Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu ikatokea nini baada ya kukataa kununua mahindi?

Museven amesha achilia ban iliyowapiga juzi?
Sasa umeongeza Museveni na story ilikuwa kati ya Kenya na Uganda. 🤣🤣🤣

Mimi nimekuonyesha Watanzania wakililia Kenya, nionyeshe Wakenya wakililia Tanzania. 🤣🤣
 
Kwenye hii Video Mwisho mwisho si kama Manzese tu, Nilidhani hawana maeneo kama haya . Tena Manzese Magorofa mengi.

 
Weka ushahidi unaonyesha ni lini na Hospitali gani ilivyofanya "liver transplant" hapo Kenya.

Can a shirt hole country like Kenya be able to perform very complicated operation like that?, Never and never on earth that can happen
We are talking about Kenya not Tanzania. Tanzania is the shit hole remember
 
umenikumbusha wale manesi wakora wa kunyaland walioshindwa interview ya lugha ya malikia wakakosa kibarua, kenya is empty set hahahaha
So you want to go where guys are speaking French you talk with your mother tongue nkt! You creatures are so behind. Tujivunie Kiswahili lakini pia we must learn language of trade
 
Ngurue limejikaanga na mafuta yake mwenyewe 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ningekua wewe singedhubutu kutumia google earth 😂 😂 😂 😂 😂 ., nilikua nishachambua Mwanza na Arusha, nilijua hamna kitu, wewe na kihere here ukarukia google earth 😂 😂 😂 😂 😂 😂

Kisumu.., yaani estates pekee zinafunika Arusha na Mwanza CBDs 😂 😂 😂 😂 .,
Larger Robert Ouko estate na vilivyomo

View attachment 2045735
Upana, capturing surroundings estates next to Robert Ouko.., Mountain View, Pembe tatu all the way toward west part of Kisumu..
View attachment 2045767
Milimani estate na vilivyomo..,
View attachment 2045744
Western part of downtown.., sehemu not captured..,
View attachment 2045755
Migosi/Lolwe/Kenya Re estates..,
View attachment 2045758
A section of Mamboleo..,
View attachment 2045761
View attachment 2045765

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Acha kichaa wewe nimepost Estates za Arusha nyingi mno unapost haka kaeneo kamoja 😂😂😂 by the way nilishaichunguza Kisumu vya kutosha, Kisumu is no where near Arusha in terms of Estates and everything concerning about developments .. kwa kifupi ni dharau kubwa sana kuitaja Kisumu eti ishindane na Arusha
 
Kwenye hii Video Mwisho mwisho si kama Manzese tu, Nilidhani hawana maeneo kama haya . Tena Manzese Magorofa mengi.

Si thats Kibera you always sing along kisingizio chenyu hiyo tulishakubali but we are working in it now go look for the beautiful videos ndizo mingi mkuu
 
Wacha niwachukulie new pictures of Nairobi fresh from the camera as Sasa hivi hata muone weather vile kuko
IMG_20211214_094706628_HDR.jpg
 

Attachments

  • IMG_20211214_104316479.jpg
    IMG_20211214_104316479.jpg
    48.2 KB · Views: 8
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Acha kichaa wewe nimepost Estates za Arusha nyingi mno unapost haka kaeneo kamoja 😂😂😂 by the way nilishaichunguza Kisumu vya kutosha, Kisumu is no where near Arusha in terms of Estates and everything concerning about developments .. kwa kifupi ni dharau kubwa sana kuitaja Kisumu eti ishindane na Arusha
Hizi vitu unplanned ndio unaita estate nyingi?
 
hii village ndio umesema haifikii kisumu....lol
😂😂😂😂😂😂 Aah nyie jamaa nimewavulia kofia, kwahyo kumbe tuko hapa tunajadili lakini kumbe mnataka mwisho wa siku ni lazima nyinyi mshinde majadiano hata kwenye ukweli unaonekana wazi? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom