Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ujinga, ninyi wakenya hamna akili hata kidogo, mnaandika vitu msivyovijua, Charter plane inaweza kutua kiwanja chochote, hiyo haina maana kwamba huo uwanja ni International Airport, mfano mzuri ni Goma Airport huko Eastern DRC, kunatua ndege nyingi za misaada ambazo hutokea nje direct, lakini sio international Airport kwasababu hakuna passenger planes routes.
Ujinga sio Ugonjwa ni laana 😂 😂 😂 😂 😂 hiyo Goma is more international than airports zenu zote uchwara outside JNIA.., nyambaff! 😂 😂 😂

Jambojet starts Nairobi-Goma direct flights​

FRIDAY SEPTEMBER 10 2021
1639723650624.png

A Jambojet plane. FILE PHOTO | NMG

Budget airline Jambojet has launched flights to Goma in the eastern Democratic Republic of Congo, as it seeks expansion in the vast central African country.

Jambojet, a subsidiary of the national carrier Kenya Airways, made the inaugural flight on Friday, becoming the first airline to directly connect the capital of North Kivu province and Nairobi.

It will be flying twice a week to Goma from its hub at the Jomo Kenyatta International Airport in Nairobi. The company’s officials said the frequency could rise to four per week if traffic permits. The flight takes two hours one way.

“We are excited about the growth prospects in the region. We have an ambitious plan to develop our network, and we are proud to be the first low-cost airline to venture down this route,” said Karanja Ndegwa, Jambojet managing director in his speech on the occasion.

Kenya’s Ambassador to Kinshasa George Masafu was among the dignitaries who welcomed the inaugural Jambojet flight on Friday, alongside senior government officials in Goma.

RwandAir to give Jambojet run for its money on Goma route​

WEDNESDAY AUGUST 25 2021
jambo

Passengers disembark from a Jambojet plane. FILE PHOTO | NMG

RwandAir has introduced flights to Goma and Lubumbashi just weeks after budget carrier Jambojet made the same announcement.
 
Rwanda wamezidi Africa yote katika "Health insurance coverage" sio katika Best and advanced heath services ambapo Tanzania tunashika namba 3 Africa nyuma ya South Africa na Egypt, Wanyarwanda wengi huenda Bugando Hospital - Mwanza kufuata tiba ya Cancer, pia madakari bingwa toka Muhimbili, Kitendo cha tiba za Moyo huenda Rwanda kuwasaidia/kuwafundisha kufanya operations za Moyo.
From one of the biggest international health insurance organisation View attachment 2047129
Screenshot_20211217-095517-915.jpg
 
Lol. Watanzania wazembe kwao hawatoki.
Utapata Wakenya zaidi kwa hio hio SADC wakiwa kwa biashara.
Tanzania rasilimali ni nyingi mno, hatuwezi kuja Kenya kwenye jangwa tupu kufanya yale tunayofanya Tanzania sababu hamna hayo mazingira, wenye hayo mazingira ni SADC
 
Ndio sababu nikakuambia hujui kitu unahitaji kujifunza, sababu kubwa ya deforestation ni kukata miti ya asili kwa shughili za kilimo, kuchimba madini na kwa ajili ya mkaa/Kuni, ukataji huo kawaida hauendani na kurudishia kupanda miti iliyokatwa.

Katika mashamba ya miti hakuna deforestation kwasababu idadi ya miti inayokatwa ni sawa na idadi ya miti inayopandwa, hivi unaelewa maana ya kilimo cha miti?, Njoo Tanzania mkoa wa Iringa uone shamba la miti la Mufindi lilivyokubwa, lilianzishwa na Nyerere kwa ajili ya kiwanda cha karatasi cha Mgololo, ukubwa wa hilo shamba ni 20% wa ardhi yote ya Kenya.
Yeah sikatai Tanzania Ina a huge forest cover but Shifa Ni statistics zinaonyesha inapungua meaning the graph is looking down and not up. Uwe Na mabillioni Kwa benki lakini graph inaonyesha you spending more than you inputing it means at some point zitaisha
 
Wacha ujinga, ninyi wakenya hamna akili hata kidogo, mnaandika vitu msivyovijua, Charter plane inaweza kutua kiwanja chochote, hiyo haina maana kwamba huo uwanja ni International Airport, mfano mzuri ni Goma Airport huko Eastern DRC, kunatua ndege nyingi za misaada ambazo hutokea nje direct, lakini sio international Airport kwasababu hakuna passenger planes routes.

