Kwa picha yako naona uwanja🤣🤣🤣 nizoomie hiinikizooma unakimbua kwann👇👇👇👇 hii ni google earth View attachment 2041866
nyie si mumepata juzi huku ziko zaidi ya miaka 10 iliopita na hii zanzibar👇👇
View attachment 2041880
Hii haiondoi ukweli kwamba mna ndege 3 chakavuNyinyi mkijivunia kuja Nairobi sisi tunazama anga za Ujerumani View attachment 2041819
Kalilie twitter mm co babaako.Desperation ni mbaya inatuma hadi ulete picha za late 90s
Kwahio hakuna kitu kama google maps ausio mbwa🤣🤣🤣Ulitaka na ww uonekane unajua kutumia Google Earth au? Mwenzako Coco reborn haijui kabisa, huwa anaiita Google map
Kajilipua, ichoboy anachoma nyumba🤣🤣🤣🤣🤣🙆niliwah kusema hapa ilala ina density kubwa kuliko upperhill + kilimani combined 👇👇👇View attachment 2041884View attachment 2041885View attachment 2041886
Hakika leo kwa mara ya kwanza nimemuona Kikwete mzee, ila anajitunza sn huyu mzee.kuna jambo kubwa linakuja
Nilikudharau sn cku ile.Kwahio hakuna kitu kama google maps ausio mbwa
Hii ni nini? 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣nyie si mumepata juzi huku ziko zaidi ya miaka 10 iliopita na hii zanzibar👇👇
View attachment 2041880
Wapi density hapa? Na hata ghorofa hakuna.niliwah kusema hapa ilala ina density kubwa kuliko upperhill + kilimani combined 👇👇👇View attachment 2041884View attachment 2041885View attachment 2041886
Wacha uongo wewe, ety 400km. Huna hata aibu.So the longest distance from Nairobi is 400km Mombasa,
Can you imagine the difference from Dar to Mwanza si 1300km
Dar Kigoma 1600km
Dar Mbeya 850km
Na kote huko ni lami Tupu yaani you only need a full tank and you clear your dashboard.