The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kuna majibu unawapa yanawauma sn cz unapowajibu na wewe unageuka wao yn unakuwa mkenya alafu ndio unawajibu adi raha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahaha, ninajua vizuri Sana kwamba hawanipendi Hawa jamaa, ni Tony254 na Mkikuyu- Akili timamu pekee ndio wanaonikubali, ninajua jinsi wanavyonichukia, nikifika Nairobi wakinijua watanikatakata vipande vipande na kunitafunia bila hata kunipika.