Wivu itauwa mitanzania., sisi sio size yenu..,

Eldoret International Airport Resumes European Flights​

Guest Writer 19 hours ago


File image of Kenya Airways planes. |Photo| Courtesy|


|Photo| Courtesy|



Editor's Review​

The airport will now export fresh agricultural produces to markets like Netherlands and Belgium following a deal with European markets.



Farmers in the North Rift have been handed a lifeline after the Eldoret Airport resumed direct flights to Europe.
This will see cut flowers from the region exported to European markets.
According to Nation, the airport transported 956 tonnes of agricultural produce in 2006 but was reduced to passenger and cargo imports.

1639724326494.png

The airport will now export fresh agricultural produces to markets like Netherlands and Belgium following a deal with European markets.

"For many years, farmers have been transporting their produce by road, which means extra costs. But now this is a game-changer in the horticultural sector as it will significantly lower costs.

“Farmers are excited about this new milestone and we are targeting to increase volumes from the current five tonnes per week to 15 to over 20 tonnes starting this week. That is five tonnes in each of the three flights in a week," the airport manager Walter Agong’ stated.


The airport has a capacity to handle 1.2 million tonnes of cargo annually and boasts a cold storage capacity of 250 metric tonnes.

The airport exported its first batch of 5 tonnes of flowers on November 30, and in the last two weeks, has exported 10 tonnes of the flowers.

Prior to the restart, farmers from the North Rift region transported their produce by road to the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).

Head of marketing at Eldoret Airport Charles Mwita said that direct exports will help cut costs and maintain the quality of the produce.

“We are keen to start exports of other agricultural produce like avocado… Currently, we have limited space for the exports by the airliner but they have promised us that from January next year we will get more space to export local agricultural produce,” he said.

The Kenya Airports Authority (KAA), in an earlier statement, said it wanted to increase the volumes to boost the trade in the North Rift region.

“The airport, while working closely with flower and horticultural farmers in the region, aims to (export) at least 35 tonnes per load by March next year,” the statement read in part.

For close to a decade, the airport has been involved in handling imports and passenger flights owing to low volumes of agricultural produce for export.

Enjoy Eldoret.., watu wa Arusha wako wapi 😂 😂 😂
1639724518207.png

1639724595240.png

1639724575318.png

1639724536223.png

1639724550013.png


1639724169002.png
 
Tanzania ndo wajinga Sisi tunahifadhi Miti but we exploit Tanzania forest inaitwa akili. People don't stop using tree poles sababu Ni mbaya they stopped because they destroy the environment but if we can source from Tanzania watumie tu za Miti coz no biodegradable I love that guy who said we source from Tanzania he is a very wise guy
LOL timber is the multi billion dollars business you fool 🤣🤣🤣🤣

With all that myopic mentality about timber business, is Kenya even 5% more forestry than these global timber dealers?

Screenshot_20211217-100358.png
 
Yes zikitoka Tanzania we connect Na wooden but if it's from Kenya we use concrete ndo tusiharibu mazingira yetu. We Tring to balance Na tulinde mazingira
Thank you and keep doing it.
Tanzania sisi kwa Africa we lead in timber business na imetengeneza multimillion dollars businesses.
 
Thats funny tangu lini Kiswahili ikawacha kuwa a costal language ikawa lugha ya watanzania? Sasa hivi Kenya waanze kuongea kiharabu utasema kiharabu Ni lugha ya wakenya? Chenye unatumia Wacha kabisa Kiswahili Kwanza Somali Kenya Tanzania Hadi Mozambique all that coastal line invented Kiswahili Tanzania waliamua tu kukitumia as a national language si Chao Hilo ukumbuke... Kisukuma au kichaga au sijui lugha yako ndo yenyu
Kwahiyo kiswahili ni cha Kenya? Hata kuongea tu kiswahili chenyewe hamjui.
 
Wewe ndio jinga, hujui kwamba hiyo miti huku tunalima Kama tunavyolima mahindi, tomato na machungwa?, We make money from tree plantations the same way you make money from tea, sugarcane plantations, due you destroy environment when you harvest sugarcane for your sugar industries?
Mkuu usimuamshe aliyelala utalala wewe 😂😂😂😂

Acha wanendelee na mentality hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom