Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mijadala yetu ni kuhusu Mambo ya maana. Sio kujazana ujinga Kama huko kwenu, ndio sababu tumefanikiwa kumaliza ujambazi, wizi serikalini, kupunguza rushwa na kuongeza uzalishaji katika kilimo na viwandani na kuifanya Tanzania kuwa "the biggest Exporter to Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi"
Hawapendi kusikia hii maneno
 
Nashangaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ me hata sijui TV stations za bongo, hata one news anchor simjui.

Ndio nimejua kumbe Vรญctoria Rubadiri alishinda Komla Dumor award. Yani wanatufuatilia hata kutushinda sisi wenyewe.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kisumu beibeeView attachment 2045681
Screenshot_20211216-085827_Earth.jpg
Screenshot_20211216-085839_Earth.jpg
Screenshot_20211216-085928_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090046_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090104_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090118_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090215_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090227_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090315_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090349_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090404_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090404_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090423_Earth.jpg
Screenshot_20211216-090741_Earth.jpg
 
This goes to show how stupid you can be lakini, wewe utabaki tu keyboard warrior, na hio west africa unaiongelea have higher IQs than you, wewe unareasob kama mtoto sana, mbaguzi kabisa
Mm nikiwa porini nikakutana na simba alafu mkunya yuko pembeni kwanza naua mkunya alafu Simba tutajuwana.
 
Oy bandugu nilikua sijamaliza kupost kuhusu Arusha .. Hii ni kwa faida ya mkunya na watz ambao hawajawahi kufika Arusha .. hili eneo halijawahi kupigwa picha na kupostiwa popote pale ila mimi nitatumia google earth kwasababu naijua vizur Chuga, muone namna magufuli alivyopiga lami za kuzidi hapo mjini Chuga View attachment 2045493View attachment 2045494haya meneo ni pembeni kidogo ya CBD pale mjini kati .. owky niwarudishe kwa makazi ya Watu nje ya CBD.. oya Chuga ni balaa View attachment 2045496View attachment 2045497View attachment 2045498View attachment 2045499View attachment 2045516View attachment 2045517closer view huu ni ule mji wanajenga unaitwa BURKA cityView attachment 2045524haya nayo ni maeneo ya karibu na mji unaitwa Safari City uke mradi wa NHC ulioishia njiani .. Hapa ni karibu na makazi hayo View attachment 2045526wakunya kuanzia leo iwe marufuku kuitaja Arusha kwenye sentence moja na kijiji cha Kisumu ni dharau ya hali ya juu, Arusha ipo kwenye league yake yenyewe hapa EA .. Kisumu level zake ni Moshi ..
noma sana,achana na hao chokoraa wakikenya,hawajawahi tembea
 
Mtumwa ndio hufuatilia Master Bradhee.
It's the other way round kijana... Ndio maana unaona Bongo haitumii kelele nyingi Wala nguvu kubwa. Inajua pale pa kufinya tu in right time na mambo yanaisha kimya kimya hata kabla hamjaanzisha... Au umesahau kichaa chenu cha kulia lia na kususa vile tunamaliziaga tu ngazi ya wilaya au mkoa?
 
Jeff Kainange anawakilisha kwa vitendo jinsi wakenya walivyo vichwani mwao, ujuaji, kujifanya wao ndio kila kitu, yaani wakitembea wanaibeba duniani yote vichwani mwao, kujifanya dunia nzima inawatizama na kuwajadili au kuwafikiria wao.


Wakenya Wana tatizo la kisaikolojia "depression", ndio sababu mauaji mitaani ni mengi Sana, kitu kidogo tu utasikia wameuana wapenzi, au mama ameua watoto wake, au polisi amejiua na Mambo Kama hayo.
Hats off... Hiyo summary ya Jeff umemaliza.. Jamaa ni mweupe sana. Ila anavyojikutaga Sasa na kingereza chake cha kujidai ni M-Britons
 
Hats off... Hiyo summary ya Jeff umemaliza.. Jamaa ni mweupe sana. Ila anavyojikutaga Sasa na kingereza chake cha kujidai ni M-Britons
Huyu jeff mmoja anajulikana dunia nzima vs watu wa vijiweni hahaha, wenda wazimu ni wengi kweli
 
Back
Top Bottom