The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Majirani endeleeni kugombana na tutaendelea kuwasaidia kama hivi
Mbona unajiaibisha? Mtu amepost barabara tamu na climbing lanes well marked unajibu Na kibarabara chembamba bila proper markings.🤣
Kwani Victoria Haina towers,,ya ni tu nyumba nne pekee Kando ya barabara unalinganisha na Westlands yenye iko density Kuliko posta😂
💉💉Mbona unajiaibisha? Mtu amepost barabara tamu na climbing lanes well marked unajibu Na kibarabara chembamba bila proper markings.🤣
Maana halisi ya independent economy, sio fake verbal GDP
Ni punda mzee kagoma kwenda mzigo mzito. Typically Chinese trial technologiesIchogal kwani haujui mechanical problem ni nini ama ni wivu inakuumiza![]()
Punda kilema kagoma kwenda mwenye mzigo anataka mzigo wake ufike halafu aliyekuuzia punda bado anadai hela yake kazi kwelikweli.
Hawa wachina wasiachwe watujengee design wanazotaka wao, wanatuletea majengo yao ya kichina kama Kenya, wananiuzi sn hawa mbwa, wasiachwe wajenge utamaduni wao washenzi hawa.
Hii ndiyo density? Ghorofa tatu zimejipanga barabarani ndio unafananisha na PostaKwani Victoria Haina towers,,ya ni tu nyumba nne pekee Kando ya barabara unalinganisha na Westlands yenye iko density Kuliko posta
Nikichukua hizi nyumba Tatu za Westlands natoa njasho Victoria
View attachment 2056452
View attachment 2056453
View attachment 2056455








Ali mradi ionekane kama ya Ulaya tuu japo quality ni poor sana iko kijua kaliKenyan infrastructures.View attachment 2055808

Story ya PPP US you dropped like a hot potato 😂 😂. Midanganyika thinks life begins and ends in TanganyikaHahahaha, this old model diesel engine can't do better than this![]()
The level of desperation here is sickening. So mshajiaminisha hapo ni Kenya!? 😂 😂 Lazy trolls!Ali mradi ionekane kama ya Ulaya tuu japo quality ni poor sana iko kijua kali![]()
Chinese Nairobi, yaani muishukuru serikali ya China mno, katika majengo marefu ma5 Nairobi, 4 of them are Chinese owned na barabara na bandari na SGR na GDP 🥺🥺🥺Westlands
View attachment 2056215
Alafu utaona mtu ako serious anailinganisha na kijiko ya nyama ya vijighorofa viwili vitatu kando ya barabara
We fala nn, hizo picha unavyoona zina angle sawa? Chukua hii


Ngorongoro roadMbona unajiaibisha? Mtu amepost barabara tamu na climbing lanes well marked unajibu Na kibarabara chembamba bila proper markings.![]()