Arusha ndio abroad yenu 😂😂😂😂I am going back to Arusha in may ......Fellow Kenyans jump at this offerView attachment 2050377
"hatujui Kiswahili AJEE?, hiki ni Kiswahili gani?hatujui kiswahili ajee!!!,??.



Kwamba iwe lugha ya Kenya alafu msii adopt, hivi una akili kweli wewe, yani iwe lugha yenu alafu msiijue, Zimbabwe wanaongea kingereza lkn wana lugha yao ya asili, Zambia, Nigeria wote hao wanaongea kingereza lkn wana lugha zao za asili na wanazijua vzr, iweje nyie punda kiswahili kiwe lugha yenu alafu msikijue.We never adopted it as a national language as Tanzania did
Hahahaha, kwahiyo hujui kwamba Kiswahili ni lugha ya taifa Kenya?We never adopted it as a national language as Tanzania did
Hizi maelfu kwa maelfu huko Kenya, unataka nikuoneshe?










Yamepoteana 😄😄😄😄😄Kisumu imechapwa na Arusha mpaka huruma![]()
Hajui kuwa nyinyi ni wakunyaWakenya ni nini?manake huenda huna ufahamu na hilo neno wakenya.



Wewe wa hesabu za kydinyana jinsia moja jonhson and johnson wenyewe mnasema j&jZitakua hesabu za kiarabu