Sawa boss nimekuelewa.On the contrary, sina hasira hata kidogo. Muda wangu mwingi sijihusishi na drama za hii thread kama nyie. You should be worried about your mental well-being.
Unabadilisha mada tenaNa Tanzania?
hawa si walichinjwa na rebels wa congo juzi...military is more if brains than brawl



Iko hivi, huyu bwana Walker255 co wa leo humu kwenye hii thread, cku zote alikuwa upande wa Tz akisifia kila kitu cha Tz na kuponda vitu vyote vya Kenya, ilifikia kipindi alikuwa ni miongoni mwa watu wanaoogopeka na Wakenya kama co kuchukiwa kabisa, lkn leo huyu huyu amegeuka na kuanza kuona mapungufu, naweza kumletea post zake akisifia mambo ya Tz hata hyo mitaa anayokashifu leo hakuwahi kuiponda huko nyuma.Historia ya Afrika huijui kijana, kasome kwanza history ili ujue Afrika ilitoka wapi ni mambo yepi yalipelekea underdevelopment.. unataja sababu moja tu ya viongozi wabovuuwezo mdogo sana..
Ndio kuhusu suala la kutoa maoni ili kujenga ni suala linakubalika,ila wewe unaongea vitu ambavyo unaonekana kabisa hauvijui vizur, ipo haja ya somo la history ya tz kufundishwa madarasani, mana wengi pamoja na wewe hoja zenu ni nzuri lakini inaonekana haujui history ndio mana mengi kati ya hayo mazuri unazungumzia ni kama anazungumza mtu ambae haujui vyanzo vyake,
Usome history mzee.. kwa tulipotoka na tulipo ni hatua kubwa sana tumepiga, tena ukizingatia na sera yetu ya uchumi aliyochagua baba wa taifa na procedures mbali mbali zilizochukuliwa ili kunusuru nchi hii, ni Kichaa pekee ndio anaweza tamka Tz umelala..
Kuna nchi zinatajwa kuwa na uchumi mkubwa na bado wanahaingikia mambo yale yale tunayoyahangaikia sisi, alaf upo hapa eti Tz umelala..
Halaf we jamaa ndio ulisemaga Kigamboni hakuna cha maana kinachoendelea wewe.
Ukiwa mpinzani sio kupinga tu baba
Airport inawaka kushinda CBD 😂😂😂😂 Taa za nyumba hizo nje ni giza tupu. Hakuna hata barabara inawaka hapo kwa mitaa. On a vile Nairobi mataa yana meremeta, Dar is too dim nikama munatumia candles. 😂😂😂Your so called City at night 👇View attachment 2048601
😂😂😂😂😂😂 Linganisha na hapa 👇View attachment 2048602kwa mujibu wa upeo wako mdogo ni mji gani unawaka taa eneo kubwa zaidi .?
Ndiyo chanzo hicho, tangu cku hiyo akawa against, huu ni udhaifu wa kiwango cha juu kabisaNi aina ya wale watu ambao ukitofautiana nae mtazamao Kidogo basi huanza kuiponda nchi yake bila kutumia facts zaidi ya mimbwabwajo kwa kudhani kuwa anakukomoa.
Unakumbuka Ile ishu ya JPM na yule daktari aliyesomeshwa na serikali halafu akaacha kazi kwenye hospitali ya serikali na kwenda kwenye sekta binafsi...tatizo lilianzia pale na hiyo ID kama mnakumbuka.![]()







Kitu cha maana ni kufuata sheria ya nchi husika,na sio ujanja ujanja wa mipakani.Mtanzania mwenzenu anateta juu ya ubaguzi wenyu, this video is proof of your witchful nature 😂😂😂
An army must suffer casualties sometimes just like Americans in Afghanistan.......so stop fattening and wanking in your camps and go for real assignments
Kwanza tangu cku ile ametofautiana na mambo ya JPM na yule daktari alisema hatorudi kwenye huu uzi licha ya kumuomba aache hayo mambo, mm mwenyewe nmewahi kumfata PM co mara moja kumuomba aachane na hizo habari cz mchango wake tulikuwa tunauhitaji lkn akawa mkaidi kabisa, ss amerudi lkn kwa style nyingine ya kuponda.Huyo jamaa yupo hovyo sana, halafu inaonekana ni incompetent kwenye masuala ya nchi, hajui chochote yeye ana bwata tualimradi na yeye aonekane yupo... Ujuaji mwingi kwenye hakuna
Eneo lote hilo hakuna kitu isipokuwa vijengo viwili lkn picha zake zikipigwa upande upande unaweza sema ni kweli.Two Rivers Mall.
Two Rivers Mall Nairobi is the largest in East and Central Africa. Nestled along Limuru Road Ruaka, Kiambu County.
The Mall encompasses mixed developments both residential and commercial centers, an amusement park, Games Arcade, Movie theatre, Supermarkets, among others.
This mall is like a city where you don`t have to go anywhere else to get anything. There are 3 to 5-star hotels offering accommodation. One of the finest restaurants you will come across in Nairobi.
The mall is an entertainment powerhouse catering to both kids and adults. All the fashion design boutiques, supermarkets. Swimming pool. All you need is under one roof.
As a traveler or a local and an international tourist, what is of interest in two rivers mall? What can you get in this mall? Why should I visit the place? What is there to see and do?
Let us now dive in and see matters of tourism interest as an adventurer.View attachment 2048576View attachment 2048577View attachment 2048578







An army must suffer casualties sometimes just like Americans in Afghanistan.......so stop fattening and wanking in your camps and go for real assignments




Hata mimi naonaHamna mataa wacha excuse. Uswazi ni giza tupu. No street lights no high mast lights. Taa za morogoro road si zinaonekana. Hakuna pa kujificha.😂😂😂
View attachment 2048433
Hata unifungie mabomu ya kujitoa muhanga sitoponda nchi yangu ila nitakosoa.Ndiyo chanzo hicho, tangu cku hiyo akawa against, huu ni udhaifu wa kiwango cha juu kabisa![]()
Wakiwa hapa wanatutukana lakini kwa ground wanatutukuza, by the way hii imenifanya nitokwe na machozi .