Hivi kweli unakaza mbupu kuipigia kifua Kisumu mbele ya Arusha, you must be crazy eti kisa ki calvat [emoji23][emoji23][emoji23] .. kwako wew ile calvat ni amendeleo kuliko biashara, makazi, barabara zote kwa ujumla wake , huduma za afya, huduma za maji na umeme, huduma za usafiri na usafirishaji n.k .. we unafkiri tukiangalia hizi sector Kisumu inaweza sogelea Arusha kwa maendeleo hata kwa ukaribu tu.? Jitathmini wewe mtu mzima hovyo huna akili timamu .. [emoji116]
View attachment 2045086eti kwako wewe Kisumu ni zaidi ya ARUSHA kwasababu ya huu uchafu hapo chini [emoji23][emoji23][emoji23] we ni Tahira.. wakati maisha ya kisumu ni haya [emoji116]
View attachment 2045087baiskeli ndio vyombo vya usafiri [emoji23][emoji23][emoji23], sasa nikikuita wewe ni kilaza utakataa.? City center yenyewe ndio hii[emoji116]
View attachment 2045091[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiwe unataja taja huu uchafu kwenye vitu vya maana, hii Kisumu level yake Moshi [emoji116]
View attachment 2045095View attachment 2045096