Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu hivi huyo Jeff huwa unamuelewaga?

Naonaga kama anazidisha mikogo sana kwenye utangazaji wake hadi anakuwa kero? Hasa body movements na facial expressions.. Ah totally boring anavyofinya finya na kunyanyua shingo na macho...

Bora yule Dada alieshinda tuzo ya BBC- Komla Dumor..
Jeff Kainange anawakilisha kwa vitendo jinsi wakenya walivyo vichwani mwao, ujuaji, kujifanya wao ndio kila kitu, yaani wakitembea wanaibeba duniani yote vichwani mwao, kujifanya dunia nzima inawatizama na kuwajadili au kuwafikiria wao.

Wakenya Wana tatizo la kisaikolojia "depression", ndio sababu mauaji mitaani ni mengi Sana, kitu kidogo tu utasikia wameuana wapenzi, au mama ameua watoto wake, au polisi amejiua na Mambo Kama hayo.
 
depression kwa wakenya siyo jambo la kuuliza, ukabila, ukame, njaa, siasa za vurugu, rushwa iliyokithiri, magenge ya kihuni, migogoro ya mipaka mfano kisiwa cha migingo, mpaka wa kimataifa na somalia nk lazima tuone tunayoyaona hahahhahaha
 
Hivi TV za bongo huwa zina mijadala kama hii ama ni Wema Sepetu, Dayamondi, Simba na Yanga tu?
Mijadala yetu ni kuhusu Mambo ya maana. Sio kujazana ujinga Kama huko kwenu, ndio sababu tumefanikiwa kumaliza ujambazi, wizi serikalini, kupunguza rushwa na kuongeza uzalishaji katika kilimo na viwandani na kuifanya Tanzania kuwa "the biggest Exporter to Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi"
 
hii ni taarifa mpya unampa, alikuwa hajui, yeye anapost tu kutoka kibera kunyaland ina GDP kubwa hahahahaha
 
The whole of Kisumu haina 5 star hotel eti ilinganishwe.na Arusha tourism capital of Africa! BTW huu uwanja unapanuliwa!
Kisumu is not a tourist city. Kisumu is a port and business city. If we judged cities based on tourist hotels then Watamu in Kenya is better than both Arusha and Mwanza combined. Stop reasoning like joto la jiwe
 
Kenya mkiweza kufanya "Liver transplant",huo ndio utakua mwisho wa Mimi kuishi hapa duniani

Kufa😂😂😂 we don't care.

So you've decided to post us more proof? Thank you.
He is so daft, analeta screenshot ya 7 years ago.😂😂😂😂😂 Anaumwa sana kujua Kenya ndio first African Country kufanya liver transplant.
 
So you've decided to post us more proof? Thank you.
Soma hiyo post uone mlivyowajinga?, Eti Kenyatta Hospital ifanye "Liver transplant" kabla ya Nairobi, Karen na MpShah Hospitals?.

Tatizo lenu ninyi ni kupiga kelele Sana bila vitendo, Kenyatta Hospital ilipopata hiyo machine ya kufanyia hiyo operation mkaanza kupiga kelele mkidhani tayari mnaweza kufanya hiyo operation, .

Kenya hakuna madakari na Nurses wenye ujuzi wa kufanya hiyo operation, hata ICU maalamu kwa wagonjwa waliofanyiwa hiyo operation hakuna, you need much more than one machine to carry out very complicated medical operation of this scale"
 
Kufa we don't care.

He is so daft, analeta screenshot ya 7 years ago. Anaumwa sana kujua Kenya ndio first African Country kufanya liver transplant.
Weka ushahidi unaonyesha ni lini na Hospitali gani ilivyofanya "liver transplant" hapo Kenya.

Can a shirt hole country like Kenya be able to perform very complicated operation like that?, Never and never on earth that can happen
 
Hawa wajinga hiki kitaifa chao kama ningekuwa na uwezo ningekufukuza hapa EA, hawastahili kuwa huu ukanda, walipaswa wawe West Africa huko kwa wapumbavu wenzao.
This goes to show how stupid you can be lakini, wewe utabaki tu keyboard warrior, na hio west africa unaiongelea have higher IQs than you, wewe unareasob kama mtoto sana, mbaguzi kabisa
 
Weka ushahidi unaonyesha ni lini na Hospitali gani ilivyofanya "liver transplant" hapo Kenya.

Can a shirt hole country like Kenya be able to perform very complicated operation like that?, Never and never on earth that can happen
Eti shirt hole 😂😂😂😂 wewe endelea kuota Mr. international radiologist.
 
Soma hiyo post uone mlivyowajinga?, Eti Kenyatta Hospital ifanye "Liver transplant" kabla ya Nairobi, Karen na MpShah Hospitals?.

Tatizo lenu ninyi ni kupiga kelele Sana bila vitendo, Kenyatta Hospital ilipopata hiyo machine ya kufanyia hiyo operation mkaanza kupiga kelele mkidhani tayari mnaweza kufanya hiyo operation, .

Kenya hakuna madakari na Nurses wenye ujuzi wa kufanya hiyo operation, hata ICU maalamu kwa wagonjwa waliofanyiwa hiyo operation hakuna, you need much more than one machine to carry out very complicated medical operation of this scale"
umenikumbusha wale manesi wakora wa kunyaland walioshindwa interview ya lugha ya malikia wakakosa kibarua, kenya is empty set hahahaha
 
Soma hiyo post uone mlivyowajinga?, Eti Kenyatta Hospital ifanye "Liver transplant" kabla ya Nairobi, Karen na MpShah Hospitals?.

Tatizo lenu ninyi ni kupiga kelele Sana bila vitendo, Kenyatta Hospital ilipopata hiyo machine ya kufanyia hiyo operation mkaanza kupiga kelele mkidhani tayari mnaweza kufanya hiyo operation, .

Kenya hakuna madakari na Nurses wenye ujuzi wa kufanya hiyo operation, hata ICU maalamu kwa wagonjwa waliofanyiwa hiyo operation hakuna, you need much more than one machine to carry out very complicated medical operation of this scale"
Punguza mauchungu Buda.🤣🤣

👇🏾👇🏾👇🏾

Oy bandugu nilikua sijamaliza kupost kuhusu Arusha .. Hii ni kwa faida ya mkunya na watz ambao hawajawahi kufika Arusha .. hili eneo halijawahi kupigwa picha na kupostiwa popote pale ila mimi nitatumia google earth kwasababu naijua vizur Chuga, muone namna magufuli alivyopiga lami za kuzidi hapo mjini Chuga 👇View attachment 2045493View attachment 2045494haya meneo ☝️ni pembeni kidogo ya CBD pale mjini kati .. owky niwarudishe kwa makazi ya Watu nje ya CBD.. oya Chuga ni balaa 👇View attachment 2045496View attachment 2045497View attachment 2045498View attachment 2045499View attachment 2045516View attachment 2045517closer view 👇huu ni ule mji wanajenga unaitwa BURKA cityView attachment 2045524haya nayo 👇 ni maeneo ya karibu na mji unaitwa Safari City uke mradi wa NHC ulioishia njiani .. Hapa ni karibu na makazi hayo 👇View attachment 2045526wakunya 😂😂😂😂 kuanzia leo iwe marufuku kuitaja Arusha kwenye sentence moja na kijiji cha Kisumu ni dharau ya hali ya juu, Arusha ipo kwenye league yake yenyewe hapa EA .. Kisumu level zake ni Moshi ..
hii village ndio umesema haifikii kisumu....lol
 
Back
Top Bottom