumu vs Arusha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Arusha ile mlishindwa kuleta walkways na airport......lol.
 
Construction of MV Uhuru II at Kisumu Shipyard.

1640456409144.png

1640457024011.png
 
Najua hilo, ila huwezi jenga nyumba tano na uite project City. Those are just houses.
Mmmmh mzee kwani hapo umeona nyumba tano.? Huo ni mradi wa nyumba elfu mbili, na hapo tayari kuna nyumba 120+ zimeshakamilika na 80 zipo U/C.. mbona uko na karoho kabaya hivyo.? Wivu wa nini babu.? 👇.. yeye mwenyewe mwenyewe mradi akiita City kuna ubaya gani..?
 
Mkiambiwa ukweli mnaita roho mbaya.🚮🚮🚮
 
Mbona umeniuliza ni kenya sehemu gani ? Wakati mimi sikusemq ni kenya bali nimesema ni flytoilets
Umejisahau uliposema ya kwamba eti kuna mkenya kakata km pale sio kenya, au ndio zimekuruka tayari
 
An upgrade to water supply and sanitation services in Kigamboni and Temeke, Dar es Salaam.

View attachment 2057383
View attachment 2057385

nadhan tokea mwaka huu uanze hadi unaelekea ukingoni sijawah kuona mkenya anapost miradi ya maji kwa kujisifu[emoji23]..
kwenye water supply and sanitation services level zetu ni Australia huko au US au CANADA [emoji846]
 
nadhan tokea mwaka huu uanze hadi unaelekea ukingoni sijawah kuona mkenya anapost miradi ya maji kwa kujisifu
emoji23.png
..
kwenye water supply and sanitation services level zetu ni Australia huko au US au CANADA
emoji846.png
Amka sasa buda. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom