Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar CBD ni ndogo sana kwa Nairobi, yani JNIA Airport hata inawaka kushinda CBD. Aibu gani hii. Barabara mingi hazina street lights. Hii ni kijiji kubwa tu. Mitaa hazina street lights wala high mast lighting.

Image


Compare and Contrast. Nairobi inawaka hadi ndani ya clouds.
Image
Wewe uoni hizo picha zipo tofauti upigwaji cheki rangi zake moja inasensi mwanga kushinda nyingine weka ya pamoja kama mimi hii ni ushahidi wa wazi najua unaona aibu kwa hii picha,hizo chembe za mwanga zilizopo tz ukizikusanya pamoja unapata mwanga mara 3 ya uliopo kenya ukikusanya pamoja maana kenya mwanga upo mombasa na nairobi tu
JamiiForums1156447377.jpg
 
Picha ya Dar imechukuliwa kutoka umbali na ya Nairobi imechukuliwa kwa Karibu
Kwanza hizo picha mbili ni tofauti hata sensitivity ya mwanga tizama hizo picha eneo la giza kwenye kila picha moja hadi gizani ni tofauti ,hivyo mfumo wa kamera wa moja umesetiwa kuwa high contrast na high light sensitive kuliko picha ya dar jamaa nanatuona sisi ni mazuzu kama bunge letu
 
this a fake satelite images,.. how can kampala be this blurred. then those lights in Southern Tanzania, is scam!. think they could be forest fires just like the ones you would see in midwestern australia
mukunya karusha mafiii huku kumbe umekubali kuwa hiyo picha tz inawaka zaidi ya kenya tena sehemu mbalimbali tofauti ya kenya ni nairobi na mombasa tu tuliwaambia tunasambaza umeme vijijini mkasema sisi ni waongo sasa hiyo picha unavyo sema southern huko ndiyo umeme wa gesi umekungarisha maana ndiyo gesi inakopatikana nani mikoa ya uti wa mgongo wa tz katika kilimo, hiyo picha ni real sisi hatuna muda mchafu wa kuedit ujinga kama nyinyi ila tafuta hiyo picha kwenye mitandao au google utajua source yake acha maneno mingi za slum culture bana achana na mambo za kijinga za forest fire bana wacha kutuchekesha huo moto wa kuwaka eneo ilo lote siungekuwa gumzo duniani au wewe ulioni ilo eneo ni kubwa sana
 
So Una-admit kuwa Tanzania bado ni sleeping giant? Kwasababu kama nchi yenye uhuru wa miaka 60 na bado barabara zina vumbi na umeme ni tatizo inamaanisha kuwa Kwa miaka yote hii hata haya mambo Ambayo unaita ni ya “muhimu zaidi” bado hayakuwa na priority Kwa serikali.

Kwa nchi yenye rasilimali kama Tanzania, uongozi bora ungekuwa umetuweka mahali ambapo Taiwan au South Korea ipo leo. Lakini kwasababu ya miaka ya uongozi mbovu na sera za kiuchumi zisizo na tija, bado tupo kwenye hali ya chini.

Unaponda space program? SGR yenye gharama ya matrilioni ya shilingi Mbona huisemi? Hudhani kuwa hizo fedha zingejenga hospitali nyingi kama Mlomganzila kote nchini? Lakini wote hapa tunakubaliana kuwa SGR ni muhimu kwenye kuinua sekta ya usafirishaji nchini Na pia kuwa na reli ya kisasa inatuweka kwenye sehemu Nzuri kiuchumi.

Space program itaongeza hulka ya sayansi na teknolojia nchini. Na tunaweza kuanza kidogo kidogo. Hakuna ulazima wa kuwekeza pesa nyingi Kwa wakati mmoja.
SGR inajibu tatizo la usafiri wa haraka na gharama ndogo kwa abiria na mizigo, SGR ni miongoni mwa vipaumbele kwasababu itasaidia kusafirisha mazao ya wakulima na bidhaa za viwandani.

SGR itasaidiana na bandari katika kusafirisha mizigo ya nchi jirani hivyo kuingiza kipato serikalini ambacho kitajenga hizo "Mlongazila Hospitals" nyingi zaidi, SGR inajibu tatizo la msingi la barabara na usafirishajj, Je space program inajibu tatizo gani la msingi hapa Tanzania?,

Nchi tajiri zenye hali nzuri kiuchumi Kama Qatar, Mauritius, Sychellese bado hazijafikiria Mambo ya space programs kwasababu bado ni Mambo ya baadae Sana na Wala sio muhimu Sana kwa maisha ya raia wao, vipi unawaza space program wakati dawa zote za binadamu na mifugo bado tunaagiza toka nje ya nchi?.

Mkuu lazima tukubali kwamba maisha ni hatua kwa hatua, Africa kwa ujumla ni bado Sana kuanzisha space programs, tunaweza kuanza kufundisha hayo masomo katika shule zetu na vyuo vikuu kwa maandalizi ya miaka 50 ijayo lakini sio Sasa hivi, ngoja kwanza tupambane na huu umasikini wetu kwanza, tuhakikishe chakula cha uhakika kwa raia wetu, bima za Afya kwa angalau 80% kwa raia wetu na upatikanaji wa maji, barabara na umeme kwa watu wote.
 
Kwanza hizo picha mbili ni tofauti hata sensitivity ya mwanga tizama hizo picha eneo la giza kwenye kila picha moja hadi gizani ni tofauti ,hivyo mfumo wa kamera wa moja umesetiwa kuwa high contrast na high light sensitive kuliko picha ya dar jamaa nanatuona sisi ni mazuzu kama bunge letu
Yes halafu ukiwakamata ujanja wao wanalialia
 
Wewe uoni hizo picha zipo tofauti upigwaji cheki rangi zake moja inasensi mwanga kushinda nyingine weka ya pamoja kama mimi hii ni ushahidi wa wazi najua unaona aibu kwa hii picha,hizo chembe za mwanga zilizopo tz ukizikusanya pamoja unapata mwanga mara 3 ya uliopo kenya ukikusanya pamoja maana kenya mwanga upo mombasa na nairobi tu View attachment 2048223
taswira kamili, kenyaland vs mkudanganyika. original snapshop nimechukua saahivi toka google earth
Screenshot_20211218-085415.png
 
Na ndio mana nikakwambia hiyo picha ni ya zamani labda, mana kwasasa hadi tandale kuna taa za mulika mwizi zinawaka usiku, zilifanywa juzi kati tu kwenye midari ya Dar es Salaam metropolitan development project, hizi mitaa tofauti tofauti za uswazi pamoja ka estate ka geza ulole uko Mbagala, kuonekana kuwa na taa za mulika mwizi View attachment 2048110View attachment 2048111View attachment 2048113View attachment 2048114View attachment 2048115View attachment 2048116nimeshangaa pia kuona hii barabara haonekani kuwaka taa usiku View attachment 2048117kwasasa hii barabara inawaka taa sana wakati wa usiku hata na daraja kimewekwa taa na zinawaka San View attachment 2048120ni hayo tu.. NB maeneo mengi sana DSM hapo sio yote, kwasasa yako na taa za barabarani .. ile picha labda ni ya zamani
Tokeni village mje jiji ile real
download%20(1).jpg
download%20(2).jpg
download-1.jpg
download%20(3).jpg
 
While you are waiting for money from abroad, Tanzania mining sector is expected to contribute 10% of our GDP by 2023, Tourism to give us $3B next year, Manufacturing industry to grow by 17% next year, Agriculture sector to grow by 23% to cement food security within the country and that of our neighbours, that is the meaning of "Economy with strong base"
Shifting the goal post after thorough whopping 🤣🤣🤣🤣 tell your diaspora to work hard like Kenyans so that they can send billions of dollars back home. Yani the money which our diaspora sent back home is bigger than your entire tourism industry 😭😭😭
 
Back
Top Bottom