Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Oy bandugu nilikua sijamaliza kupost kuhusu Arusha .. Hii ni kwa faida ya mkunya na watz ambao hawajawahi kufika Arusha .. hili eneo halijawahi kupigwa picha na kupostiwa popote pale ila mimi nitatumia google earth kwasababu naijua vizur Chuga, muone namna magufuli alivyopiga lami za kuzidi hapo mjini Chuga 👇View attachment 2045493View attachment 2045494haya meneo ☝️ni pembeni kidogo ya CBD pale mjini kati .. owky niwarudishe kwa makazi ya Watu nje ya CBD.. oya Chuga ni balaa 👇View attachment 2045496View attachment 2045497View attachment 2045498View attachment 2045499View attachment 2045516View attachment 2045517closer view 👇huu ni ule mji wanajenga unaitwa BURKA cityView attachment 2045524haya nayo 👇 ni maeneo ya karibu na mji unaitwa Safari City uke mradi wa NHC ulioishia njiani .. Hapa ni karibu na makazi hayo 👇View attachment 2045526wakunya 😂😂😂😂 kuanzia leo iwe marufuku kuitaja Arusha kwenye sentence moja na kijiji cha Kisumu ni dharau ya hali ya juu, Arusha ipo kwenye league yake yenyewe hapa EA .. Kisumu level zake ni Moshi ..
Ngurue limejikaanga na mafuta yake mwenyewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ningekua wewe singedhubutu kutumia google earth 😂 😂 😂 😂 😂 ., nilikua nishachambua Mwanza na Arusha, nilijua hamna kitu, wewe na kihere here ukarukia google earth 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Kisumu.., yaani estates pekee zinafunika Arusha na Mwanza CBDs 😂 😂 😂 😂 .,
Larger Robert Ouko estate na vilivyomo

1639637659861.png

Upana, capturing surroundings estates next to Robert Ouko.., Mountain View, Pembe tatu all the way toward west part of Kisumu..
1639639510892.png

Milimani estate na vilivyomo..,
1639637892230.png

Western part of downtown.., sehemu not captured..,
1639638478128.png

Migosi/Lolwe/Kenya Re estates..,
1639638816718.png

A section of Mamboleo..,
1639639257480.png

1639639314957.png
 
Huyu jeff mmoja anajulikana dunia nzima vs watu wa vijiweni hahaha, wenda wazimu ni wengi kweli
Hahaha ndio watu wa vijiweni huku Bongo walivyo. Wana ufahamu na uelewa wa mambo mengi tu wanatulia kucheza chess mtaani na kupata kahawa.

Huko kwenu vijiweni ni uchokoraa tu na kusniff gum Sio?
 
Hahaha ndio watu wa vijiweni huku Bongo walivyo. Wana ufahamu na uelewa wa mambo mengi tu wanatulia kucheza chess mtaani na kupata kahawa.

Huko kwenu vijiweni ni uchokoraa tu na kusniff gum Sio?
Mimi nileo wewe if i realise umefanya vizuri kunishinda kimaisha siwezi anza kuongea nonsense kukuhusu, sasa huyu jeff mmoja has been at a world stage, nyinyi ni umbea tu hapa JF,kizungu yake imempeleka mbali wewe jitahidi ujulikane pia
 
Ila bwana Don YF unajifurahiisha sana unavyotaka kuifanya eti Kisumu ni zaidi ya ARUSHA 😂😂😂 kwa lipi labda.? Heb ona hapa 👇 Arusha CBDsView attachment 2045219View attachment 2045234View attachment 2045235View attachment 2045236View attachment 2045239View attachment 2045244View attachment 2045245niliona pia umepiga kelele kuhusu nyumba za makazi 😂😂 pole sana ni vile tu tz watu hawazingatii mambo ya picha ila hata kwa google earth nitakuonyesha Arusha inaweza itoa hata mombasa kwenye suala la makazi 👇 UzunguniView attachment 2045249View attachment 2045250View attachment 2045257Njiro👇View attachment 2045252View attachment 2045253View attachment 2045259Burka City 👇View attachment 2045261View attachment 2045267hizi ni Kati ya estates chache nilizochagua kuonyesha tu .. haya ndio uje ulinganishe na hi kisumu jamani 👇View attachment 2045273
3034754_kisumu.jpg
View attachment 2045278😂😂😂😂😂😂 utakua umechanganyikiwa wewe .. by the way kwa baadhi ya picha zitakulazimu ugeuze simu uone pole 😂😂😂😂

View attachment 2045251

View attachment 2045255

View attachment 2045274
Lami Ni Kama zero!
Makazi Bila good roads!!!
 
Mimi nileo wewe if i realise umefanya vizuri kunishinda kimaisha siwezi anza kuongea nonsense kukuhusu, sasa huyu jeff mmoja has been at a world stage, nyinyi ni umbea tu hapa JF,kizungu yake imempeleka mbali wewe jitahidi ujulikane pia
Kamwambie abadili swags.. Sasa hupendi ukweli au?
 
It's the other way round kijana... Ndio maana unaona Bongo haitumii kelele nyingi Wala nguvu kubwa. Inajua pale pa kufinya tu in right time na mambo yanaisha kimya kimya hata kabla hamjaanzisha... Au umesahau kichaa chenu cha kulia lia na kususa vile tunamaliziaga tu ngazi ya wilaya au mkoa?
Kama vile mlilia tulipokataa kununua mahindi?🤣🤣

 
Hio fake accent yake impeleka CNN wewe your legit kiswahili umempita kimaisha, wacha roho ya kichawi
Kumbe accent yake ni fake? I never know that..

Kiswahili kinabamba bradhee.. Ama hukuona yule waziri wa US alivyokuwa kibera hapo alijaribu ku tweet Kwa swahili?
 
Back
Top Bottom