Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
๐๐๐๐ Unanifurahisha sana kwahyo hapo chini unaona nini .? Au unataka nkuletee kisumu kwa umbali huo uone inafananaje.? KISUMU haina qualification hata za kuwa City mzee ๐Arusha nimeichambua.., dunia ya leo mtu anidanganyi., Dar, Mwanza, Dodoma, all are in my palms.., google earth! Sama boy 255 ..,
Arusha hii moja..,
View attachment 2045911
View attachment 2045920




