Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Wanapita kimya kimya hapa👇👇
Tatizo mnaiogopa Mombasa sana🤣🤣🤣Hawa watu wa Mombasa wanachukia kishenzi kuitwa wakenya, wanapenda sana kujihesabu kama Watanzania ni kama wacomoro
Is this Agha Khan Walk?Tokeni village mje jiji ile realView attachment 2048377View attachment 2048378View attachment 2048379View attachment 2048380
Taarifa Kama hizi midanganyika huwa hawapendi kusikia. Utasikia eti data za kupikwa 😂Kenya named top safari destination in Africa
View attachment 2048388
![]()
Kenya named top safari destination in Africa
Kenya remains a world-leading safari destination in 2021, according to the World Travel Awards.www.businessdailyafrica.com
![]()
Kenya opens largest shipyard in sub-Saharan Africa
www.thecitizen.co.tz
Nchi yangu naipenda sana nitasimama popote pale kuitetea siwezi kubali mtu anaiponda bila sababu za msingi, kama makosa yanafanyika nakosoa na kutoa alternative na kama cwezi kubadilisha basi naacha kama ilivyo au just simple tu naachana na uzi lkn co eti naiponda Tz, inakosa gani kwa mfano? Iko wazi waafrika wengi wangependa kuwa Watz lkn ndiyo haiwezekani, eti niiponde Tz alafu niisifie nchi gani Africa hii iliyojaa uozo.Hata unifungie mabomu ya kujitoa muhanga sitoponda nchi yangu ila nitakosoa.
Kuna tofauti kubwa Kati ya kuponda na kukosoa.
Wengi huwa wanaponda wakidhani labda wanakosoa.
Kuponda na mihemuko havijaachana sana.
Hiyo ndiyo meli kubwa EA utake usitake






Mombasa the second most developed city in East Africa after The Mighty NairobiTatizo mnaiogopa Mombasa sana![]()
Twende Somalia kuna nini kwani mpaka twende mjomba??the day you will grow balls to go to Somalia tutaongea.....good for nothing country as usual
Jibu zuri sana hili.SGR inajibu tatizo la usafiri wa haraka na gharama ndogo kwa abiria na mizigo, SGR ni miongoni mwa vipaumbele kwasababu itasaidia kusafirisha mazao ya wakulima na bidhaa za viwandani.
SGR itasaidiana na bandari katika kusafirisha mizigo ya nchi jirani hivyo kuingiza kipato serikalini ambacho kitajenga hizo "Mlongazila Hospitals" nyingi zaidi, SGR inajibu tatizo la msingi la barabara na usafirishajj, Je space program inajibu tatizo gani la msingi hapa Tanzania?,
Nchi tajiri zenye hali nzuri kiuchumi Kama Qatar, Mauritius, Sychellese bado hazijafikiria Mambo ya space programs kwasababu bado ni Mambo ya baadae Sana na Wala sio muhimu Sana kwa maisha ya raia wao, vipi unawaza space program wakati dawa zote za binadamu na mifugo bado tunaagiza toka nje ya nchi?.
Mkuu lazima tukubali kwamba maisha ni hatua kwa hatua, Africa kwa ujumla ni bado Sana kuanzisha space programs, tunaweza kuanza kufundisha hayo masomo katika shule zetu na vyuo vikuu kwa maandalizi ya miaka 50 ijayo lakini sio Sasa hivi, ngoja kwanza tupambane na huu umasikini wetu kwanza, tuhakikishe chakula cha uhakika kwa raia wetu, bima za Afya kwa angalau 80% kwa raia wetu na upatikanaji wa maji, barabara na umeme kwa watu wote.
Ushuzi tu.Two-Rivers Mall. google please it ili upate taswira kamili
Hasira za Walker255 hizi🤣🤣🤣Nchi yangu naipenda sana nitasimama popote pale kuitetea siwezi kubali mtu anaiponda bila sababu za msingi, kama makosa yanafanyika nakosoa na kutoa alternative na kama cwezi kubadilisha basi naacha kama ilivyo au just simple tu naachana na uzi lkn co eti naiponda Tz, inakosa gani kwa mfano? Iko wazi waafrika wengi wangependa kuwa Watz lkn ndiyo haiwezekani, eti niiponde Tz alafu niisifie nchi gani Africa hii iliyojaa uozo.
Hawa Wakenya humu asikuongopee mtu wana maisha magumu mno kutokana na nature ya uongozi wao na ufinyu wa maliasili unaoikabili nchi yao, usiongopewe na vijengo viwili vitatu vya upande upande wanavyoweka humu, wana maisha magumu sana hata wao wananielewa vzr sn.
Mkuu Walker255 umetisha sana, wanasema wamekuignore lakini Kila siku wanaandika maparagragh juu yako🤣🤣🤣Kwanza tangu cku ile ametofautiana na mambo ya JPM na yule daktari alisema hatorudi kwenye huu uzi licha ya kumuomba aache hayo mambo, mm mwenyewe nmewahi kumfata PM co mara moja kumuomba aachane na hizo habari cz mchango wake tulikuwa tunauhitaji lkn akawa mkaidi kabisa, ss amerudi lkn kwa style nyingine ya kuponda.
Mm cna shida naye aponde anavyoweza ila namkumbusha tu hii ni nchi yake hata afanye nini, na pia hakuna shida yeye akitofautiana na watu but ajue kwamba nchi imepiga hatua kubwa atake asitake, tofauti na tulipotoka.
Tuna tatizo letu kubwa ambalo hata mm huwa nalipigia kelele la ujenzi holela, na hili ni tatizo la Afrika na kwengineko duniani, but kuponda kila kitu haimsaidii kupata nafuu ya maumivu.
Yaani raha.....our president is overworking...
Kwa data yako red lines and dotted green lines are not complete. Tangagiza ni giza tupu. Kenya in 2015 is well connected to the grid kushinda Tangagiza ya 2021. Kama kawaida miaka ni 25 years nyuma.
tanzanians have blind patriotism syndrome.....questioning something ni kifinywaaThe pain goes straight to joto la jiwe who has hope on bagamoyo port![]()
😂😂😂😂😂 naishaaaaaaa. 😂😂😂😂shoddy work / jua Kali type
👉Outdated Crane
👉No slipway
👉Rusted metals
View attachment 2048707
Nairobi ni eneo dogo sanaYour so called City at night 👇View attachment 2048601
😂😂😂😂😂😂 Linganisha na hapa 👇View attachment 2048602kwa mujibu wa upeo wako mdogo ni mji gani unawaka taa eneo kubwa zaidi .?