Historia ya Afrika huijui kijana, kasome kwanza history ili ujue Afrika ilitoka wapi ni mambo yepi yalipelekea underdevelopment.. unataja sababu moja tu ya viongozi wabovu 😂😂😂 uwezo mdogo sana..
Ndio kuhusu suala la kutoa maoni ili kujenga ni suala linakubalika,ila wewe unaongea vitu ambavyo unaonekana kabisa hauvijui vizur, ipo haja ya somo la history ya tz kufundishwa madarasani, mana wengi pamoja na wewe hoja zenu ni nzuri lakini inaonekana haujui history ndio mana mengi kati ya hayo mazuri unazungumzia ni kama anazungumza mtu ambae haujui vyanzo vyake,
Usome history mzee.. kwa tulipotoka na tulipo ni hatua kubwa sana tumepiga, tena ukizingatia na sera yetu ya uchumi aliyochagua baba wa taifa na procedures mbali mbali zilizochukuliwa ili kunusuru nchi hii, ni Kichaa pekee ndio anaweza tamka Tz umelala..
Kuna nchi zinatajwa kuwa na uchumi mkubwa na bado wanahaingikia mambo yale yale tunayoyahangaikia sisi, alaf upo hapa eti Tz umelala 😂😂😂😂 ..
Halaf we jamaa ndio ulisemaga Kigamboni hakuna cha maana kinachoendelea wewe 😂😂😂.
Ukiwa mpinzani sio kupinga tu baba