Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkoa?????., weka nikuletee pale unakoishi..,
mkuu nikuambie mara ngapi kuwa niko kibera au unafikiri naongopa
15.jpg
View attachment 2046190View attachment 2046191
 
Kwenye hii Video Mwisho mwisho si kama Manzese tu, Nilidhani hawana maeneo kama haya . Tena Manzese Magorofa mengi.

Mkiambiwa haya maslum wanaishi watu 2.5 muwe mnaelewa. Ngoja yaje na picha ya vipandevipande
 
Umeishiwa unabweka tu ......ati arusha lol
Heee ajabu kweli, nimepost streets ngapi zenye zipo na NMT.? Nimeishiwa mimi au wewe.? 😂😂👇
Screenshot_20211215-235129_1.jpg
na hizi streets tu za makazi na zote ziko na NMT . street level ya Arusha ni sawa na NAIROBI tu 👇 . .
 
Kufa na uchungu. hakuna ranking hata moja ya health from trusted sources inaiweka bongo mbele Kenya.
Onyesheni wapi na lini liver transplant ilifanyika Kenya, sio kitu kidogo kufanya Liver transplant, lazima kuwepo na media nyingi kutangaza, kwa mfano "The first person to undergo liver transplant in Kenya", wekeni lini mgonjwa wa kwanza alifanyiwa?
 
Mbwembwe ni za wabongo. Kuna vitu hazitushtui sisi.
 
Back
Top Bottom