Iko hivi, huyu bwana
Walker255 co wa leo humu kwenye hii thread, cku zote alikuwa upande wa Tz akisifia kila kitu cha Tz na kuponda vitu vyote vya Kenya, ilifikia kipindi alikuwa ni miongoni mwa watu wanaoogopeka na Wakenya kama co kuchukiwa kabisa, lkn leo huyu huyu amegeuka na kuanza kuona mapungufu, naweza kumletea post zake akisifia mambo ya Tz hata hyo mitaa anayokashifu leo hakuwahi kuiponda huko nyuma.
Ss swali linakuja, je? Huyu bwana
Walker255 huko nyuma hakuwa na exposure? Kwamba hakuwahi kuona miji mizuri ya wenzetu huko nje ambako anapatolea mfano leo hii? Au huyu bwana
Walker255 hapo mwanzo hakuwa na elimu juu ya upangaji wa miji lkn leo ndio ame graduate so anaziona kasoro?
Au huyu bwana anajifanya hajui lengo la
Emc2 kufungua huu uzi na anajaribu kupindisha lengo? Kama hajui lengo la kufungua huu uzi arudi juu asome tena maana ya kufungua huu uzi alafu aje atukosoe tunachokifanya hapa.
Mm namshauri huyu bwana
Walker255 afungue uzi wenye contents anazosema yeye alafu cc tutajumuika naye but huu uzi hauna hizo contents anazosema yeye.