Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Nimekuwekea hadi estates., size ya miji yenu., pia hii hapa 👇 👇 👇 pembeni mwa bichi kidimbwi; Kondele/Migosi/carwash area(haiyonekani vizuri sijui mwenzako kaokota wapi hii picha) huu mtaa kule Tz ni mji kivyake(town), maana iko na supermarkets, shopping centres, Banks, vilabu(anasa kwa wingi), etc, yaani hapa Kisumu hii 👇 👇 ni estate tu!., Kondele/Migosi/Carwash area.., nje ya Dar hakuna mji inakaribia Kisumu., tusidanganyane., mtaniletea tu CBD zenu angles tofauti., makazi je???.., Kisumu is King 🔥 🔥 🔥Mmeona uhuni wa wakunya? Picha mbili kazizungusha hizo hizo mradi tu Kisumu iwe sawa na Arusha![]()
