Yaani pengine wajukuu wenu ndio wataviona., SGR tu inawachukua huu mda wote kasehemu kadogo! eti Natural Gas $30B., taifa nzima revenue ata nusu ya hiyo hamuwezi, na hamukopesheki kihivyo, ufukara, hizo projects ziko kwa makaratasi, ngoja pesa itolewe kisha uje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., Bagamoyo pia msipo mpa mchina haibanduki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., hivyo vi project unaanika humu, kwa uwezo wa uchumi wenu hafifu itawachukua miaka mia moja msipo kopa, wewe ni jinga type [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]