Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti South Africa unaropokwa tu kama kawaida. Nimekuambia hakuna transplant munaweza fanya hapo bongo bila kutuma tissue samples Kenya au nchi nyingine yenye machine ya tissue typing.

Hahahaha, Kenya hamuwezi na haitotokea muweze kufanya "liver transplant" in our life time, mtaendelea kudanganya watu wajinga ila sisi tunawajua vizuri tutaendelea kuwaumbua, ninyi Hospitali zenu ni madalali tu wa Hospitals za India na nchi za Ulaya
 
1639595208548.png
 
hahaha.....I knew you would run to kilimanjaro
😂😂😂 Uwe u auliza umbiwe vitu usivyovijua mzee, Moshi ni wilaya iliyopo mkoani Kilimanjaro, makao makuu ya mkoa wa Kilimanjaro ni wilayani Moshi, Mlima Kilimanjaro, uwanja wa ndege Kilimanjaro international airport na administration blocks za mkoa vyote vipo ndani ya wilaya ya Moshi .. now you know
 
Wee jamaa mpuzi sana, kama hatuhitaji mbona tunatumia basi, you reasoning bana is just trash
Politicians wanapiga pesa kupitia ujinga mliojaza kichwani, ss mnajengewa upumbavu kama huo ambao hauna standards na hamuhuitaji, nyie mnahitaji chakula kwa ss kuliko kitu chochote.
 
Tumenunua ndege 12 out of pockets, something Kenya can't even dream, tumelipa $4B kujenga Bwawa la Umeme from our pockets, Kenya can't even believe this to happen in the next 50yrs to come
Dozi zako nzito nzito ambazo ni ukweli mtupu wala sio kujiliwaza kama wakunya, yn unawanyoosha kweli kweli, nikupe siri ni kwamba Wakunya wanakuchukia mno
 
Hahahaha, Kenya hamuwezi na haitotokea muweze kufanya "liver transplant" in our life time, mtaendelea kudanganya watu wajinga ila sisi tunawajua vizuri tutaendelea kuwaumbua, ninyi Hospitali zenu ni madalali tu wa Hospitals za India na nchi za Ulaya
 
Mwingine anakuambia mbn umeleta uwanja wa Kilimanjaro
Hao jamaa wako na mentality kwamba hatuwawez, kitu ambacho ni wanajiongopea, na kwasababu wao wko radhi watudanganye ili tuone wao ni noma, ndio hata wakiona kwamba tukiwaonyesha mambo mazuri wanaona tunaongopa kama ilivyo mazoea yao 😂😂😂😂
 
Hao jamaa wako na mentality kwamba hatuwawez, kitu ambacho ni wanajiongopea, na kwasababu wao wko radhi watudanganye ili tuone wao ni noma, ndio hata wakiona kwamba tukiwaonyesha mambo mazuri wanaona tunaongopa kama ilivyo mazoea yao
Kwasasa Wakenya wana adabu na Tz, cc Watz ndio tuna mentality kwamba Wakenya ni maskini wanaotegemea mikopo, na wanaosumbuliwa na njaa na magonjwa, huku kwetu mtaani mtu akikuomba hela ukimjibu Kenya mwanangu, hapo unakuwa umemaanisha sina kitu.
 
Oy bandugu nilikua sijamaliza kupost kuhusu Arusha .. Hii ni kwa faida ya mkunya na watz ambao hawajawahi kufika Arusha .. hili eneo halijawahi kupigwa picha na kupostiwa popote pale ila mimi nitatumia google earth kwasababu naijua vizur Chuga, muone namna magufuli alivyopiga lami za kuzidi hapo mjini Chuga 👇
Screenshot_20211215-235050.png
Screenshot_20211215-235129.png
haya meneo ☝️ni pembeni kidogo ya CBD pale mjini kati .. owky niwarudishe kwa makazi ya Watu nje ya CBD.. oya Chuga ni balaa 👇
Screenshot_20211215-234155.png
Screenshot_20211215-234212.png
Screenshot_20211215-235500.png
Screenshot_20211215-235531.png
Screenshot_20211216-001738_1.jpg
Screenshot_20211216-001812_1.jpg
closer view 👇huu ni ule mji wanajenga unaitwa BURKA city
Screenshot_20211216-001848_1.jpg
haya nayo 👇 ni maeneo ya karibu na mji unaitwa Safari City uke mradi wa NHC ulioishia njiani .. Hapa ni karibu na makazi hayo 👇
Screenshot_20211216-001624_1.jpg
wakunya 😂😂😂😂 kuanzia leo iwe marufuku kuitaja Arusha kwenye sentence moja na kijiji cha Kisumu ni dharau ya hali ya juu, Arusha ipo kwenye league yake yenyewe hapa EA .. Kisumu level zake ni Moshi ..
 
Oy bandugu nilikua sijamaliza kupost kuhusu Arusha .. Hii ni kwa faida ya mkunya na watz ambao hawajawahi kufika Arusha .. hili eneo halijawahi kupigwa picha na kupostiwa popote pale ila mimi nitatumia google earth kwasababu naijua vizur Chuga, muone namna magufuli alivyopiga lami za kuzidi hapo mjini Chuga 👇View attachment 2045493View attachment 2045494haya meneo ☝️ni pembeni kidogo ya CBD pale mjini kati .. owky niwarudishe kwa makazi ya Watu nje ya CBD.. oya Chuga ni balaa 👇View attachment 2045496View attachment 2045497View attachment 2045498View attachment 2045499View attachment 2045516View attachment 2045517closer view 👇huu ni ule mji wanajenga unaitwa BURKA cityView attachment 2045524haya nayo 👇 ni maeneo ya karibu na mji unaitwa Safari City uke mradi wa NHC ulioishia njiani .. Hapa ni karibu na makazi hayo 👇View attachment 2045526wakunya 😂😂😂😂 kuanzia leo iwe marufuku kuitaja Arusha kwenye sentence moja na kijiji cha Kisumu ni dharau ya hali ya juu, Arusha ipo kwenye league yake yenyewe hapa EA .. Kisumu level zake ni Moshi ..
Arusha ijitahidi inaiondoa Nairobi kwenye ramani 😂😂😂😂

Halafu wakenya wanakuogopa 😄😄😄
 
Kama Kuna mkunya mwenye ubavu tuanze battle ya education institutions kwanza kati ya Moshi/Kilimanjaro na Kisumu

Baadae tutaingia hospitals, hotels, industries, farming, real estate, infrastructures etc

Nipo tayari hapa nasubiri kipenga
Zamani wakenya ulikua wenyewe ndio walitaka battle za mikoa tofauti, walikua wanapata vitasa special mpaka Hawaamini, saivi mkenya kajifunza hata utake battle ya aina gani, hataki tena sababu anajua kitakachotokea 😅😅😅😅
 
Dozi zako nzito nzito ambazo ni ukweli mtupu wala sio kujiliwaza kama wakunya, yn unawanyoosha kweli kweli, nikupe siri ni kwamba Wakunya wanakuchukia mno
Hahahaha, ninajua vizuri Sana kwamba hawanipendi Hawa jamaa, ni Tony254 na Mkikuyu- Akili timamu pekee ndio wanaonikubali, ninajua jinsi wanavyonichukia, nikifika Nairobi wakinijua watanikatakata vipande vipande na kunitafunia bila hata kunipika.
 
Back
Top Bottom